Special Thread: Yanayojiri Mgogoro wa Ukraine na Urusi. Nini chanzo na hatma ya mzozo?

Special Thread: Yanayojiri Mgogoro wa Ukraine na Urusi. Nini chanzo na hatma ya mzozo?

IMG_20230123_203041_806.jpg
 
Hiyo marynka miezi mitatu iliyopita tuliambiwa imeangukia mikononi mwa urusi [emoji28]..,yule jamaa anayejiita. mohamedidrisa789 ameiweza kweli kazi ya propaganda

Sent from my Infinix X660B using JamiiForums mobile app
Mimi sibishani nawewe maana kila kitu wewe unabisha.sio mfatiliaji wa vita alafu unabisha bisha ovyo.sasa kwa nini nijichoshe wakati wapo wanaofatilia.

Wewe upi hapa kwa kubisha kila kitu.hata kitu cha kweli wewe unakibishia.[emoji23][emoji23][emoji23]


Kwa mtu anayefatilia kweli huu mgogoro awezi kubisha kuwa Soledar ipo kwenye mikono ya Warusi.wewe unabisha labda sio mfatiliaji wa vita au unajua ila unabisha ili kuleta fujo.

Sasa mtu kama wewe ni wa kukuacha tu
 
Ila hapa Sweden [emoji1236] wameingia chakike aisee, Kuchoma Quran ndo kumezidi kuchochea nchi nyingi asa za kiarabu kuiona NATO ni anti-islamic organization, na sijui Kama Turkey [emoji1250] wataidhisha membership ya Sweden kujiunga na NATO.
Kuchoma Quran ni jambo dogo Sana..,ni suala la kuchukua fimbo na kumuhadabisha mhusika kisha mambo mengine yakaendelea.., tatizo wanasiasa kila tukio wanataka kulibeba kisiasa

Sent from my Infinix X660B using JamiiForums mobile app
 
Mimi sibishani nawewe maana kila kitu wewe unabisha.sio mfatiliaji wa vita alafu unabisha bisha ovyo.sasa kwa nini nijichoshe wakati wapo wanaofatilia.

Wewe upi hapa kwa kubisha kila kitu.hata kitu cha kweli wewe unakibishia.[emoji23][emoji23][emoji23]


Kwa mtu anayefatilia kweli huu mgogoro awezi kubisha kuwa Soledar ipo kwenye mikono ya Warusi.wewe unabisha labda sio mfatiliaji wa vita au unajua ila unabisha ili kuleta fujo.

Sasa mtu kama wewe ni wa kukuacha tu
Hata wewe wenye akili wamekupuuza tu maana wameona una upotoshaji na uongo mwingi

Sent from my Infinix X660B using JamiiForums mobile app
 
Kichapo gani? Mbona kama sikuelewi hivi kwanza ni soleda gani unayoizungumzia wewe maana soleda NATO ijua Mimi ni ile iliyopo Ukrainian na imeshabebwa na urusi masiku yaliyopita


Ebu tuambie ni soleda gani unayo zunguzia wewe?
Anazungumzia soleda ya buza.

Sent from my Nokia 2.3 using JamiiForums mobile app
 
Katika vitu Wamarekani wamejitahidi kuficha na wamefanikiwa Ni 1.anguko la advanced tank Abrams kutoka kwa silaha za adui Kama Kornet ama Metis ama Konkurs ATGM huko Iraq na kwingine duniani.
Wao hukipamba kifaru hiki kwa ubora kivita Kwamba hakijawahi ku be killed hata na ATGM. Na kwa hakika wamefanikiwa. Hata waliposhindwa kabisa vitani wanakwambia tumefanya shambulio la ndege kuharibu kifaru ili teknolojia isihame.
2. F 15 na f 16 air superiority fighter jet,
Kwa mujibu wa Marekani Hakuna hata ndege moja Kati ya hizo Ime be killed kwa air to air missile kutoka ndege hasimu. But taarifa za mahasimu kivita zimekuwa zikionesha anguko la ndege hizi kule Iraq na hata Bosnia.

Hivi hii Abram ndo ina choo ndani??
 
Endeleeni kushupaza shingo ukweli utajulikana mlipiga kelele wakati miji inarudishwa na ukweli ulionekana sasa ndani ya mwezi makuruta wa Russia wamekaangwa zaidinya 20,000

 
Hii wagner ni wafungwa tupu wanajeshi wenye mafunzo hawafiki 5% kenge hawa wanakaangwa sana

 
Eti Ukraine inarudi nyuma ,[emoji1787][emoji2] kwanza naomba kujua umeanza kufuatilia hii vita tangia lini , maana naona ni mweupe sana kwenye haya mambo..,kwanza naomba nukujulishe tu kwamba ukraine alifanya counteroffensive iliyowakimbiza kama mbwa mwizi huko

Khakivu

Izium

Snake island

Kyiv

Kheson city

Lyman

Kupyansk

Tangia mwezi wa 6 mwaka uliopita urusi hajafanya progress yoyote ya maana kwenye uwanja wa vita..,yupo anahangaika na bakhumut tu[emoji16]

Sent from my Infinix X660B using JamiiForums mobile app
Kachukueni kwanza chumvi ubeligiji ndio muendelee na mengine
 
Back
Top Bottom