Special Thread: Yanayojiri Mgogoro wa Ukraine na Urusi. Nini chanzo na hatma ya mzozo?

Namnukuu Jenerali Milley:
"Kwa mtazamo wa kijeshi, haya ni mapigano magumu mno kwa ukraine".

"Nasisitiza tena, kwa huu mwaka itakuwa ni ngumu, ngumu sana kuviondoa kijeshi vikosi vya Urusi katika kutoka katika kila inchi ya ardhi ya ukraine iliyotwaliwa na vikosi hivyo".

"sijasema kama haiwezekani au haitawezekana lakini itakuwa ni ngumu, yaani ni vigumu mno".

- Pia aliulizwa kama kuna uwezekabo wa Ukraine kurejesha ardhi yake yote kijeshi?, alijibu kuwa " matokeo hayo uwezekabo wake si mkubwa(ni mdogo)".

------------------------------
1674414194254.png

General Mark Milley looks on during a meeting of the Ukraine Defense Contact Group at Ramstein Air Base in Ramstein-Miesenbach, Germany, January 20, 2023 © AFP / Andre Pain

While Kiev has vowed to seize
huge tracts of what is now Russian territory, Moscow’s forces have won a series of key battles

Ukraine will struggle to make good on its promise to drive Russian forces out of its former territory, US Chairman of the Joint Chiefs of Staff Mark Milley stated on Friday. While civilian officials in Washington insist that Kiev must keep fighting, Milley has repeatedly questioned the chances of success.

“President Biden, President Zelensky, and most of the leaders of Europe have said this war is likely to end in a negotiation,”Milley said during a meeting of the US-led Defense Contact Group at Ramstein Air Base in Germany. “From a military standpoint, this is a very, very difficult fight,” he added.

The US alone has allocated more than $110 billion in military and economic aid to Kiev since last February – supplying Ukraine with progressively heavier armaments, including infantry fighting vehicles, anti-air systems, and more than a million artillery shells.

Although Ukraine’s NATO-trained troops appear on the cusp of receiving Western-designed main battle tanks, Russian forces have inflicted a series of crushing defeats on Kiev’s military in recent weeks. The strategically important Donbass settlements of Soledar and Klescheevka have both fallen to Moscow’s troops, and the key city of Artyomovsk is now facing Russian encirclement.

“I still maintain that for this year, it would be very, very difficult to militarily eject the Russian forces from every inch of Russian-occupied Ukraine,” Milley said on Friday, referring to the four former regions of Ukraine that voted to join Russia in September, and Crimea, an historic Russian territory that voted to rejoin the Russian Federation in 2014. “That doesn’t mean it can’t happen, doesn’t mean it won’t happen. But it’d be very, very difficult.”

Retaking all of this land – including Crimea – is the stated objective of Ukrainian President Vladimir Zelensky. To that end, he has the support of the US, with President Joe Biden and Defense Secretary Lloyd Austin vowing to bankroll his military for “as long as it takes,” and Secretary of State Antony Blinken declaring in December that “fundamentally, Ukrainians are making the decisions” about whether they want to attempt to capture Crimea or not.

However, Milley’s public statements have been more tempered than those of Biden and his cabinet. Asked in November whether Ukraine stood a chance of retaking its pre-February territory, he said that the probability of this outcome “is not high, militarily.”
 
Zelensk anapoelekea lazima awe anafanya maamuzi magumu la sivyo atakuwa anapoteza wanajeshi wengi kila siku.kwa hali ilivyo kwenye mji wa Seversk sio nzuri kabisa.barabara kuu zote zimekamatwa zimebaki barabara za mtaani. hakuna jinsi zaidi ya kutoa wanajeshi kutelekeza mji.

Zelensk yeye analazimisha wanajeshi wapigane tu hata kama supply ya vifaa imekata.kwa hali hii anajikuta anapoteza wanajeshi wengi zaidi.kurudi nyuma kujipanga sio ujinga,Warusi sio wajinga kuondoka Kherson mjini.

View attachment 2492752
Bado tu hujachoka kuleta ramani zako za mchongo??
Mji mmoja unatuletea ramani, mpaka inaelekea mwezi wa nane Sasa,

Sent from my Infinix X660B using JamiiForums mobile app
 
Namnukuu Jenerali Milley:
"Kwa mtazamo wa kijeshi, haya ni mapigano magumu mno kwa ukraine".

"Nasisitiza tena, kwa huu mwaka itakuwa ni ngumu, ngumu sana kuviondoa kijeshi vikosi vya Urusi katika kutoka katika kila inchi ya ardhi ya ukraine iliyotwaliwa na vikosi hivyo".

"sijasema kama haiwezekani au haitawezekana lakini itakuwa ni ngumu, yaani ni vigumu mno".

- Pia aliulizwa kama kuna uwezekabo wa Ukraine kurejesha ardhi yake yote kijeshi?, alijibu kuwa " matokeo hayo uwezekabo wake si mkubwa(ni mdogo)".

------------------------------
1674414194254.png

General Mark Milley looks on during a meeting of the Ukraine Defense Contact Group at Ramstein Air Base in Ramstein-Miesenbach, Germany, January 20, 2023 [emoji2398] AFP / Andre Pain

While Kiev has vowed to seize
huge tracts of what is now Russian territory, Moscow’s forces have won a series of key battles

Ukraine will struggle to make good on its promise to drive Russian forces out of its former territory, US Chairman of the Joint Chiefs of Staff Mark Milley stated on Friday. While civilian officials in Washington insist that Kiev must keep fighting, Milley has repeatedly questioned the chances of success.

“President Biden, President Zelensky, and most of the leaders of Europe have said this war is likely to end in a negotiation,”Milley said during a meeting of the US-led Defense Contact Group at Ramstein Air Base in Germany. “From a military standpoint, this is a very, very difficult fight,” he added.

The US alone has allocated more than $110 billion in military and economic aid to Kiev since last February – supplying Ukraine with progressively heavier armaments, including infantry fighting vehicles, anti-air systems, and more than a million artillery shells.

Although Ukraine’s NATO-trained troops appear on the cusp of receiving Western-designed main battle tanks, Russian forces have inflicted a series of crushing defeats on Kiev’s military in recent weeks. The strategically important Donbass settlements of Soledar and Klescheevka have both fallen to Moscow’s troops, and the key city of Artyomovsk is now facing Russian encirclement.

“I still maintain that for this year, it would be very, very difficult to militarily eject the Russian forces from every inch of Russian-occupied Ukraine,” Milley said on Friday, referring to the four former regions of Ukraine that voted to join Russia in September, and Crimea, an historic Russian territory that voted to rejoin the Russian Federation in 2014. “That doesn’t mean it can’t happen, doesn’t mean it won’t happen. But it’d be very, very difficult.”

Retaking all of this land – including Crimea – is the stated objective of Ukrainian President Vladimir Zelensky. To that end, he has the support of the US, with President Joe Biden and Defense Secretary Lloyd Austin vowing to bankroll his military for “as long as it takes,” and Secretary of State Antony Blinken declaring in December that “fundamentally, Ukrainians are making the decisions” about whether they want to attempt to capture Crimea or not.

However, Milley’s public statements have been more tempered than those of Biden and his cabinet. Asked in November whether Ukraine stood a chance of retaking its pre-February territory, he said that the probability of this outcome “is not high, militarily.”
Russia kuondoka ndani ya ardhi ya Ukraine sio lazima iwe ndani ya mwaka huu, kwani nani aliweka time limit kwamba ukraine amtoe urusi kwenye ardhi yake within this year??

Sent from my Infinix X660B using JamiiForums mobile app
 
Kwa iyo wewe ujanua mambo ya mabomu kuliko WaRUSI wanaotengeneza silaha na Dunia nzima wanatumia.

tuambie weww ushawahi kutengeneza silaha gani?

Maana ili ubishane na warusi basi lazima na wewe uwe unajua kutengeneza ivi vitu.yani warusi waseme inatumia missile furani, alafu weww hupo huku unasema haiwezekani.[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787] ivi wewe mzima kweli.

Unapata wapi ujasili wa kuwabishia Warusi.wewe kapuku mmoja ubishane na waliotengeneza ndege.ulienda wapi kuona iyo size na missile kwenye iyo ndege.ebu jaribu kuwa muelewa sio kila kitu kubisha tu ili watu wakuone unajua kila kitu.
Atakuwa ametengeneza manati ya kupambana na mrusi
 
Russia kuondoka ndani ya ardhi ya Ukraine sio lazima iwe ndani ya mwaka huu, kwani nani aliweka time limit kwamba ukraine amtoe urusi kwenye ardhi yake within this year??

Sent from my Infinix X660B using JamiiForums mobile app
Sasa kama unajua hilo kwanini unawalazimisha warusi waiteke miji yote haraka haraka unakimbilia nini tulia tuwanyooshe

Sent from my Infinix X657 using JamiiForums mobile app
 
Nimetoka kufatilia hapa kiukweli defence ya Zaporozhya hamna kitu kabisa bora hata wale wa upande wa Donesk.muda mfupi tu wametelekeza vijiji kibao tu .

Kuna taarifa kuwa jeshi kubwa lipo kwenye mpaka wa Kharkiv.inaonekana muda sio mrefu Kharkiv kitanuka[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Wapi huko nami nifatilie?
 
[emoji1255][emoji1255][emoji91][emoji91]mambo yanazidi kuwa moto wakuu, ujerumani Sasa ineweka wazi kwamba haitazuia usafifirishaji wa vifaru vya leopard [emoji249][emoji249][emoji249][emoji249] kwenda ukraine [emoji56][emoji56]
Source: BBC Swahili

Sent from my Infinix X660B using JamiiForums mobile app
1674482524978.png

Sasa kama unajua hilo kwanini unawalazimisha warusi waiteke miji yote haraka haraka unakimbilia nini tulia tuwanyooshe

Sent from my Infinix X657 using JamiiForums mobile app
Unajua unachoandika au unaandika tu..,unaweza kunionyesha popote " nilipowalazimisha" warusi waiteke miji yote harakaharaka kama unavyodai? Au umeamua kujiropokea tu?
Alafu hata Kama ningesema,je ningesema hivyo kama nani?
Kama huyo super pawer wenu wa kuchonga amewapa frustration msihamishie hasira zenu zote kwetu

Sent from my Infinix X660B using JamiiForums mobile app
 
Sawa, kikubwa tu usijisahaulishe kwamba warusi waliochinjwa Jana pekee ni zaidi ya 700

Sent from my Infinix X660B using JamiiForums mobile app
Mbona umedanganya mkuu jana wamechinjwa warusi 1000 na Leo majimbo msha yakomboa [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]

Sent from my Infinix X657 using JamiiForums mobile app
 
Unajua unachoandika au unaandika tu..,unaweza kunionyesha popote " nilipowalazimisha" warusi waiteke miji yote harakaharaka kama unavyodai? Au umeamua kujiropokea tu?
Alafu hata Kama ningesema,je ningesema hivyo kama nani?
Kama huyo super pawer wenu wa kuchonga amewapa frustration msihamishie hasira zenu zote kwetu

Sent from my Infinix X660B using JamiiForums mobile app
Umeyasahau maneno yako ya wiki moja tu au masaa 72 sio

Sent from my Infinix X657 using JamiiForums mobile app
 
Mbona umedanganya mkuu jana wamechinjwa warusi 1000 na Leo majimbo msha yakomboa [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]

Sent from my Infinix X657 using JamiiForums mobile app
Sio haraka hivyo Mzee, tunataka tumpigishe danadana huyo anyejiita super pawer wa kwenye makaratasi mpaka apate kilema Cha maisha..,tukienda kwa spidi hiyo unayotaka lengo la kumpigisha danadana huyo anyejiita super pawer wa kwenye makaratasi halitatimia baraabara

Sent from my Infinix X660B using JamiiForums mobile app
 
Umeyasahau maneno yako ya wiki moja tu au masaa 72 sio

Sent from my Infinix X657 using JamiiForums mobile app
Hizo saa 72 ilikuwa ni Kwa mujibu wa yule dikiteta..,yeye alitegemea amalize operation yake ndani ya saa 72..,akaleta askari wa parachute na kila nyenzo aliyokuwa nayo lakini matokeo yakawa tofauti..,alitembezewa kichapo Mpaka ikabidi tu abadili GIA angani [emoji28]

Sent from my Infinix X660B using JamiiForums mobile app
 
Hizo saa 72 ilikuwa ni Kwa mujibu wa yule dikiteta..,yeye alitegemea amalize operation yake ndani ya saa 72..,akaleta askari wa parachute na kila nyenzo aliyokuwa nayo lakini matokeo yakawa tofauti..,alitembezewa kichapo Mpaka ikabidi tu abadili GIA angani [emoji28]

Sent from my Infinix X660B using JamiiForums mobile app
Chanzo kilicho onesha hayo maneno yake

Sent from my Infinix X657 using JamiiForums mobile app
 
Sio haraka hivyo Mzee, tunataka tumpigishe danadana huyo anyejiita super pawer wa kwenye makaratasi mpaka apate kilema Cha maisha..,tukienda kwa spidi hiyo unayotaka lengo la kumpigisha danadana huyo anyejiita super pawer wa kwenye makaratasi halitatimia baraabara

Sent from my Infinix X660B using JamiiForums mobile app
Aya pro NATO yetu macho

Sent from my Infinix X657 using JamiiForums mobile app
 
720 within twenty four hours..,kudadek, lazima Putin presha impande na kushuka,

Sent from my Infinix X660B using JamiiForums mobile app

We jamaa kweli ni shabiki wala hauna ufahamu juu ya vita anavyopigana au alivyowahi kupigana Urusi, Urusi alipoteza jumla ya watu takribani million 20 in world war 2, na bado hakurudi nyuma hadi akashinda Vita.

Hii vita itamalizwa kwa majadiliano . Na vyombo vya habari vinasema, Ukrain ikichelewa zaidi kwenye majadiliano na ikitokea Urusi akashika maeneo zaidi 50% ya Ukrain basi Urusi atakataa majadiliano na kutaka Kuiangusha Ukrain nzima.

Hapa kinachotegemewa ni hii package ya mwisho, maana ndo package kubwa kuwahi kupelekwa Ukrain, kama haitaleta mabadiliko basi Ukrain atakuwa kwenye hali mbaya zaidi.

Kuwa objective Kipanya.
 
Back
Top Bottom