Special Thread: Yanayojiri Mgogoro wa Ukraine na Urusi. Nini chanzo na hatma ya mzozo?

Special Thread: Yanayojiri Mgogoro wa Ukraine na Urusi. Nini chanzo na hatma ya mzozo?

Wasemavyo wataalamu

Ubora wa F35 dhidi ya Su57 ni kwenye stealth and electronic superiority. Ubora wa Su57 dhidi ya F35 ni kwenye range, payload, speed, multirole na maneuverability.

Unasema mpaka sasa Su 57 haina missiles zozote za internal weapons bay!? Mbona kama kamba hii!?

The Russian Su-57 fighter will have two internal weapons bays capable of carrying four R-77 missiles and four R-73 missiles according to Sukhoi Design Bureau.
- Watengenezaji wenyewe wanasema.

Unamaanisha hizi R 77 na 73 missiles ndio mpk sasa hazipo au!?

From wikipedia
R 77 zipo kwenye service tangu 1994. Mwaka 2015 hata Syria zilitumika kwenye Su35.
Launch platform ya hizi missiles ni mig 21, 29, Su 30, 27, 34, 35 na 57. R73 zipo in service tangu 1984.

Hebu fafanua hapo unaposema hakuna missiles za internal weapons bay za Su57 unamaanisha nini hasa!?
Hakuna missiles za internal weapons bay zilizo operational kwa Su-57. Huwezi tumia R-77 hii hii inayotumika kwenye Mig-29 ukaiweka kwenye internal bay. Size zinakuwa tofauti na launch mechanism inaweza kuwa tofauti.
Wafanye design, testing na iwe accepted ndio iwe operational. Kumbuka tunazungumzia ndege stealth ambayo imekuwa introduced December 2020, haiko matured project hii. Vitu vingi bado vinakuja.

Wanafanya modernization ya R-77 wapate K-77M. Ndio yaleyale huwa nakataa humu kuiita iPhone 7 na iPhone 13 kitu kilekile kisa jina linatanguliwa na iPhone- ***.
Kwenye source yako kuna "Su-57 fighter will have ..." sijui ni kauli ya lini. K-77M na hiyo missile nyingine inabidi ifit namna hii
Su-57-with-Missile.jpg


Na R-77 ndio hii hata variants nyingine kwa ajili ya non stealth jet hazina tofauti sana
FSehTVKVkAAQF1-1068x606.jpg


Na configuration ya Su-57 kutoka kwa Sukhoi ni hii. Hapo kwenye wings kuna bays ndogo za missiles nyingine ndogo
Su-57-Infograph.png
 
Kuna mpango wa kumu-assasinate Putin, wakimaliza wanapindua serikali ya Urusi hapo ndio vita inaisha, na huto tu-ist tunabaki maonyesho
Hivi unajua consequences za NATO kumuua Rais wa Russia?! Yaani NATO na West wanaomba Kila siku Putin asichomwe hata na mwiba kwani Kama ikibainika kuwa NATO wanahusika ndio utakuwa mwisho wa NATO, West na dunia nzima..
 
Huyo ni mgonjwa wa akili

Hata akikuta kipande cha bendera ya Urusi njiani atakifungulia mada kwamba Urusi yapoteza bendera moja 🤣🤣
Mabao yake ya kunyetuka yalimwagika na akili
šŸ˜‚šŸ˜‚šŸ˜‚šŸ˜‚šŸ‘šŸ‘šŸ‘šŸ¤šŸ¤šŸ¤
Jamani eeh naombeni tumpunguzie mashambulizi huyu mchambuzi jamani.
Naona anapigwa Kila Kona.
Mpeni nafasi awafurshishe wafuasi wake.
 
Mkuu, inasadikiwa Leopard 2 ndiyo tanks yenye ufanisi mkubwa kabisa hapa Duniani kwa sasa, zikifuatia zile za Uingeleza Challenger 2 na za Marekani The M1 Abrams - kama ukiwa na Leopard 2 mia moja vita itakuwa nyepesi.

Mjerumani anaona kabisa anaweza kuingia mzozo mpya yeye na Mrusi wa moja kwa moja, nafikiri hapo ndipo shida ilipo.
Kuna siku niliweka link hapa kuhusu hizi Leopard 2 tanks kushindwa kuonyesha ufanisi wake Syria mbele ya ISIS.



20230122_155850.jpg
 
Hilo bado lipo kwenye design tu, bado hawajaweka kwenye ile midoli yao michache iliyopo.

Alafu jifunze kujibu hoja bila kutukana, kupishana mtazamo hakuepukiki.
Rafiki unapata taabu sana kumtetea na kumlinda huyu mtu wako,watu wameshamuona ni mtu mjanjamjanja Fulani hivi,😃😃😃😃.
Mohamedidrisa ametoa ushahidi usio na shaka hapo.picha na maelezo.
 
Nchi nyingi zinakwepa kutuma vifaru kwasababu vifaru ni silaha muhimu na yenye kutumika sana vitani lakini uchukua muda mrefu kukitengeneza. Na ni gharama kubwa maana uambatana na mifumo ya mawasiliano, kifaru kimoja kinaweza chukua hadi miezi sita.

Kila nchi inahofia kupunguza reserve ya vifaru vyake kwasababu ya kutokuwa na muda wa kutosha kupata vingine ikiwa hii operation ya Urusi ikapelekea vita kamili kati ya nchi za Nato na Urusi. Ukiwa huna vifaru vya kutosha maana yake tayari upo kwenye wakati mbaya.

Ndo maana Poland anasubiri ruhusa ya Germany [emoji629] ili apeleke hvyo vifaru kwa makubaliano ya Ujerumani kutengeneza vingine haraka na kuwarudishia poland [emoji1200].

Vifaru ni gharama kubwa sana na utumie muda mrefu kuvitengeneza.
Umeongea fact tupu bila mihemko[emoji4][emoji1431]
 
German na US wanacheza mchezo wa kuviziana. German anataka US apeleke ABRAMS ili na yeye apeleke gerpad zake. Ili zikishindwa wajue wote wanapoteza masoko yao wote. Huu ni mtizamo tu.
Kwa hisani ya mkuu PNU[emoji116]
Nchi nyingi zinakwepa kutuma vifaru kwasababu vifaru ni silaha muhimu na yenye kutumika sana vitani lakini uchukua muda mrefu kukitengeneza. Na ni gharama kubwa maana uambatana na mifumo ya mawasiliano, kifaru kimoja kinaweza chukua hadi miezi sita.

Kila nchi inahofia kupunguza reserve ya vifaru vyake kwasababu ya kutokuwa na muda wa kutosha kupata vingine ikiwa hii operation ya Urusi ikapelekea vita kamili kati ya nchi za Nato na Urusi. Ukiwa huna vifaru vya kutosha maana yake tayari upo kwenye wakati mbaya.

Ndo maana Poland anasubiri ruhusa ya Germany [emoji629] ili apeleke hvyo vifaru kwa makubaliano ya Ujerumani kutengeneza vingine haraka na kuwarudishia poland [emoji1200].

Vifaru ni gharama kubwa sana na utumie muda mrefu kuvitengeneza.
 
Hofu yangu ni kuwa hii operation sijui itaishaje!? Kwa sababu imebeba mustakabali mkubwa sana wa mabwana wakubwa wa dunia.

Sina shida kwamba Russia atashinda ila sijajua West watalikabili vipi hili!
Urusi haiogopi chochote ktk vita hii.
Urusi Iko tayari kutumia silaha yoyote kuliko kuendekeza ujinga.

West hawako tayari kwa vita ya namna hiyo.
Sioni nchi yoyote ya west kuingia vita ya nyukilia na urusi.sioni.USA atakubali yaishe.
Subiri utaona.
 
Kuna siku niliweka link hapa kuhusu hizi Leopard 2 tanks kushindwa kuonyesha ufanisi wake Syria mbele ya ISIS.



View attachment 2491588
Kingine ni kwamba wametengeneza mavifaru makubwa Kama nyumba yaani kupiga na kuyaona hupotezi mda kweli msemo wa wahenga leo umetimia kichwa kikubwa hakina akili[emoji2][emoji2][emoji12][emoji12][emoji12][emoji12][emoji12][emoji12][emoji12]
 
Hali ilivyo huko front maeneo ya Zaporozhye.unaweza ukahisi labda warusi walitumia Nuclear kufanya shambulizi ili kwa vikosi vya Ukraine[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]


Ni muda sahihi wa Zelensk kujitafakari maana Warusi sasa wanaonekana wameamua.


[emoji635][emoji635][emoji635][emoji635][emoji635][emoji635][emoji635][emoji635][emoji635][emoji635][emoji635][emoji635][emoji635][emoji635][emoji635][emoji635][emoji635][emoji635][emoji635][emoji635][emoji635][emoji635][emoji635][emoji635][emoji635][emoji635][emoji635][emoji635][emoji635][emoji635]






Wakae mezanu yaishe,watachaKaa sana
 
West wamemcost Ukraine, naona hata kupigana nikamavile wanajeshi wa Ukraine wameishajikatia tamaa....wanasubiri order ya kusurrender tu....kwa upande mwingine Russia ndo kama wanaanza vita...

Sent from my SM-A205F using JamiiForums mobile app
Sahii mkuu,
Hii Vita uwanja umeinama
Kupigana Vita kwa silaha za kusaidiwa huwez fika popote
 
Back
Top Bottom