Kwa kuongezea, matukio baada ya Urusi kuichukua Crimea yalitoa tahadhari kubwa kwa Urusi..Baada ya sakata la Crimea 2014, west walianza kuweka vikwazo na kuongelea vikwazo vikubwa sana ambavyo Urusi hawakutarajia kama vingeongelewa mfano kuwadisconnect kwenye SWIFT.
Hii kitu Urusi angepigwa 2014 angekoma aisee..transaction za ndani zingekwama kabisa, walipoanza kunusa hii hatari wakaona watengeneze mfumo wao..2015 na ukaanza fanyia majaribio, VISA CARD & MASTERCARD zikawa localized, MIR ikaanza kuwa promoted sana.. .mfano malipo ya pension na other government payments zikaanza kutumia MIR, watu wakaanza kutafuta MIR cards..
West wamekuja kupiga vikwazo 2022 wakifikiri wataleta matatizo kwenye mzunguko wa fedha..kumbe hamna lolote...VISA na MASTERCARD ndani ya URUSI zinapiga kazi kama..nje ya nchi ndo shida, transactions ndani ya nchi pia zinaendelea bila shida yoyote..
N.K..
Kama Urusi ingepigwa sanctions kabla ya 2014 au 2014 yenyewe..hali ingekuwa mbaya mno..wangepata tabu
Sent from my SM-A205F using
JamiiForums mobile app