Kusoma US Ni Jambo la kawaida. Kibongobongo ukiwa mfuatuliaji vyuo vikuu vingi vina wanafunzi wa kimagharibi wanachukua degree mbalimbaliMtoto wa waziri wa mambo ya nje Russia kasoma marekani sema ada za marekani kipengele ndio maana tunapeleka vijana india na Russia na china.