Special Thread: Yanayojiri Mgogoro wa Ukraine na Urusi. Nini chanzo na hatma ya mzozo?

Special Thread: Yanayojiri Mgogoro wa Ukraine na Urusi. Nini chanzo na hatma ya mzozo?

Nilisha kwambia hachana na tabia hizi za ku-copy copy vitu kutoka kwenye Wikipedia- huna hata habari kwamba mtu yeyote anaweza kuongeza chochote au kuirekebisha madhui mazima ya baadhi ya topic za Wikipedia bila ya kuomba kibari - which means anyone driven by hidden agenda anaweza ku-tinker around for political gain - kwa lengo la kuzuga zuga watu kupendelea Taifa fulani na kuzungumza kidogo tu kuhusu mataifa shindani kwa kuyasema vibaya na kudai wako nyuma sana kwenye masuala ya sayansi na teknolojia - lakini watu walio kwenda shule na kuelewa mambo haya kiundani kiufundi ni rahisi kugunduwa ulaghai unao endelea hasa kuhusu masuala ya silaha - labda kwa kukusaidia kidogo ukichunguza kwa umakini silaha/missiles karibu zote bila kujali zinaundwa taifa gani: Urusi,Merikani,Uchina,Uingereza etc they all follow same design criteria in terms of payloads (VHE,thermonuclear, Biological/Chemical) - Propulsion ( rockets: liquid fuel, solid fuel, hivi sasa Warusi wamekwisha unda rocket inayotumia nuclear engines, inaweza kuzunguka Dunia miaka na miaka bila ya kulazimika kuwekewa fuel na kuweza kupiga target yeyote Duniani at opportune time!!) Zipo vile vile air breathing subsonic cruise missiles. Mataifa tajwa hapo juu wameunda silaha zote hizo - following, again, same basic physics principles.

Wanacho zidiana ni design za speed za delivery systems na payload capacities, navigation/guided systems etc.

Hahahaha wewe jamaa bhana...Umeona kuna data ya Wikipedia hapo au unaota?! Wewe zile fix zako unazotuleteaga humu huwa unazitoa wapi ?! Au Kremlin?! Maana hua unaandika mpaka paragraph kumi vitu havieleweki.

FYI hizo missile za kutumia nishati ya nyuklia Marekani ilishaziunda miaka ya 1960s kwenye Project Pluto,wakitengeneza missile iliyoitwa SLAM ila waliachana nazo baada kuona kwamba zingeleta athari kwenye mazingira.

Missile za Urusi unazosema wanazo bado zipo kwenye majaribio na hawajafanikiwa bado kuziunda,mwaka 2019 ilitokea ajali ya kulipuka moja ya engine ya hizo missile na kuua wanasayansi wa Urusi wakati wa hayo majaribio. Yani Urusi inafanya kitu ambacho Marekani ilishakifanya miaka karibu 60 iliyopita.
 
Hawa wazungu ni kweli wana akili?

Lithuania asks the EC to talk with Sweden to share with Lithuania its windfall profits from the sale of electricity to Lithuania Lithuania receives electricity from Sweden via the NordBalt.

In October the cost was €74.15 per MWh., before the price was only €2.5 per MWh.
 
"You can't even read between the lines kujua kwamba Ujerumani inachezea akili USA kwa mbinu za hali ya juu kabisa"

Yani Mjerumani achezee akili ya USA [emoji23]

Wakati vita inaanza Ujerumani ilikataa kupeleka lethal weapons Ukraine,iliishia kupeleka helmet (kama unakumbuka) na body armour lakini baada ya pressure toka Marekani Ujerumani ikaanza kupeleka lethal weapons kama Ant tank missile,ant drone, ikapeleka Gepard, Artillery shells,counter battery radars bila kusahau air defenses kama IRIS-T. Kama hivyo vilienda hata hizo leopard tanks zitaenda. Nitakukumbusha.

Ujerumani hiihii iliyosema haitaki ndege ya F-35 baada ya uvamizi wa Ukraine ikakimbilia kuweka order ya kununua F-35 bila kusahau Chinook helicopters na silaha nyingine toka Marekani ndio icheze na akili ya USA!!!!!!? Labda Ujerumani ya Mbagala

Ni mataifa machache yanayo chukulia seriously Merikani - ni watu wachache kama nyinyi mnao inflated blindly USA military capabilities kwako Uncle SAM ni Alpha na Omega- lini liliwahi kupigana na taifa lenye uwezo kijeshi likashinda - lini? Kwa nini wanagwaya kujiingiza moja kwa moja kwenye vita ya Ukraine, si wanajifanya kifaru, sasa kwa nini hawashambulii Warusi kwa kutumia silaha zake za kitisha - wanaogopa nini??

Kitu kingine mbona hatusikii tena IRIS-T air defense system - je, zilitungua missiles na ndege ngapi za Urusi - mbona tuliona karibu zote zilitiwa kiberiti na drones za Urusi, hata kabla ya hapo IRIS-T haikuonyesha maajabu yoyote - Ukraine ilikuwa inalalamika kwamba hazifanyi kazi vizuri - Wajerumani bado wanawachezea akili Zelensky na Joe Biden - sijui nirudie kukwambia mara ngapi, lakini kumbuka Ujerumani hai-support mgogoro huu wa Ukraine, unacho fanya ni kutaka kumfurahisha Biden kwa kuwapatia jeshi la Ukraine zana za vita zenye walakini mkubwa -Germany are no fools.

Suala la F-35 ntakujibu kwa kirefu kesho, labda nikupe clue kidogo F-35 airframe design na sehemu ya kuinstall engine, vyote viliibiwa kutoka Urusi, Waamerika walicopy Russian Yak-141 built super sonic fighter flown for the first time in 1986 (sikumbuki vizuri version ya Yakorev fighter) - lakini mara zote US ujifanya the brains behind F-35 design were Amerikans kumbe ni uongo mtupu, na hii si mara ya kwanza US kuiba designs za Russians military flying machines, the classic one was stealing Russian Chopper gunship in Libya Mil..., US military personell removed main rotor and tail rotor before putting it on board US large military transport plane to transport Russian stolen chopper to the USA for reverse engineering - are you aware of this incident?

FYI, Wajerumani na wafaranza hawataki kununua ndege za kivita kutoka US, wanataka waunde ndege zao wenyewe kama walizo wahi kuhunda, mgano: Eurofighter - kama Ujerumani unasema sasa unataka kununua F-35 naiona hiyo ni danganya toto to just to please US, lakini kiukweli watafanya kila mbinu kukwepa kuzinunua ndege za F-35 (an overpriced and over exaggerste fighter planes) zenye matatizo lukuki kuanzia kwenye: RAM, ejector seats, oxygen generator, software bugs, you name it!!
 
We jamaa bhana!

Kwani hiyo Urusi yako ni lini iliwahi pigana na Taifa angalau lenye nguvu kijeshi si kashazoea kuonea majirani zake hapo kina Georgia na Ukraine ambayo mpaka Leo inamtoa jasho ijapokua kanchi kenyewe kanapewa visilaha vya zamani na short range missiles na NATO.Yani kanchi kapo mdomoni unafanya kupeleka Tu msafara wa wanajeshi hata Kwa kutembea Kwa miguu lakini kanamtoa jasho utafananisha na Marekani anayeenda kupigana maelfu ya km kutokea kwake!?

Kama IRIS-T si kitu kwanini Urusi haipeleki ndege zake pale Kiev?! Zile bombers zijaribu kunusa lile anga zikafanye carpet bombing kama walivyofanya Syria waone kama kuna bomber hata moja itasalimika. Ile Su-57 iko wapi,si wanasema ni stealth Ile!!!? Waitume ikafanye SEAD operation pale Ukraine uone kama itarudi salama... ni drone gani hiyo ya Russia iliweza kuharibu IRIS -T?! Mbona unaleta hadithi za kusadikika?!

Endelea kukaa hapo ukilishwa propaganda za RT wakati wenzako huku Ukraine wanaisifu IRIS-T jinsi inavyoonyesha uwezo mkubwa wa kudaka vikombora vya Russia.

The German IRIS-T air defense system has been lauded by the highest echelons of Ukraine’s military for its combat performance. Over the last month, videos have emerged showcasing how these missiles have intercepted and destroyed sophisticated Russian missiles like the Kalibr cruise missile amid a massive bombardment from Russia.
Ukraine’s German-Supplied IRIS-T Defense Systems 'Run Into Issues' In War Against Russia; UAF Hints At Depleting Missiles

Hizi hapa chini ni video kadhaa ya vikombora vya Russia vikishushwa

Spectacular footage: Two Russian Kalibr cruise missiles shot down within seconds over Kyiv Oblast on Nov. 15. First is audible explosion and glow on horizon, second a clear view of interception by German Iris-T air defense system.

Bro unafurahisha,hao warusi mpaka Leo wanahangaika na Su-57 wakati Marekani tangu 2005 wana F-22 ambayo Iliundwa miaka ya 1990s, Wana F-35 ambazo mpaka sasa zaidi 800 zimeshatengenezwa. Yani Russia aibiwe design halafu wenyewe washindwe kutengeneza true 5th generation fighter jet!?
Nikukumbushe tu kwamba hiyo Su-57 ilikua ikitumia engine ya kizamani ya Su-35, warusi walikua wakihangaika na engine zake mpya sidhani kama mpaka sasa washamaliza hiyo project....wakati huo F-35 Marekani wana f-35 ikiwa na engine yenye featers za low observable tec.

Sasa Bro unabisha wakati wajerumani washatoa order tayari na watapata F-35 yao ya Kwanza mwaka 2026.

Germany approves 10 bln euro F-35 jet deal with U.S.
Reuters

BERLIN, Dec 14 (Reuters) - Germany got the go-ahead to buy F-35 fighter jets produced by U.S. defence giant Lockheed Martin (LMT.N) as part of military procurement projects worth 13 billion euros ($13.85 billion), Defence Minister Christine Lambrecht said on Wednesday.

The German parliament's budget committee approved the spending, including 10 billion euros for the F-35 jets as well as funds for the purchase of encrypted digital radios and assault rifles.
Germany approves 10 bln euro F-35 jet deal with U.S.
 
Ni mataifa machache yanayo chukulia seriously Merikani - ni watu wachache kama nyinyi mnao inflated blindly USA military capabilities kwako Uncle SAM ni Alpha na Omega- lini liliwahi kupigana na taifa lenye uwezo kijeshi likashinda - lini? Kwa nini wanagwaya kujiingiza moja kwa moja kwenye vita ya Ukraine, si wanajifanya kifaru, sasa kwa nini hawashambulii Warusi kwa kutumia silaha zake za kitisha - wanaogopa nini??

Kitu kingine mbona hatusikii tena IRIS-T air defense system - je, zilitungua missiles na ndege ngapi za Urusi - mbona tuliona karibu zote zilitiwa kiberiti na drones za Urusi, hata kabla ya hapo IRIS-T haikuonyesha maajabu yoyote - Ukraine ilikuwa inalalamika kwamba hazifanyi kazi vizuri - Wajerumani bado wanawachezea akili Zelensky na Joe Biden - sijui nirudie kukwambia mara ngapi, lakini kumbuka Ujerumani hai-support mgogoro huu wa Ukraine, unacho fanya ni kutaka kumfurahisha Biden kwa kuwapatia jeshi la Ukraine zana za vita zenye walakini mkubwa -Germany are no fools.

Suala la F-35 ntakujibu kwa kirefu kesho, labda nikupe clue kidogo F-35 airframe design na sehemu ya kuinstall engine, vyote viliibiwa kutoka Urusi, Waamerika walicopy Russian Yak-141 built super sonic fighter flown for the first time in 1986 (sikumbuki vizuri version ya Yakorev fighter) - lakini mara zote US ujifanya the brains behind F-35 design were Amerikans kumbe ni uongo mtupu, na hii si mara ya kwanza US kuiba designs za Russians military flying machines, the classic one was stealing Russian Chopper gunship in Libya Mil..., US military personell removed main rotor and tail rotor before putting it on board US large military transport plane to transport Russian stolen chopper to the USA for reverse engineering - are you aware of this incident?

FYI, Wajerumani na wafaranza hawataki kununua ndege za kivita kutoka US, wanataka waunde ndege zao wenyewe kama walizo wahi kuhunda, mgano: Eurofighter - kama Ujerumani unasema sasa unataka kununua F-35 naiona hiyo ni danganya toto to just to please US, lakini kiukweli watafanya kila mbinu kukwepa kuzinunua ndege za F-35 (an overpriced and over exaggerste fighter planes) zenye matatizo lukuki kuanzia kwenye: RAM, ejector seats, oxygen generator, software bugs, you name it!!
"kama Ujerumani unasema sasa unataka kununua F-35 naiona hiyo ni danganya toto to just to please US, lakini kiukweli watafanya kila mbinu kukwepa kuzinunua ndege za F-35 (an overpriced and over exaggerste fighter planes)"

Germany approves 10 bln euro F-35 jet deal with U.S.
Reuters

BERLIN, Dec 14 (Reuters) - Germany got the go-ahead to buy F-35 fighter jets produced by U.S. defence giant Lockheed Martin (LMT.N) as part of military procurement projects worth 13 billion euros ($13.85 billion), Defence Minister Christine Lambrecht said on Wednesday.

The German parliament's budget committee approved the spending, including 10 billion euros for the F-35 jets as well as funds for the purchase of encrypted digital radios and assault rifles.

These projects are among the first to tap money from a 100 billion euro ($106 billion) special fund that Chancellor Olaf Scholz announced in a major policy shift days after Russia's invasion of Ukraine in February.

The money is meant to bring the German military's weapons and equipment back up to standard after decades of attrition following the end of the Cold War.

Of the 100-billion-euro fund for the armed forces, Lambrecht said: "This will probably not be enough to close the gaps that emerged over the past years because we neglected procurement."

Germany aims to buy 35 F-35 stealth fighter jets in total, including missiles and other weapons and equipment, with the first eight aircraft to be delivered in 2026.

The U.S. jet will replace the ageing Tornado, the only German jet capable of carrying U.S. nuclear bombs, which are stored in Germany to be used in case of a conflict.

The German air force has been flying the Tornado since the 1980s, and Berlin is planning to phase it out between 2025 and 2030.

ENDELEA KUNYWA PROPAGANDA ZA RT.
 
Marekani wameogopa kutuma Vifaru Ukraine badala yake wanapeleka Fighting vihecle
Screenshot_20230120-050420~2.jpg

WASHINGTON (AP) — The U.S. will send 90 Stryker combat vehicles and an additional 59 Bradley fighting vehicles to Ukraine, in addition to hundreds of thousands of rounds of ammunition, the Pentagon announced on Thursday. It is the latest aid package timed to help Ukraine push back against Russia’s entrenched forward lines.

The package, valued at $2.5 billion, does not include tanks, which…

Continue Reading

News Source: $2.5 billion aid sends Strykers, but no tanks, to Ukraine
 
[emoji635][emoji635][emoji635][emoji635][emoji635][emoji635][emoji635][emoji635][emoji635][emoji635][emoji635][emoji635][emoji635]
Mwanaume anaipumulia Marekani kisogoni[emoji1787]
Screenshot_20230120-050944~2.jpg

[https://www]
Coast Guard monitoring Russian ship lurking off Hawaiian coast

By Zamone Perez

Jan 20, 01:40 AM

[https://www]Su[rveillance footage of the Russian vessel. (U.S. Coast Guard District 14 Hawaii Pacific)

The U.S. Coast Guard is continuing to monitor a Russian vessel believed to be used for intelligence gathering, service officials said Thursday.

The vessel, flying a Russian flag, will be observed as the service coordinates with the Pentagon to provide updates and “meet presence with presence to encourage international maritime norms,” the statement read.

“The U.S. Coast Guard is currently monitoring the Russian vessel operating in the vicinity of Hawaii,” Cmdr. Dave Milne, chief of External Affairs, said in a statement. “The Coast Guard operates in accordance with international laws of the sea to ensure all nations can do the same without fear or contest.”

The Russian vessel is located in the Coast Guard’s District Fourteen area of responsibility, according to the statement. District Fourteen is the largest area of responsibility in the service.

Foreign military vessels are legally allowed to transit through U.S. exclusive economic zones, areas that extend no more than 200 nautical miles from a country’s territorial sea, according to National Oceanic and Atmospheric Administration. A country’s territorial sea is considered the first 12 nautical miles from a nation’s land into the water.

Spotting Russian vessels on intel gathering missions is nothing new for U.S. maritime services. In 2016, the Navy confirmed that a Russian spy ship was located in international waters just before the Rim of the Pacific military drills were set to begin.

About Zamone Perez

Zamone “Z” Perez is a rapid response reporter and podcast producer at Defense News and Military Times. He previously worked at Foreign Policy and Ufahamu Africa. He is a graduate of Northwestern University, where he researched international ethics and atrocity prevention in his thesis. He can be found on Twitter @zamoneperez.
 
Poland Threatens to Ignore German Stance on Tanks for Ukraine

Warsaw is pressuring Berlin to allow it to supply German-made Leopard 2 main battle tanks to Ukraine, but does not consider its consent essential, Polish Prime Minister Mateusz Morawiecki has said.

“Consent is a secondary issue,” he claimed during an interview with Polsat television on Wednesday. Warsaw expects to get Berlin’s permission quickly, but could also “do the right thing on our own,” he added.

Poland has offered 14 Leopard 2 tanks to Kiev and wants other Western nations to contribute, so Ukraine could get a batch of up to 100 tanks. At the same time, the Polish leader accused Germany of having been among the “least proactive” European nations in terms of arming Ukraine with tanks.

Subscribe to RT
 
[emoji635][emoji635][emoji635][emoji635][emoji635][emoji635][emoji635][emoji635][emoji635][emoji635][emoji635][emoji635]
Tunaisubiri hii package dhaifu tuikaange,[emoji1787][emoji1787][emoji1787]
[emoji1255] The proposed package of military assistance to be provided to Ukraine:

[emoji636]14 Challenger 2 tanks
[emoji636]100 modern rockets (?)
[emoji636]30 SPG AS90
[emoji636]200 BMP/BTR
[emoji1063]200 Senator armored vehicles
[emoji1063]1 NASAMS air defense battery
[emoji1200]14 tanks Leopard 2
[emoji631]100 BMP Bradley
[emoji631]55 armored vehicles
[emoji631]100 BTR M113
[emoji631]18 self-propelled guns M109А6
[emoji631]250 BTR M1117
[emoji631]138 HMMWV armored vehicles
[emoji631]100 Stryker APC
[emoji631]GLSDB
[emoji631]36 105mm howitzers
[emoji631]1 Patriot Air Defense/O Battery
[emoji631]6 Nasams air defense batteries
[emoji631]18 HIMARS
[emoji632] 40(?) AMX-10RC wheeled tanks
[emoji632] (?) Bastion armored cars
[emoji629]40 Marder BMP
[emoji629]1 Patriot AA/O Battery
[emoji629]3 Iris-T air defense batteries + 3 TRML-4D radars
[emoji629]2 TRML-4D radar
[emoji629][emoji1189][emoji1087]16 Zuzana-2 SPG
[emoji1179][emoji631][emoji1086]120 T-72 tank
[emoji1179]1 Patriot AA/O Battery
[emoji1236]50 CV-90 BMP
[emoji1236]12 Archer SPG
[emoji634][emoji632]1 AA/O SAMP/T Battery
[emoji1086]26-30 SAU Dana-M2
[emoji1097]10+ howitzers 155mm FH70
[emoji1097]10+ howitzers 122mm D30
[emoji1087] ? SAU Caesar (?)

Ukraine has lost Soledar and the whole NATO began to panic and freak out.
 
Wameishaichoka Ukraine [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
West tired of Ukraine situation, says Polish PM

Polish Prime Minister Mateusz Morawiecki said Wednesday that Western countries seem "a little tired" of the ongoing conflict.

"A few months ago the discussions were on a different emotional level and the interest was different," he said on the sidelines of the World Economic Forum.

"The West, the free world is a little tired and would like to live a normal life," Morawiecki said. "Today I see it very clearly and I want to warn world leaders, because Russia is patient."

"Everybody would like to live a normal life, but if Ukraine falls, will it be a normal life?" - he said, adding that he "fortunately" sees a "broad consensus" on the Ukraine issue in Davos.

Earlier last summer, the Ukrainian defense minister said the "fatigue syndrome" of the international community was the most dangerous for Ukraine in the conflict, while Zelensky said some Western states were tired of the economic consequences of anti-Russian sanctions.

Subscribe to Russian Market
 
Jamani eeh ,imekuwa mara mbili sasa nimekuwa nikiota kuuwawa kwa Rais wa Urusi bwana Putin.
Mimi ni mtu ninayemeditate sana.na ninapokea maono mengi kupitia kwa NDOTO na yanakuwa KWELI.
Watu wa kiroho wanasema kuwa sisi wanadamu hatuna umbali ,yaani ulipo NAMI nipo.
Hivyo Kuna uwezekano mwenzetu akapotezwa na watu wa magharibi.
Na nilichoona ,baada ya kifo Cha msela ,majenerali wake hawatokuwa na la kusema zaidi ya kusarender kuacha vita ili kuepusha vita vya nyuklia.
Una meditate ujinga usije ukajinyea tu
 
Ni mataifa machache yanayo chukulia seriously Merikani - ni watu wachache kama nyinyi mnao inflated blindly USA military capabilities kwako Uncle SAM ni Alpha na Omega- lini liliwahi kupigana na taifa lenye uwezo kijeshi likashinda - lini? Kwa nini wanagwaya kujiingiza moja kwa moja kwenye vita ya Ukraine, si wanajifanya kifaru, sasa kwa nini hawashambulii Warusi kwa kutumia silaha zake za kitisha - wanaogopa nini??

Kitu kingine mbona hatusikii tena IRIS-T air defense system - je, zilitungua missiles na ndege ngapi za Urusi - mbona tuliona karibu zote zilitiwa kiberiti na drones za Urusi, hata kabla ya hapo IRIS-T haikuonyesha maajabu yoyote - Ukraine ilikuwa inalalamika kwamba hazifanyi kazi vizuri - Wajerumani bado wanawachezea akili Zelensky na Joe Biden - sijui nirudie kukwambia mara ngapi, lakini kumbuka Ujerumani hai-support mgogoro huu wa Ukraine, unacho fanya ni kutaka kumfurahisha Biden kwa kuwapatia jeshi la Ukraine zana za vita zenye walakini mkubwa -Germany are no fools.

Suala la F-35 ntakujibu kwa kirefu kesho, labda nikupe clue kidogo F-35 airframe design na sehemu ya kuinstall engine, vyote viliibiwa kutoka Urusi, Waamerika walicopy Russian Yak-141 built super sonic fighter flown for the first time in 1986 (sikumbuki vizuri version ya Yakorev fighter) - lakini mara zote US ujifanya the brains behind F-35 design were Amerikans kumbe ni uongo mtupu, na hii si mara ya kwanza US kuiba designs za Russians military flying machines, the classic one was stealing Russian Chopper gunship in Libya Mil..., US military personell removed main rotor and tail rotor before putting it on board US large military transport plane to transport Russian stolen chopper to the USA for reverse engineering - are you aware of this incident?

FYI, Wajerumani na wafaranza hawataki kununua ndege za kivita kutoka US, wanataka waunde ndege zao wenyewe kama walizo wahi kuhunda, mgano: Eurofighter - kama Ujerumani unasema sasa unataka kununua F-35 naiona hiyo ni danganya toto to just to please US, lakini kiukweli watafanya kila mbinu kukwepa kuzinunua ndege za F-35 (an overpriced and over exaggerste fighter planes) zenye matatizo lukuki kuanzia kwenye: RAM, ejector seats, oxygen generator, software bugs, you name it!!
Sijui kama atakuelewa anyway Asante kwa shule
 
Artillery production yabidi kuongezwa kwa kasi mno.

South Korea, Japan, Taiwan waanze production kubwa maana vita ishaonesha kuwa artillery ndo baba wa vita.

Angalau kila mtu awe nazo kuanzia 10mil pieces

US yeye awe nazo hata 100mil
 
Lina umeona hapa Pro Russia wanaumia au wanalalamika kwa Ukraine kusaidiwa hizo silaha.

Always utasikia "US is deeply concerned" kwa Iran au North Korea kuipa silaha Russia.

Au hapa ili unakataa?
Chaku zangaa nikipi mbona Tanzania umepitwa kiuchumi na Rwanda na Zambia. You dumb fool 😂😂😂😂😂
 
Sasa hapo aliyekimbia ni Nani maana huyo Maduro baada ya kutepeta kashaanza kutaka huruma za Marekani akitaka warudishe mahusiano mazuri na Venezuela
MAREKANI ndio ya kwanza kutumia wajumbe kwenda Venezuela hill jukwa umeingia mwakagani wewe maduro kumbuka marekani haimtambui maduro ka ma rais .ila naona wameanza shobo
 
Narudia tena hii kauli kwa mara nyingine,Urusi kwasasa Hana ubavu wa kuiannex Ukraine nzima kama alishindwa kuikamata Kiev wakati Ukraine ikiwa dhaifu ndio aweze sasa Ukraine ikiwa imejizatiti Kwa silaha mbalimbali za West?!

Bro watu hatuongei kufurahisha Baraza tunakupa na evidence kabisa ukajisomee mwenyewe

Russia ships S-300 air defence missiles out of Syria - satellite images
Russia ships S-300 air defence missiles out of Syria - satellite images

Hivi hizo S400 zimefanya nini cha maana hapo Ukraine,si hua tunaambiwa Rada ya S400 inaona target ikiwa umbali wa 600km na kuweza engage ikiwa umbali wa 400km kwa kutumia 40N6 missile sasa ilikuaje Ukraine ikapenyeza drone zake (tena sio mara moja) toka Ukraine mpaka ndani kabisa ya Urusi zaidi ya 600km kwenda kupiga kambi ya jeshi yenye strategic nuclear bombers?!

Jana nilikupostia Rada ya Kisasa Podlet K-1 ambayo ilipigwa na precision missiles za Ukraine na Leo nakupostia tena hii hapa chini. Na hiyo sio ya Kwanza,ni ya pili. Hii Podlet K-1 inatumiwa na S400 missile system.View attachment 2488151

Unaongea sana kwa functionality yake iko vp
 
[emoji298]️ CIA director makes unannounced visit to Kyiv.

CIA Director William J. Burns briefed President Volodymyr Zelensky on his forecast of Russia’s upcoming military plans, the Washington Post reports, citing a U.S. official.
 
MAREKANI ndio ya kwanza kutumia wajumbe kwenda Venezuela hill jukwa umeingia mwakagani wewe maduro kumbuka marekani haimtambui maduro ka ma rais .ila naona wameanza shobo
Sisi tunamsikiliza Maduro sio wewe Mrusi toka kwa mfuga nyoka

Venezuela is ready, fully ready to take steps towards a process of normalisation and regulation of diplomatic, consular, and political relations with this US government and with the government that may come," he said.
Venezuelan leader Maduro says ready to normalise ties with US
 
Back
Top Bottom