Special Thread: Yanayojiri Mgogoro wa Ukraine na Urusi. Nini chanzo na hatma ya mzozo?

Special Thread: Yanayojiri Mgogoro wa Ukraine na Urusi. Nini chanzo na hatma ya mzozo?

Hii ingekua imetokea Russia .kipanya na genge lake wangefungulia mpka uzi mpya 😁 cjui heading yake wangeandika vp 🤣🤣🤣
zelensky kp kipanya hawana tofauti wakila, wakiamka, wakijamba hata kula wao ni weapon weapon weapon, hadi mabeberu wamemwambia asubiri kwanza hadi aambiwe namna ya kujipanga kabla ya kuanza mashambulizi.
 
Russia imeshapoteza TEL ya S-400 mwaka jana hiyo. New evidence
20230121_173053.jpg
20230121_173055.jpg
20230121_173057.jpg
 
[emoji635][emoji635][emoji635][emoji635][emoji635][emoji635][emoji635][emoji635][emoji635][emoji635][emoji635][emoji635][emoji635][emoji635]
Mwanamgambo wa Ukraine akiwa chini ya Wagner Group

"I'm very glad that I got out of this meatgrinder alive" - AFU POW in captivity of PMC Wagner

AFU soldier A.Dyuzhikov, captured by Wagner forces, wrote an appeal to his relatives in Odessa, "They treat me normally. The guys are all normal. Everything is fine."

Source: RVvoenkorView attachment 2490057
Wamejikunja kama kuku wagonjwa.
JamiiForums-166542192.jpg
 
Hata marekani na Europe wangefungiwa bomba la mafuta na kuto uziwa nafaka na madini ya Urusi iyo 2014 wangekuwa na hali mbaya zaidi kuliko sasa. Hao west unao wasifia hawana potential ya kumthibit Urusi kiuchumi kwa maana Urusi ilishajiondoa kwenye myororo na utumwa wa kiuchumi. Ndo kati ya nchi ambazo monetary system yao haiko attached na ya wazungu Kama sisi wabongo mzungu akipiga chafya ya corona Benki kule huku mambo Yana yumba. Urusi inajitosheleza hata bila west au America na dunia inamuhitaji Urusi kuliko Urusi anavyo hitaji dunia. Urusi hajawai kushidwa vita na kwa haraka haraka sanctions zimedunda ina maana anashinda vita ya kiuchumi, sasa ngoja iyo Benki mpya ya Dunia ifunguliwe ambapo dollar haitakuwa ikitumika kwenye kila transactions Kama sasa kila nchi itakuwa na haki ya kutumia sarafu yake katika manunuzi. Tuna elekea kwenye balanced world order aka multipolar world.

Bila kusahau Kuna vuguvuga la Texas kujichomoa USA tena kama nyakati zile.Na pia Kuna vuguvugu ya vita ya wenyewe kwa wenyewe marekani Kama ile revolutionary war. Hizi ni za chini chini.
Hio vita ya mwenyew kwa wenyew kuna mtabir alitabir miaka 1600+ huko
 
Humu walikuwepo watu wengi sana wakishabikia upande fulani ghafla ngoma ilipokua ngumu wakapoteana ,baada ya kukaa mafichoni muda mrefu kidogo wakawa wanavizia vihabari haoo wanafufuka wotešŸ˜‚šŸ˜‚ basi bwana mmoja sijui ndio urusi yule akakaza dozi jukwaa likainama upande mmoja watu wakamute ila kuna wengine walirudi humu kwa id nyingine baada ya id za mwanzo kuprove failure na kuna mmoja namuona ona hapa najua mawili,apotee mazima muda ukifika au abadili id akaze fuvu....hebu nimpigie tena jamaa yangu yuko na wagner wanakichafua balaa huko kuliko inavyosimuliwa hapa
 
Ufaransa wamwambie ukweli Zelensky kuwa hata akipewa silaha zote za NATO hawezi kamwe kumshinda PUTIN & WAGNER PMC. Ufaransa amekimbiza majeshi kule MALI kwa sababu ya WAGNER, Bado kidogo watamfukuza Burkinafaso & Central Africa. Wagner PMC homa ya NATO.
Point of correction
Central Africa Republic Mfaransa alishafukuzwa muda mrefu sana.

Anayepatrol kule Central Africa ni Wagner group na Jeshi la Central Africa.

Burkinafaso na kwenyewe wafaransa washaluzi influence na kikundi Cha Sasa Cha askari waliopindua serikari kina mtazamo wa kimoscow.

Kifupi western Europe watatakiwa wafanye kazi hasa ili kurudisha trust angalau kidogo ili waweze kuendelea kuyakalia Mataifa hayo na kuendelea kuyanyonya.
 
Hii vita hapigani Ukraine, Ukraine ni kama chambo tu!

Hii vita anapigana Urusi na mataifa zaidi 30 ya NATO.

Ogopa sana mtu anapigana na mataifa 30 na hayamuwezi.

Source: US Navy SEAL killed in Ukraine
Kumbe siku hizi taarifa zinazotolewa na Marekani zinaaminiwa humu, mmeacha kuziita propaganda. RT wametumia source ya US Navy SEALs na source yenyewe imesema alikuwa ni deserter.

Basi na sisi tuanze kusema Tanzania inashirikiana na Urusi kwenye vita kisa yule mwanafunzi aliyekuwa Wagner. Na tuseme Malawi inashirikiana na Urusi kwa kile kifo cha raia wake aliyekuwa mwanafunzi nchini Russia
 
Back
Top Bottom