Special Thread: Yanayojiri Mgogoro wa Ukraine na Urusi. Nini chanzo na hatma ya mzozo?

Hakuna missiles za internal weapons bay zilizo operational kwa Su-57. Huwezi tumia R-77 hii hii inayotumika kwenye Mig-29 ukaiweka kwenye internal bay. Size zinakuwa tofauti na launch mechanism inaweza kuwa tofauti.
Wafanye design, testing na iwe accepted ndio iwe operational. Kumbuka tunazungumzia ndege stealth ambayo imekuwa introduced December 2020, haiko matured project hii. Vitu vingi bado vinakuja.

Wanafanya modernization ya R-77 wapate K-77M. Ndio yaleyale huwa nakataa humu kuiita iPhone 7 na iPhone 13 kitu kilekile kisa jina linatanguliwa na iPhone- ***.
Kwenye source yako kuna "Su-57 fighter will have ..." sijui ni kauli ya lini. K-77M na hiyo missile nyingine inabidi ifit namna hiiView attachment 2491536

Na R-77 ndio hii hata variants nyingine kwa ajili ya non stealth jet hazina tofauti sanaView attachment 2491535

Na configuration ya Su-57 kutoka kwa Sukhoi ni hii. Hapo kwenye wings kuna bays ndogo za missiles nyingine ndogoView attachment 2491534
Yaani mtengenezaji (Sukhoi Bureau) anasema zinaweza kutumika wewe unasema haziwezi!!!

Na kwanza hiyo kitu ya kusema hakuna K77 umeipata wapi!?

General Surovikin implied that Su-57s have brought down adversary fighters.
For air-to-air engagements, the Su-57 is equipped with the R-37M (RVV-BD) long-range missile, K-77M medium-range missile, and two short-range missiles – R-74M2 & K-MD (Izdeliye 300).

Wasikilize RT
Russia has developed a new specialized long-range air-to-air missile, the K-77M, developed for the Su-57, to give it an edge over its main competitors.

Hii ni taarifa ya 2021.

K-77M is the most complex air-to-air missile that Russia has ever built.

Mwaka 2020 kwenye maadhimisho ya miaka 100 ya Russia's military flight test center ilionekana Su57 ikiwa na R77 ambazo hazijawahi kuonekana kabla K77.

Leo ni 2023 bado unaamini urusi hawajatengeneza silaha za kuequip ndege zao bora zilizotoka 2020.
 
Hakuna missiles za internal weapons bay zilizo operational kwa Su-57. Huwezi tumia R-77 hii hii inayotumika kwenye Mig-29 ukaiweka kwenye internal bay. Size zinakuwa tofauti na launch mechanism inaweza kuwa tofauti.
Wafanye design, testing na iwe accepted ndio iwe operational. Kumbuka tunazungumzia ndege stealth ambayo imekuwa introduced December 2020, haiko matured project hii. Vitu vingi bado vinakuja.

Wanafanya modernization ya R-77 wapate K-77M. Ndio yaleyale huwa nakataa humu kuiita iPhone 7 na iPhone 13 kitu kilekile kisa jina linatanguliwa na iPhone- ***.
Kwenye source yako kuna "Su-57 fighter will have ..." sijui ni kauli ya lini. K-77M na hiyo missile nyingine inabidi ifit namna hiiView attachment 2491536

Na R-77 ndio hii hata variants nyingine kwa ajili ya non stealth jet hazina tofauti sanaView attachment 2491535

Na configuration ya Su-57 kutoka kwa Sukhoi ni hii. Hapo kwenye wings kuna bays ndogo za missiles nyingine ndogoView attachment 2491534
Kwa iyo wewe ujanua mambo ya mabomu kuliko WaRUSI wanaotengeneza silaha na Dunia nzima wanatumia.

tuambie weww ushawahi kutengeneza silaha gani?

Maana ili ubishane na warusi basi lazima na wewe uwe unajua kutengeneza ivi vitu.yani warusi waseme inatumia missile furani, alafu weww hupo huku unasema haiwezekani.[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787] ivi wewe mzima kweli.

Unapata wapi ujasili wa kuwabishia Warusi.wewe kapuku mmoja ubishane na waliotengeneza ndege.ulienda wapi kuona iyo size na missile kwenye iyo ndege.ebu jaribu kuwa muelewa sio kila kitu kubisha tu ili watu wakuone unajua kila kitu.
 
Usipende kupayuka payuka ovyo kama vile kila kitu unakijua wewe Dunia mzima.

K-77M (izdeliye 180) – Version under development for the Sukhoi Su-57 with AESA seeker,[8] conventional fins, and two-pulse motor
 
Kwa iyo wewe ujanua mambo ya mabomu kuliko WaRUSI wanaotengeneza silaha na Dunia nzima wanatumia.

tuambie weww ushawahi kutengeneza silaha gani?

Maana ili ubishane na warusi basi lazima na wewe uwe unajua kutengeneza ivi vitu.yani warusi waseme inatumia missile furani, alafu weww hupo huku unasema haiwezekani.[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787] ivi wewe mzima kweli.

Unapata wapi ujasili wa kuwabishia Warusi.wewe kapuku mmoja ubishane na waliotengeneza ndege.ulienda wapi kuona iyo size na missile kwenye iyo ndege.ebu jaribu kuwa muelewa sio kila kitu kubisha tu ili watu wakuone unajua kila kitu.
Huyu mnyeto anachojua kutengeneza ni hiki tu
images (4).jpeg
images (3).jpeg
 
Vifaru haviendi kimkakati. Kuna habari vile vifaru vyao kwenye snow vinateleza na kubiringita kama funza. So wanabuy time ili ikiwezekana baada ya msimu wa baridi wapeleke silaha za kufika Hadi Moscow. Ndio maana warusi wanajaza airdrfence kwenye magorofa.
Exactly, urusi Kwa Sasa anajiweka sawa , maana anajua wazi kwamba kichapo chake hakiko mbali ,

Sent from my Infinix X660B using JamiiForums mobile app
 
Jana walichinjwa warusi 720, maombi yenu kwa warusi yasikome wakuu..,in fact wanachinjwa kwa idadi kubwa isiyoelezeka,hii vita imekuwa Janga kubwa sana kwa askari wa urusi 🥱🥱
1674464504166.jpg

Sent from my Infinix X660B using JamiiForums mobile app
 
Wakati huohuo wakubwa wako wa mataifa unayo yategemea wanalia lia

Sent from my Infinix X657 using JamiiForums mobile app
Wanalialia huku wakiendelea kumshikisha adabu mrusi,ogopa kugombana na mtu hambaye anakurushia ngumi huku akibubujikwa na machozi..,watu wa aina hiyo Huwa hawarudi nyuma, ukiona unapigana na mtu mwenye Hali hiyo,kama ukipata nafasi ya kukimbia kimbia tu ndugu yangu [emoji28][emoji16]

Sent from my Infinix X660B using JamiiForums mobile app
 
Naona ujerumani kaanza kulainika ,punde zile mashine za leopard [emoji249][emoji249][emoji249][emoji249][emoji249] [emoji249] zitaanza kuwapelekea moto warusi huko front line

Source: DW kiswahili

Sent from my Infinix X660B using JamiiForums mobile app
 
[emoji1255][emoji1255][emoji91][emoji91]mambo yanazidi kuwa moto wakuu, ujerumani Sasa ineweka wazi kwamba haitazuia usafifirishaji wa vifaru vya leopard [emoji249][emoji249][emoji249][emoji249] kwenda ukraine [emoji56][emoji56]
Source: BBC Swahili

Back
Top Bottom