Special Thread: Yanayojiri Mgogoro wa Ukraine na Urusi. Nini chanzo na hatma ya mzozo?

Special Thread: Yanayojiri Mgogoro wa Ukraine na Urusi. Nini chanzo na hatma ya mzozo?

Kama yapi?! Maana hiyo Soledar ndio mji wa maana ambao Russia imeukamata baada ya miezi sita. Ndani ya hiyo miezi 6 Ukraine imerudisha miji muhimu kama

•Kherson (30%)

•Izium

•Lyman

•Kupiansk

•Kharkiv, bila kusahau

•Snake Island

Tangu May mwaka Jana Urusi inapigana kuikamata Bakhmut lakini mpaka Leo Hali ni tete na Boss wa Wagner amekiri kuikamata Bakhmut sio suala la hivi karibuni

Russia's Wagner boss heralds Bakhmut area advances, warns victory still distant

However, Prigozhin warned that Wagner would be unlikely to oust Ukrainian forces from Bakhmut soon: "Contrary to various opinions that the Armed Forces of Ukraine are fleeing from Artemovsk [the Russian name for Bakhmut], this is not so. The Ukrainian army is working clearly and harmoniously. We have a lot to learn from them."
Russia's Wagner boss heralds Bakhmut area advances, warns victory still distant
Lakini si maeneo yamepotea suala kwamba tangu lini hiyo ni ya kwenu na mnaruhusiwa kutumia hiyo excuse kama inawapa peace of mind
 
Ni kampuni ya Ulinzi kutoka nchi gani?! Na inapigana kwa niaba ya Nani?!

Hata Iran inanunua silaha toka Urusi lakini Urusi alikimbilia kuomba drone Kwa muajemi!!!!
Ww hujjui mambo yanavyokwenda,inapotokea vita,kila nchi hujitahidi kujaribisha ufanisi WA silaha zake,tuliona marekani kule Afghanistan,uturuki kule Syria NK,sasa drones za lran kutumika Ukraine ndo unaona ajabu?
 
1674157014998.png
 
Ardhi ya ukraine inaendelea kumegwa zaidi. kitu kinacho prove kuwa silaha za russia zinaleta matokeo bora na murua kabisa kwenye battlefield
"" sizitaki mbichi hizi"" hii ni Baada ya kushindwa kuteka Kiev ndani ya saa 72 kama alivyojitapa bwana yule[emoji23]
Sasa amabaki kujivunia maeneo aliyoyaiba tangu 2014,

Sent from my Infinix X660B using JamiiForums mobile app
 
Ww hujjui mambo yanavyokwenda,inapotokea vita,kila nchi hujitahidi kujaribisha ufanisi WA silaha zake,tuliona marekani kule Afghanistan,uturuki kule Syria NK,sasa drones za lran kutumika Ukraine ndo unaona ajabu?
Tatizo linakuja pale mnaposema huyo super pawer anatumia silaha zake mwenyewe Wala haombi au kununua kwa yeyote..,mkiwa waongo jitaihid kutunza kumbukumbu [emoji28]

Sent from my Infinix X660B using JamiiForums mobile app
 
,[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] wewe kweli ujielewi.kwani ni lazima kuchukua Dombass yote.nyie ndo mfanye mpango muwatoe Warusi kwenye majimbo ya Luhansk, Donesk, zaphorozia, Kherson na kharviv ili Ukraine iwe free.

Kubakwa ni kubakwa tu hata kama kwa sekunde 10.[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] kweli kubakwa ni kubakwa tu hata iwe kwa sekunde 10
Au ndio utasikia wanajisifia kuwa nimebakwa ila kwa mbinde sana
 
Jamani eeh ,imekuwa mara mbili sasa nimekuwa nikiota kuuwawa kwa Rais wa Urusi bwana Putin.

Mimi ni mtu ninayemeditate sana.na ninapokea maono mengi kupitia kwa NDOTO na yanakuwa KWELI.

Watu wa kiroho wanasema kuwa sisi wanadamu hatuna umbali ,yaani ulipo NAMI nipo.

Hivyo Kuna uwezekano mwenzetu akapotezwa na watu wa magharibi.

Na nilichoona ,baada ya kifo Cha msela ,majenerali wake hawatokuwa na la kusema zaidi ya kusarender kuacha vita ili kuepusha vita vya nyuklia.
 
[emoji779]️The German Bundestag Blocks the Transfer of Leopard Tanks to Ukraine (Europa)

Subscribe to RTView attachment 2488030
Mkiambiwa RT ni Wana propaganda mnawaka,haya hiyo Kura imepigwa saa ngapi?! [emoji23]


[emoji298]️The German parliament has postponed the vote on the transfer of the "Leopards" to Ukraine, — according to the website of the Bundestag.

"After a heated debate, the Bundestag forwarded the proposal of the CDU/CSU parliamentary group on the supply of German Leopard-1 or Leopard-2 tanks to Ukraine to the Foreign Affairs Committee for further discussion," — the message reads.

20230119_231747.jpg
 
Mbona Urusi alienda kuchomoa S-300 aliyompatia Syria,sasa hapo cha ajabu ni kipi Mzee?!

Wakati mwingine ni vizuri kuwa makini kwa kile unacho kisema - ni wapi jeshi la Urusi liliwahi kutangaza kwamba ilikuwa na mpango wa kuinyanganya Syria/Assad S-300 ADS - wapi?

Hivi huna habari kwamba Russia ina both air and naval military bases kubwa chini Syria - kwa taarifa yako kuna S-300s zinazo milikiwa na jeshi la Urusi kwa ajili ya ku-defend bases za kijeshi za Urusi nchini Syria, na zimefanya kazi nzuri sana ya kutungua drones and other airborne stuff supplied by USA kwa waasi, vile vile Russia inamiliki S-400 in Syria just in case NATO wakijaribu kutumia jetfighters hasa so called stealth bombers and fighters ili kushambulia bases za Russia nchini Syria.

Kwa taarifa yako Jeshi la Syria bado linaendelea kumiliki S-300 walizo uziwa na Russia - we sema operators wa Syria bado wapo mafunzoni jinsi ya kutumia S-300 kwa ufanisi.

Labda nikukumbushe kwa nia nzuri tu kwamba hapa hatupo katika unhealthy contention za bygone cold war mentality badala yake tuna elimishana tu na kubadirishana mawazo na uzoefu basi.

Nilitumbikiza suala la Zelensky regime baada ya kushangazwa na akili za Zelensky kutaka kuwanyanganya BUK SAM Taifa walio liuzia wenyewe 2005 ili lilinde anga la Georgia dhidi ya ndege na missiles za Urusi, kinacho chekesha zaidi inakuwaje tena Zelensky ana amini na kusifia silaha za Urusi ambazo yeye na mataifa ya magharibi waliku wanasema kwenye media zao kila kukicha kwamba silaha za Urusi hazina ufanisi wowote!! Sasa hii inamaanisha nini?

Ni wazi vita hii inalemea sana jeshi la Ukraine - na Zelensky na genge lake wasipo kuwa makini, Urusi itakata shauri la kutaifisha/annex Ukraine nzima ili kukomesha tatizo la mataifa ya Ulaya kuendelea kuitumia Ukraine kuihujumu Urusi kijeshi na kiuchumi indirectly - na Zelensky anaendelea kuwa mjeuri na kiburi, basi Taifa lake ndio inaweza kuwa ndio recipe ya WW3.
 
Back
Top Bottom