Special Thread: Yanayojiri Mgogoro wa Ukraine na Urusi. Nini chanzo na hatma ya mzozo?

Special Thread: Yanayojiri Mgogoro wa Ukraine na Urusi. Nini chanzo na hatma ya mzozo?

Hadi sasa Su-57 haina missile yoyote ya internal weapons bay. Ukiweka missile nje una-compromise stealth.

kwamba Felon mpaka sasa haina missile yoyote ya internal weapons bay?

Kwa maana ya kwamba internal weapons bay iko empty haina missiles ambazo zimeundwa kukaa hapo? Au Felon haijatengenezwa na internal weapons bay hivyo Missiles zake zote zinakaa nje? Au sijakupata unamaanisha nini
 
kwamba Felon mpaka sasa haina missile yoyote ya internal weapons bay?

Kwa maana ya kwamba internal weapons bay iko empty haina missiles ambazo zimeundwa kukaa hapo? Au Felon haijatengenezwa na internal weapons bay hivyo Missiles zake zote zinakaa nje? Au sijakupata unamaanisha nini
Huyo jamaa anayeitwa T Armata sio kabisa wa kumuamini na simpendi kabisa, nashangaa anatumia jina letu.ni muongo sana ukimsikiliza.

Anapenda kuongea kishabiki kwa sababu ya kutoipenda Urusi.anakwambia kuwa SU-57 mpaka sass aina missile za internsl bay wakati R-77 na R-73 zinakaa kwenye internal bay ya SU-57.

Ni mtu muongo na asiyejua chochote kile kwenye mambo ya kijeshi.we mchukulie kama vile kichaa.

Screenshot_20230121-223331_Chrome.jpg
 
Yani hawa west kujichangisha Tank mpya 300 tu kwa ajili ya Ukraine imekuwa inshu.ivi kweli wapo serious kuwasaidia Ukraine kuwatoa Warusi kama wanavyosema au wapo kwa ajili ya kumchelewesha mrusi[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Subirini mnyolewe[emoji2] babu anapelekwa mdogomdogo mpaka aombe poo

Sent from my itel W4001P using JamiiForums mobile app
 
Naomba kufahamoshwa kuhusu kundi la kigaidi la wagner? nani ni mfadhili wao
Kuwa na heshima japo kigodo wagner ni kampuni ya ulinzi
Na kazi yake kubwa ni kuhakikisha mwanaume anabaki mwanaume na mwanamke anabaki mwanamke yaani kwa ufupi inapambana na wasambaza upinde duniani maarufu kama lgbtq
Pia ni kampuni hatari sana kwa nato hasa ukraine maana mpaka sasa imepeleka hofu ya mungu mioyoni mwa wa ukraine wengi na nato kwa ujumla maana hawa wagner wanatembeza kichapo sana kwa wana upinde
Mafanikio- imeshachukua maeneo mengi ya wana upinde na kuyakomboa kutoka mikononi mwa mwovu shetani na west maana ushoga na unazimamboleo vimekoma katika maeneo hayo
 
Tunaisubiri package ili tuendelee ku shot down.

Russian forces liberate Dvurechye settlement in DPR — Defense Ministry

"The losses of the Armed Forces of Ukraine amounted to 50 servicemen killed and wounded, two armored combat vehicles, three pickup trucks, as well as two D-20 and D-30 howitzers," Konashenkov said


MOSCOW, January 21. /TASS/. Volunteers of assault teams with fire support from the Southern Military District, liberated the village of Dvurechye in the Donetsk People’s Republic, the losses of the Armed Forces of Ukraine reached 50 servicemen killed and wounded, the official representative of the Russian Defense Ministry, Lieutenant-General Igor Konashenkov said on Saturday.

"In the Donetsk direction, volunteers of assault teams, with fire support from operational-tactical and army aviation, missile forces, and artillery of the Southern Military District, liberated the settlement of Dvurechye in the Donetsk People's Republic. The losses of the Armed Forces of Ukraine amounted to 50 servicemen killed and wounded, two armored combat vehicles, three pickup trucks, as well as two D-20 and D-30 howitzers," he said.

Konashenkov also added that Russian air defense systems shot down Mi-8 helicopter of the Ukrainian Air Force in the Kharkov region. "Air defense systems shot down a Mi-8 helicopter of the Ukrainian Air Force near the village of Lozovaya, Kharkov region," he said.

At the same time, according to him, fighter aircraft of the Russian Aerospace Forces shot down Su-24 aircraft of the Ukrainian Air Force in the Donetsk People's Republic. "Fighter aircraft of the Russian Aerospace Forces shot down Su-24 aircraft of the Ukrainian Air Force near the village of Vladimirovka in the Donetsk People's Republic," Konashenkov said.
 
Ufaransa ni kawaida yake kujitoa kwenye jet project. Hata Rafale aliipata baada ya kujitoa kwenye Eurofighter Typhoon. Ila hii Future Combat Air System (FCAS) France hawezi jitoa maana Dassault ndio kama main contractor. Na kwa ugumu wa 6th generation ni vigumu nchi iwe yenyewe. Mwingereza tiyari kashakimbilia kwa Japan wana project yao
Hiyo ya Japan na mwingereza ndio ile wameialika mpaka Italy?

....ila ni kama vile UK na France hawapatani baadhi ya mambo (mahasimu wa chini chini) ndio maana ni vigumu kuwakuta kwenye project moja (rejea hata namna UK inavyopinga wazo la Ufaransa kuanzisha umoja wa kijeshi kuilinda Ulaya)...
 
Hiyo ya Japan na mwingereza ndio ile wameialika mpaka Italy?

....ila ni kama vile UK na France hawapatani baadhi ya mambo (mahasimu wa chini chini) ndio maana ni vigumu kuwakuta kwenye project moja (rejea hata namna UK inavyopinga wazo la Ufaransa kuanzisha umoja wa kijeshi kuilinda Ulaya)...
Hivi mdogo wangu huwa unavuta bangi?
 
Former Reagan aide Roberts: Poland will begin large-scale mobilization to occupy Western Ukraine

Large-scale mobilization may begin in Poland in order to prepare for the occupation of Western Ukraine.


Maneno hayo yakizungumzwa na russia wanaonekana ni vichaa.
Screenshot_20230121-234720_Chrome.jpg
 
Back
Top Bottom