Special Thread: Yanayojiri Mgogoro wa Ukraine na Urusi. Nini chanzo na hatma ya mzozo?

Special Thread: Yanayojiri Mgogoro wa Ukraine na Urusi. Nini chanzo na hatma ya mzozo?

Naona ujerumani kaanza kulainika ,punde zile mashine za leopard [emoji249][emoji249][emoji249][emoji249][emoji249] [emoji249] zitaanza kuwapelekea moto warusi huko front line

Source: DW kiswahili

Sent from my Infinix X660B using JamiiForums mobile app
Naona tunaenda kumiliki vifaru hivyo Moscow [emoji38][emoji38][emoji38][emoji38][emoji38][emoji38][emoji38]
 
Toa hata source ya habari yako Hilo graph hata mwendawazimu hawezi kulielewa.
Unataka nikupe source Ili ukamilishe na kile kibwagizo chenu Cha propaganda?? .., by the way hiyo takwimu ukiichek tu source yenyewe IPO hapohapo, unaweza kuisearch mwenyewe huko Facebook , Twitter,na kwingineko

Sent from my Infinix X660B using JamiiForums mobile app
 
Yaani mtengenezaji (Sukhoi Bureau) anasema zinaweza kutumika wewe unasema haziwezi!!!

Na kwanza hiyo kitu ya kusema hakuna K77 umeipata wapi!?

General Surovikin implied that Su-57s have brought down adversary fighters.
For air-to-air engagements, the Su-57 is equipped with the R-37M (RVV-BD) long-range missile, K-77M medium-range missile, and two short-range missiles – R-74M2 & K-MD (Izdeliye 300).

Wasikilize RT
Russia has developed a new specialized long-range air-to-air missile, the K-77M, developed for the Su-57, to give it an edge over its main competitors.

Hii ni taarifa ya 2021.

K-77M is the most complex air-to-air missile that Russia has ever built.

Mwaka 2020 kwenye maadhimisho ya miaka 100 ya Russia's military flight test center ilionekana Su57 ikiwa na R77 ambazo hazijawahi kuonekana kabla K77.

Leo ni 2023 bado unaamini urusi hawajatengeneza silaha za kuequip ndege zao bora zilizotoka 2020.
Unabisha ukilazimisha R-77 zinaweza tumika kwenye internal bay kisha unaleta utetezi unaoonyesha hazitumiki. Huu ni ubishi usio na msingi, nimeandika R-77 hazitumiki internal bay, unabisha kisha unaleta ushahidi unaoonyesha R-77 hazitumiki bali K-77M ileile niliyokwambia.

Na unakosea point moja ya msingi sana, "operational". Silaha nyingi tu Russia anazo kwenye testing. T-14 Armata haiko operational, Bumerang, Hunter-B, Poseidon, n.k. Sasa ukikuta T-14 Armata inatembea barabarani utoke unashangilia iko operational, wakati haijawa accepted wala deployed. Kufyatua K-77M ni jambo moja, kukubaliana nayo kuwa mass produced ni jambo lingine. Watu kama nyie mtasema Kipanya sasa hivi anatengeneza magari, kwa lile gari moja aliloendesha kwenye uzinduzi.

Special operation yenyewe hii walikuwa wanakana na wanaita taarifa za West ni propaganda, na nyinyi baadhi yenu humu shingo zilikuwa zinashupaa hakuna uvamizi.
Surovikin kusema Su-57 sishangai utamaduni wa jeshi la Urusi. Hata hapa walidai T-14 Armata zitanunuliwa 20 mwaka 2021 mpaka leo sifuri. Hapo kuna delays zilitangazwa mara nyingi kabla ya 2021 tena na Shoigu mwenyewe. Kila mwisho wa mwaka ukifika wanasema mwakani
IMG_20230123_125843.jpg


Na makampuni kusema vyovyote ni kawaida pia. Sukhoi hapa tuliambiwa Hunter-B drone itakuwa tiyari 2020, leo 2023 bado sifuri
IMG_20230123_125746.jpg
 
Unataka nikupe source Ili ukamilishe na kile kibwagizo chenu Cha propaganda?? .., by the way hiyo takwimu ukiichek tu source yenyewe IPO hapohapo, unaweza kuisearch mwenyewe huko Facebook , Twitter,na kwingineko

Sent from my Infinix X660B using JamiiForums mobile app
Source. Indicative estimates by Ukraine Armed forces.[emoji12][emoji12][emoji12][emoji12][emoji12][emoji12] Tupe hata picha Basi maana link umekosa.
 
Hakuna Kati ya Leopard ama Abraham's ambacho Russia hakifahamu . Vinajulikana na dawa zao zipo. Haya mavifaru KWA vita ya mitaani itakua kichekesho
Hivi unajua kwamba Kwa siku za hivi karibuni Putin Halali? Jamaa anasikilizia kama mkeka wa Ukraine kupewa vifaru vya leopard [emoji249] utachanika au la!!
Ingekuwa rahis kuviharibu kama unavyodai Wala isingekuwa big news kwenye vyombo vyote vikubwa vya habari,Kila mtu anaujua mziki wa hizo mashine ndio maana tension imekuwa kubwa mno

Sent from my Infinix X660B using JamiiForums mobile app
 
Hivi unajua kwamba Kwa siku za hivi karibuni Putin Halali? Jamaa anasikilizia kama mkeka wa Ukraine kupewa vifaru vya leopard [emoji249] utachanika au la!!
Ingekuwa rahis kuviharibu kama unavyodai Wala isingekuwa big news kwenye vyombo vyote vikubwa vya habari,Kila mtu anaujua mziki wa hizo mashine ndio maana tension imekuwa kubwa mno

Sent from my Infinix X660B using JamiiForums mobile app
Nipneshe HIMMARS MOJA NZIMA
 
Urusi inaendelea kuzi vunja defense line za ukraine huko zaphorozinye bado km chache kuingia kwenye jiji kuu la jimbo hilo
Nimetoka kufatilia hapa kiukweli defence ya Zaporozhya hamna kitu kabisa bora hata wale wa upande wa Donesk.muda mfupi tu wametelekeza vijiji kibao tu .

Kuna taarifa kuwa jeshi kubwa lipo kwenye mpaka wa Kharkiv.inaonekana muda sio mrefu Kharkiv kitanuka[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Abram tank ya mchongo,
Huko Iraq wameivuruga Sana[emoji38][emoji116]View attachment 2492353View attachment 2492356
Katika vitu Wamarekani wamejitahidi kuficha na wamefanikiwa Ni 1.anguko la advanced tank Abrams kutoka kwa silaha za adui Kama Kornet ama Metis ama Konkurs ATGM huko Iraq na kwingine duniani.
Wao hukipamba kifaru hiki kwa ubora kivita Kwamba hakijawahi ku be killed hata na ATGM. Na kwa hakika wamefanikiwa. Hata waliposhindwa kabisa vitani wanakwambia tumefanya shambulio la ndege kuharibu kifaru ili teknolojia isihame.
2. F 15 na f 16 air superiority fighter jet,
Kwa mujibu wa Marekani Hakuna hata ndege moja Kati ya hizo Ime be killed kwa air to air missile kutoka ndege hasimu. But taarifa za mahasimu kivita zimekuwa zikionesha anguko la ndege hizi kule Iraq na hata Bosnia.
 
Zelensk anapoelekea lazima awe anafanya maamuzi magumu la sivyo atakuwa anapoteza wanajeshi wengi kila siku.kwa hali ilivyo kwenye mji wa Seversk sio nzuri kabisa.barabara kuu zote zimekamatwa zimebaki barabara za mtaani. hakuna jinsi zaidi ya kutoa wanajeshi kutelekeza mji.

Zelensk yeye analazimisha wanajeshi wapigane tu hata kama supply ya vifaa imekata.kwa hali hii anajikuta anapoteza wanajeshi wengi zaidi.kurudi nyuma kujipanga sio ujinga,Warusi sio wajinga kuondoka Kherson mjini.

IMG_20230123_150746_902.jpg
 
Nimetoka kufatilia hapa kiukweli defence ya Zaporozhya hamna kitu kabisa bora hata wale wa upande wa Donesk.muda mfupi tu wametelekeza vijiji kibao tu .

Kuna taarifa kuwa jeshi kubwa lipo kwenye mpaka wa Kharkiv.inaonekana muda sio mrefu Kharkiv kitanuka[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Yaani furaha niliyo nayo siwezi kuielezea kila siku nawaombea warusi na Putin wafanikiwe na mungu atubariki wote tunaopinga maovu kuua vitani si dhambi Kama unapinga uovu mbona daud alimtandika Goliath na akabarikiwa sisi ni Nani mpaka tukatae baraka?
 
Yaani furaha niliyo nayo siwezi kuielezea kila siku nawaombea warusi na Putin wafanikiwe na mungu atubariki wote tunaopinga maovu kuua vitani si dhambi Kama unapinga uovu mbona daud alimtandika Goliath na akabarikiwa sisi no Nani mpaka tukatae baraka?
[emoji120] usiwe na wasiwasi mkuu ni swala la muda tu kabla awajaomba msamaha.jeshi la Ukraine kwa sasa lishapotea kabisa wala hakuna cha ziada.ile mbinu yao ya kutega kwenye majengo kisha ukitokea unashangaa umepigwa na kombola tumeishtukia kwa sasa.

Sasa ivi tuna hakiki mpaka majengo kama kuna usalama kisha ndo tunasonga.watafute mbinu nyingine kama kweli wanataka kupigana vita., [emoji23][emoji23][emoji23]
 
Back
Top Bottom