Special Thread: Yanayojiri Mgogoro wa Ukraine na Urusi. Nini chanzo na hatma ya mzozo?

Ardhi ya ukraine inaendelea kumegwa zaidi. kitu kinacho prove kuwa silaha za russia zinaleta matokeo bora na murua kabisa kwenye battlefield
Inaendelea kumegwa?! Embu tuambie tangu Counter offensive ya Ukraine pale August Russia imekamata miji mingapi ya Ukraine?!....na kipindi hicho Ukraine imerudisha miji mingapi!!!?
 
"" sizitaki mbichi hizi"" hii ni Baada ya kushindwa kuteka Kiev ndani ya saa 72 kama alivyojitapa bwana yule[emoji23]
Sasa amabaki kujivunia maeneo aliyoyaiba tangu 2014,

Sent from my Infinix X660B using JamiiForums mobile app
Hiyo ya saa 72 unaijua ww na ni vizuri kama inakupa faraja ila nachojua mimi ni kuwa ardhi ya ukraine imemegwa
"Hata ikigusa tu imeisha iyo"
 
Jamani eeh ,imekuwa mara mbili sasa nimekuwa nikiota kuuwawa kwa Rais wa Urusi bwana Putin.
Mimi ni mtu ninayemeditate sana.na ninapokea maono mengi kupitia kwa NDOTO na yanakuwa KWELI.
Watu wa kiroho wanasema kuwa sisi wanadamu hatuna umbali ,yaani ulipo NAMI nipo.
Hivyo Kuna uwezekano mwenzetu akapotezwa na watu wa magharibi.
Na nilichoona ,baada ya kifo Cha msela ,majenerali wake hawatokuwa na la kusema zaidi ya kusarender kuacha vita ili kuepusha vita vya nyuklia.
Kama kufa kwa Putin ndio kutamaliza vita ni vizuri afe tu mapema.
 
Wakati mwingine ni vizuri kuwa makini kwa kile unacho kisema - ni wapi jeshi la Urusi liliwahi kutangaza kwamba ilikuwa na mpango wa kuinyanganya Syria/Assad S-300 ADS - wapi

Narudia tena hii kauli kwa mara nyingine,Urusi kwasasa Hana ubavu wa kuiannex Ukraine nzima kama alishindwa kuikamata Kiev wakati Ukraine ikiwa dhaifu ndio aweze sasa Ukraine ikiwa imejizatiti Kwa silaha mbalimbali za West?!

Bro watu hatuongei kufurahisha Baraza tunakupa na evidence kabisa ukajisomee mwenyewe

Russia ships S-300 air defence missiles out of Syria - satellite images

Hivi hizo S400 zimefanya nini cha maana hapo Ukraine,si hua tunaambiwa Rada ya S400 inaona target ikiwa umbali wa 600km na kuweza engage ikiwa umbali wa 400km kwa kutumia 40N6 missile sasa ilikuaje Ukraine ikapenyeza drone zake (tena sio mara moja) toka Ukraine mpaka ndani kabisa ya Urusi zaidi ya 600km kwenda kupiga kambi ya jeshi yenye strategic nuclear bombers?!

Jana nilikupostia Rada ya Kisasa Podlet K-1 ambayo ilipigwa na precision missiles za Ukraine na Leo nakupostia tena hii hapa chini. Na hiyo sio ya Kwanza,ni ya pili. Hii Podlet K-1 inatumiwa na S400 missile system.

20230117_200301.jpg
 
Mkiambiwa RT ni Wana propaganda mnawaka,haya hiyo Kura imepigwa saa ngapi?! [emoji23]

[emoji298]️The German parliament has postponed the vote on the transfer of the "Leopards" to Ukraine, — according to the website of the Bundestag...
You can't even read between the lines kujua kwamba Ujerumani inachezea akili USA kwa mbinu za hali ya juu kabisa - unapo ambiwa kwamba kumetokea heated debate halafu wanajifanya suala hilo litapelekwa mbele kujadiriwa zaidi - FYI, that alone speaks volumes about Germans hawataki kujiingiza kwenye mgogoro wa Ukraine kichwa kichwa ie hawa-support modus operandi za Joe Biden katika vita hii inayo vuruga uchumi wa Ulaya kutokana na chuki binafsi za Biden na Putin - hata wakishinikizwa na US kupeleka vifaru hivyo Ukraine havitafanya kazi iliyo kusudiwa vyote vitakuwa not battle worthy no spare parts and make believe shells - wajerumani wajanja sana.
 
"You can't even read between the lines kujua kwamba Ujerumani inachezea akili USA kwa mbinu za hali ya juu kabisa"

Yani Mjerumani achezee akili ya USA [emoji23]

Wakati vita inaanza Ujerumani ilikataa kupeleka lethal weapons Ukraine,iliishia kupeleka helmet (kama unakumbuka) na body armour lakini baada ya pressure toka Marekani Ujerumani ikaanza kupeleka lethal weapons kama Ant tank missile,ant drone, ikapeleka Gepard, Artillery shells,counter battery radars bila kusahau air defenses kama IRIS-T. Kama hivyo vilienda hata hizo leopard tanks zitaenda. Nitakukumbusha.

Ujerumani hiihii iliyosema haitaki ndege ya F-35 baada ya uvamizi wa Ukraine ikakimbilia kuweka order ya kununua F-35 bila kusahau Chinook helicopters na silaha nyingine toka Marekani ndio icheze na akili ya USA!!!!!!? Labda Ujerumani ya Mbagala Rangi Tatu.
 
You can't even read between the lines kujua kwamba Ujerumani inachezea akili USA kwa mbinu za hali ya juu kabisa - unapo ambiwa kwamba kumetokea heated debate halafu wanajifanya suala hilo litapelekwa mbele kujadiriwa zaidi - FYI, that alone speaks volumes about Germans hawataki kujiingiza kwenye mgogoro wa Ukraine kichwa kichwa ie hawa-support modus operandi za Joe Biden katika vita hii inayo vuruga uchumi wa Ulaya kutokana na chuki binafsi za Biden na Putin - hata wakishinikizwa na US kupeleka vifaru hivyo Ukraine havitafanya kazi iliyo kusudiwa vyote vitakuwa not battle worthy no spare parts and make believe shells - wajerumani wajanja sana.
Kwa hiyo Ujerumani ni kibaraka wa Urusi ndani ya NATO ?
 
Russia Installing "PANTSIR-S" Air Defenses on Roofs of MoD and Gov't Buildings in Moscow​

WORLD HAL TURNER 19 JANUARY 2023 HITS: 5213
***FLASH*** Russia Installing PANTSIR-S Air Defenses on Roofs of MoD and Gov't Buildings in Moscow

If anyone needed a sign that Russia is preparing for all-out war, they need only look at what took place today earlier in Moscow. PANTSIR-S air defense systems were hoisted by cranes onto the rooftops of Russia's Ministry of Defense, and several other government buildings around Moscow.
In the photo below, you can see the PANTSIR-S installed atop Russia's Ministry of Defense Headquarters in Moscow:
PANTSIR-S-Atop-Ministry-of-Defense.jpg

In the brief 20 second video below, you can see a large crane, surrounded by Russian Army trucks on the street below, hoisting a PANTSIR-S1 onto the roof of another government building elsewhere in Moscow:

Here is what it looked like once the crane had finished:

PANTSIR-S1
The PANTSIR-S-1, shown below in a FILE PHOTO from an Air Show, is one of the most formidable anti-aircraft defense systems in the world.

It comes in a variety of models, some all-inclusive with Radar, missiles, and anti-aircraft guns, as shown above, or with the Radar unit separate from the missile and gun batteries, as seen in this additional FILE PHOTO from an air show:
Radar_1RL-123E_for_Pantsir-S1_-_InnovationDay2013part1-09.jpg

The radar unit above can command and control several different batteries of missiles and guns.
The fact that the Russian government is now moving THIS type of defensive system onto the roof of the Ministry of Defense and onto other roofs of other government buildings in Moscow, shows they __ E X P E C T __ to be at war soon, and they __ E X P E C T __ Moscow to be attacked by air.
One does NOT hoist anti-aircraft missile systems onto the roofs of government buildings on a lark; they do this because they EXPECT to need it.

The Pantsir missile system is a family of self-propelled, medium-range surface-to-air missile and anti-aircraft artillery systems. Starting with the Pantsir-S1 as the first version, it is produced by KBP Instrument Design Bureau of Tula, Russia, and is the successor to the Tunguska M1.
The Pantsir-S1 was designed to provide point air defense of military, industrial and administrative installations against aircraft, helicopters, precision munitions, cruise missiles and UAVs; and to provide additional protection to air defense units against enemy air attacks employing precision munitions, especially at low to extremely low altitudes.
The first finished version was completed in 1995 with the 1L36 radar, later another was designed. It is a short to medium range ground-based air defense system, wheeled, tracked or stationary with two to three operators. Its air defense consists of automatic anti-aircraft guns and surface-to-air missiles with radar or optical target-tracking and radio-command guidance.
Its purpose is the protection of civil and military point and area targets, for motorized or mechanized troops up to regimental size or as defensive asset of higher ranking air defense systems like S-300/S-400. The system has capability for anti-munitions missions. It can hit targets on the waterline/above-water. It can operate in a fully automatic mode. It has the ability to work in a completely passive mode. The probability of hitting a target for one missile is not less than 0.7 with a reaction time of 4–6 seconds. It can fire missiles and gun armament while in motion.
For its main radar station, early detection in height may be between 0–60° or 26–82° depending on the mode. The system is claimed to have significant advantages over other systems, such as Crotale NG (France), Roland-3 (France + Germany), Rapier 2000 (UK), SeaRAM (Germany + USA). This is not confirmed by comparative testing, but clearly follows from the declared limit of possibilities of systems (2010). In 2013, there was a variant with two radar stations for early detection, standing back to back. The system has a modular structure which enables a fast and easy replacement of any part.
After receiving target coordinates (from any source) it may engage the target (using all the radar except the early detection radar) within a range from −5 to +85 (82) degrees (vertical). The interval between missile launches is 1–1.5 seconds (a world record for analogue systems).
The S-400 Triumf and Pantsir missile system can be integrated into a two-layer defense system.
The images and video above PROVE that things between Ukraine and Russia are getting very much worse and that Russia expects to be attacked by NATO. Ukraine no longer has much ability to attack Russia and certainly not Moscow. So it is only logical for one to conclude that these defensive missile systems are being mounted because Russia now EXPECTS to do battle with NATO.
This is the worst sign yet that World War 3 is very much heading our way.
TAKE-AWAY: Since Ukraine lacks any real ability to hit Moscow, the question now facing all of us is simple: Will NATO simply "jump-in" to the Ukraine-Russia fight, or has Russia now decided that NATO has interfered so much, they must be hit first? Of course, if the latter is the case, then there wouldn't logically, be a NATO counter-attack and Moscow could be hit.
This is how dangerously close all of us actually are to the commencement of World War 3. And the mass-media, in the US, UK, and EU . . . haven't said much about it at all. Most citizens in the US, UK, and EU are blissfully unaware of how much trouble our "aid" to Ukraine is causing.
UPDATE 2:13 PM EST --
The European Union (EU) has set up its first stockpile to respond to nuclear emergencies. The stockpile has been deployed into Finland.
A total of €242 million has been allocated to Finland by the European Commission to create the bloc's first strategic reserve against chemical, radiological and nuclear (CBRN) threats for use by all member states.
"Russia’s war of aggression against Ukraine has confirmed the need to strengthen EU CBRN preparedness," Janez Lenarcic, European Commissioner for Crisis Management, said.
The stockpile, he added, "will provide the EU with a significant safety net enabling a quick and coordinated response at EU level."
The new reserve will include critical medical countermeasures, such as vaccines and antidotes, medical devices and field response equipment to ensure better protection in preparation and in response to biological, radiological and nuclear incidents.
RUSSIA CANCELING ALL TREATIES WITH COUNCIL OF EUROPE
President Vladimir Putin instructed Russian lawmakers on Tuesday to adopt a law that would formally end the country’s participation in 21 treaties and charters related to the Council of Europe. Moscow withdrew from the human rights body last March, claiming it had been captured by the US and its allies and only serves Western political objectives.
Putin has formally submitted the bill on terminating the treaties to State Duma chair Vyacheslav Volodin, following the provisions of a 1995 federal law.
Among the 21 treaties that will cease to apply to Russia is the charter of the Council of Europe (CoE), the Convention for the Protection of Human Rights and Fundamental Freedoms, the European Convention for the Suppression of Terrorism, the European Charter of Local Self-Government, and the European Social Charter. The CoE will also lose the immunities and privileges granted by the charter.
The CoE was established in 1949 by several Western European countries, with a mission to promote “democracy, human rights and the rule of law.” Russia joined the organization in 1996 and in 1998 ratified the human rights convention.
In February 2022, however, 42 out of 47 members voted to suspend Moscow’s membership, citing the conflict in Ukraine. Russia condemned the “openly political” decision by which the nominally neutral body sided with the US and NATO, and withdrew from the CoE on March 15. Moscow also announced it would send only the prorated amount of its 2022 contribution to the CoE budget, approximately 5.7 million euros.
In June, Putin signed a law that declared all verdicts of the European Court of Human Rights after March 15 null and void in Russia. Moscow formally repealed the convention accepting the ECHR jurisdiction in September 2022. The following month, the Parliamentary Assembly of the Council of Europe (PACE) adopted a resolution urging member countries to declare “the current Russian regime as a terrorist one.”
(HT REMARK: So now, the Treaties started being canceled on Tuesday, The EU began deploying its Strategic Reserve for Nuclear incidents into Finland on Wednesday, Russia began deploying anti-air missile defenses onto its; Ministry of Defense and other government buildings in Moscow (Story Here) on Thursday . . . . it doesn't take a rocket scientist to see where all this is heading: World War 3.)
 
Russia Installing "PANTSIR-S" Air Defenses on Roofs of MoD and Gov't Buildings in Moscow​

WORLD HAL TURNER 19 JANUARY 2023 HITS: 5213
***FLASH*** Russia Installing PANTSIR-S Air Defenses on Roofs of MoD and Gov't Buildings in Moscow't Buildings in Moscow

Nimekuja kuifata hii Habariv 😂 😂 😂 😂

Sasa anajilinda na nini, tena Moscow.

Ila Russia imewadissapoint washabiki na wafuasi wake
 
Narudia tena hii kauli kwa mara nyingine,Urusi kwasasa Hana ubavu wa kuiannex Ukraine nzima kama alishindwa kuikamata Kiev wakati Ukraine ikiwa dhaifu ndio aweze sasa Ukraine ikiwa imejizatiti Kwa silaha mbalimbali za West?!

Bro watu hatuongei kufurahisha Baraza tunakupa na evidence kabisa ukajisomee mwenyewe

Russia ships S-300 air defence missiles out of Syria - satellite images
Russia ships S-300 air defence missiles out of Syria - satellite images

Hivi hizo S400 zimefanya nini cha maana hapo Ukraine,si hua tunaambiwa Rada ya S400 inaona target ikiwa umbali wa 600km na kuweza engage ikiwa umbali wa 400km kwa kutumia 40N6 missile sasa ilikuaje Ukraine ikapenyeza drone zake (tena sio mara moja) toka Ukraine mpaka ndani kabisa ya Urusi zaidi ya 600km kwenda kupiga kambi ya jeshi yenye strategic nuclear bombers?!

Jana nilikupostia Rada ya Kisasa Podlet K-1 ambayo ilipigwa na precision missiles za Ukraine na Leo nakupostia tena hii hapa chini. Na hiyo sio ya Kwanza,ni ya pili. Hii Podlet K-1 inatumiwa na S400 missile system.View attachment 2488151

Nilisha kwambia hachana na tabia hizi za ku-copy copy vitu kutoka kwenye Wikipedia- huna hata habari kwamba mtu yeyote anaweza kuongeza chochote au kuirekebisha madhui mazima ya baadhi ya topic za Wikipedia bila ya kuomba kibari - which means anyone driven by hidden agenda anaweza ku-tinker around for political gain - kwa lengo la kuzuga zuga watu kupendelea Taifa fulani na kuzungumza kidogo tu kuhusu mataifa shindani kwa kuyasema vibaya na kudai wako nyuma sana kwenye masuala ya sayansi na teknolojia - lakini watu walio kwenda shule na kuelewa mambo haya kiundani kiufundi ni rahisi kugunduwa ulaghai unao endelea hasa kuhusu masuala ya silaha - labda kwa kukusaidia kidogo ukichunguza kwa umakini silaha/missiles karibu zote bila kujali zinaundwa taifa gani: Urusi,Merikani,Uchina,Uingereza etc they all follow same design criteria in terms of payloads (VHE,thermonuclear, Biological/Chemical) - Propulsion ( rockets: liquid fuel, solid fuel, hivi sasa Warusi wamekwisha unda rocket inayotumia nuclear engines, inaweza kuzunguka Dunia miaka na miaka bila ya kulazimika kuwekewa fuel na kuweza kupiga target yeyote Duniani at opportune time!!) Zipo vile vile air breathing subsonic cruise missiles. Mataifa tajwa hapo juu wameunda silaha zote hizo - following, again, same basic physics principles.

Wanacho zidiana ni design za speed za delivery systems na payload capacities, navigation/guided systems etc.
 
Back
Top Bottom