Special Thread: Yanayojiri Mgogoro wa Ukraine na Urusi. Nini chanzo na hatma ya mzozo?

Special Thread: Yanayojiri Mgogoro wa Ukraine na Urusi. Nini chanzo na hatma ya mzozo?

Sababu ya kutopeleka hii hapa
[emoji116]


Ila hata hizo Challenger na Leopold zitakuwa msumari wa moto kwa huyu Supa-pawa wa kuchora.
Leopard ya Germany inaweza isilete matokeo wanayotarajia sababu ilishaonyesha "kushindwa kazi" kule Syria dhidi ya ISIS.


Unaweza kupitia hapa kusoma zaidi.


20230120_174907.jpg
20230120_174926.jpg
20230120_175000.jpg
 
Mbona hata hueleweki unazungumzia nini?!

Maduro ndiye anayetaka mahusiano mazuri Kati yake na Marekani,Marekani wamempa masharti kadhaa hasa upande wa haki za Binadamu na kulinda haki za Upinzani akiyatimiza yote kuna uwezekano mahusiano yakarudi.

Juzi hapa walifanya negotiations na Upinzani ndipo Marekani ikaruhusu kampuni yake ya Mafuta ya Chevron ianze kuchimba mafuta Venezuela ambayo yatauzwa Marekani tu na si nchi nyingine,sasa wewe sijui unasema nini!!!!?

Nimekuomba unionyeshe mahali ambapo Marekani ilisema inataka kuivamia Venezuela hujanionyesha tangu Jana,bado unaleta story za nuclear bombers!

FYI bro hizo S300 Venezuela wanazo kitambo,Kama Greece ambaye ni NATO member wana hizo AD unaona ajabu gani kwa Venezuela kua nazo!? Hivi unadhani Marekani kama ingetaka hasa kuivamia Venezuela hivyo vi S300 ndo vingeizuia Airforce na Navy ya [emoji1258]?

Putin hana ubavu wa kupeleka nuclear weapons Venezuela,hilo ukae ukilitambua.
Mnapo banwa na hoja muwe mnakubali kushindwa na sio kufa na tai shingoni.

Tangu kipindi cha Hugo Chavez uhusiano wa kiuchumi na kidpromasia kati ya Marekani na Venezuela ulikuwa mzuri, pamoja na kuwa walikuwa wanatofautiana sana kwenye mambo mengi yanayo husu siasa za ndani na za kimataifa.

Trump ndo alikuja kuuvuruga uhusiano huo mwaka 2019 baada ya kuanzisha kampeni ya kumuondoa Maduro madarakani na wakamtambua kiongozi wa upinzani kama raisi.

Hivyo Venezuela haijawahi kutaka kuwa adui wa Marekani bali Marekani ndo ali kuwa ana razimisha uadui na Venezuela.

Na Venezuela haikuwahi kumfuata Marekani ili warudishe uhusiano bali Marekani ndo aliye anza kumfuata Venezuela warudishe uhusiano na Venezuela ikaweka shariti kwa Marekani kuwa kabla ya uhusiano kuimalishwa ni razima kwanza waitambue serikali ya Maduro.
 
Mbona hata hueleweki unazungumzia nini?!

Maduro ndiye anayetaka mahusiano mazuri Kati yake na Marekani,Marekani wamempa masharti kadhaa hasa upande wa haki za Binadamu na kulinda haki za Upinzani akiyatimiza yote kuna uwezekano mahusiano yakarudi.

Juzi hapa walifanya negotiations na Upinzani ndipo Marekani ikaruhusu kampuni yake ya Mafuta ya Chevron ianze kuchimba mafuta Venezuela ambayo yatauzwa Marekani tu na si nchi nyingine,sasa wewe sijui unasema nini!!!!?

Nimekuomba unionyeshe mahali ambapo Marekani ilisema inataka kuivamia Venezuela hujanionyesha tangu Jana,bado unaleta story za nuclear bombers!

FYI bro hizo S300 Venezuela wanazo kitambo,Kama Greece ambaye ni NATO member wana hizo AD unaona ajabu gani kwa Venezuela kua nazo!? Hivi unadhani Marekani kama ingetaka hasa kuivamia Venezuela hivyo vi S300 ndo vingeizuia Airforce na Navy ya [emoji1258]?

Putin hana ubavu wa kupeleka nuclear weapons Venezuela,hilo ukae ukilitambua.
Mkuu HIZO nilizokuwekea ni S300 MV sijui unajua hilo zilianzwa kuudwa mwaka 2013,
Sijui unajua hilo.
Ishubya NUCLEAR nimekuwekea tayari hapo juu.
 
Nchi nyingi zinakwepa kutuma vifaru kwasababu vifaru ni silaha muhimu na yenye kutumika sana vitani lakini uchukua muda mrefu kukitengeneza. Na ni gharama kubwa maana uambatana na mifumo ya mawasiliano, kifaru kimoja kinaweza chukua hadi miezi sita.

Kila nchi inahofia kupunguza reserve ya vifaru vyake kwasababu ya kutokuwa na muda wa kutosha kupata vingine ikiwa hii operation ya Urusi ikapelekea vita kamili kati ya nchi za Nato na Urusi. Ukiwa huna vifaru vya kutosha maana yake tayari upo kwenye wakati mbaya.

Ndo maana Poland anasubiri ruhusa ya Germany [emoji629] ili apeleke hvyo vifaru kwa makubaliano ya Ujerumani kutengeneza vingine haraka na kuwarudishia poland [emoji1200].

Vifaru ni gharama kubwa sana na utumie muda mrefu kuvitengeneza.
 
Leopard ya Germany inaweza isilete matokeo wanayotarajia sababu ilishaonyesha "kushindwa kazi" kule Syria dhidi ya ISIS.


Unaweza kupitia hapa kusoma zaidi.


View attachment 2489038View attachment 2489039View attachment 2489040
Rather than using them in a combined arms force alongside mutually supporting infantry, they were deployed to the rear as long-range fire-support weapons while Turkish-allied Syrian militias stiffened with Turkish special forces led the assaults. Isolated on exposed firing positions without adequate nearby infantry to form a good defensive perimeter, the Turkish Leopards were vulnerable to ambushes. The same poor tactics have led to the loss of numerous Saudi Abrams.
👆
Hayo maelezo hapo juu yapo ndani ya hiyo makala, yanaeleza tatizo ni mbinu walizotumia Uturuki na sio tatizo la vifaru husika.
 
Hiyo package tunaisubiri huku tukishushia na milinda nyeusi[emoji635][emoji635][emoji635][emoji635][emoji635][emoji635]

1

MILITARY OPERATION IN UKRAINE

20 JAN, 16:41

Russian forces wipe out US-made M109 Paladin artillery system in Kherson area

It is reported that Russian air defense forces shot down a Ukrainian Air Force Mi-8 helicopter in the Kharkov Region over the past day

[https://phototass2]

M109 Paladin self-propelled artillery system

[emoji2398] AP Photo/Mike Derer

MOSCOW, January 20. /TASS/. Russian forces destroyed a US-made M109 Paladin self-propelled artillery system and also D-30 and Msta-B howitzers in the Kherson area over the past day during the special military operation in Ukraine, Defense Ministry Spokesman Lieutenant-General Igor Konashenkov reported on Friday.

"In the Kherson direction, an American M109 Paladin self-propelled artillery system was destroyed at a firing position along with two howitzers (D-30 and Msta-B) in the counter-battery warfare," the spokesman said.

Russian forces destroyed a US-made counter-battery radar and a Ukrainian military equipment hangar in the Zaporozhye Region over the past day, Konashenkov reported.

"A hangar storing Ukrainian armaments and military equipment was obliterated in the area of the settlement of Kamenskoye in the Zaporozhye Region. In addition, a US-manufactured AN/TPQ-37 counter-battery radar was destroyed in the area of the settlement of Malaya Tokmachka in the Zaporozhye Region," the spokesman said.

Russian combat aircraft and artillery destroyed roughly 30 Ukrainian troops in the Kupyansk area over the past day, Konashenkov reported.

"In the Kupyansk area, army aviation aircraft and artillery of the Western Military District inflicted damage by firepower on units of the Ukrainian army’s 14th and 92nd mechanized brigades in areas near the settlements of Timkovka, Tabayevka and Berestovoye in the Kharkov Region," the spokesman said.

As a result of the strikes, Russian forces "destroyed as many as 30 Ukrainian personnel, an armored combat vehicle, two pickup trucks, and also two D-20 and D-30 howitzers," the general specified.

Russian artillery delivered strikes on Ukrainian army units in the Krasny Liman area, eliminating over 40 militants in the past day, Konashenkov reported.

"In the Krasny Liman direction, artillery of the Central Military District inflicted damage on units of the Ukrainian army’s 92nd and 66th mechanized brigades near the communities of Stelmakhovka and Makeyevka in the Lugansk People’s Republic, and also on the Ukrainian army’s 95th air assault brigade in the area of the Serebryansky forestry," the spokesman said.

"The enemy’s losses in that area in the past 24 hours amounted to over 40 personnel, two infantry fighting vehicles, four armored combat vehicles and a D-20 howitzer," the general specified.

Russian forces also wiped out a Ukrainian artillery ammunition depot near the settlement of Krasny Liman in the Donetsk People’s Republic, Konashenkov reported.

Russian forces liberated the community of Kleshcheyevka in the Donetsk People’s Republic, he said.

"In the Donetsk direction, volunteers of assault teams supported by operational-tactical and army aviation aircraft, missile troops and artillery of the Southern Military District liberated the settlement of Kleshcheyevka in the Donetsk People’s Republic," the spokesman said.

Russian forces liberated the community of Lobkovoye in their offensive operations in the Zaporozhye Region, Konashenkov reported.

"In the Zaporozhye direction, units of the Eastern Military District liberated the community of Lobkovoye in the Zaporozhye Region as a result of their successful offensive operations," the spokesman said.

The Ukrainian military lost about 90 troops, four armored vehicles and three howitzers in the Zaporozhye area over the past day as a result of damage inflicted by Russian forces, Konashenkov reported.

"The enemy’s losses [in the Zaporozhye area] in the past 24 hours totaled as many as 90 Ukrainian servicemen killed and wounded, four armored combat vehicles, three motor vehicles, an Akatsiya self-propelled howitzer, and also two D-20 and D-30 howitzers," the spokesman said.

Russian fighter aircraft shot down a Ukrainian Mi-8 helicopter in the Kherson Region over the past day, Konashenkov reported.

"Fighter aircraft of the Russian Aerospace Forces shot down a Ukrainian Air Force Mi-8 helicopter near the community of Posad-Pokrovskoye in the Kherson Region," the spokesman said.

Russian forces struck 78 Ukrainian artillery units at firing positions over the past day, Konashenkov reported.

"Operational-tactical aircraft, missile troops and artillery of the Russian group of forces inflicted damage on 78 artillery units at firing positions, manpower and military equipment in 103 areas," the spokesman said.

Russian forces destroyed a Ukrainian ammunition depot in the Donetsk People’s Republic over the past day, Konashenkov reported.

"A depot storing ammunition for the Ukrainian army’s multiple launch rocket systems was destroyed near the community of Zvanovka in the Donetsk People’s Republic. In addition, as many as 60 Ukrainian military personnel, three armored combat vehicles, two motor vehicles, two Gvozdika self-propelled artillery systems, and also Giatsint-B and D-20 howitzers were eliminated over the past day," the spokesman said.

Russian air defense forces shot down a Ukrainian Air Force Mi-8 helicopter in the Kharkov Region over the past day, Konashenkov reported.

"Russian air defense capabilities shot down a Ukrainian Air Force Mi-8 helicopter near the settlement of Lozovaya in the Kharkov Region. In the past 24 hours, they also destroyed five unmanned aerial vehicles in areas near the settlements of Chervonopopovka in the Lugansk People’s Republic, Berdyansk in the Zaporozhye Region, Kirillovka and Zelyony Gai in the Donetsk People’s Republic. They intercepted six rockets of HIMARS and Uragan multiple launch rocket systems near the communities of Mirnoye and Lyubimovka in the Zaporozhye Region," the spokesman said.

Russian troops have destroyed over 2,900 Ukrainian army drones since the beginning of the special military operation in Ukraine, he said.

"In all, the following targets have been destroyed since the beginning of the special military operation: 374 warplanes, 202 helicopters, 2,908 unmanned aerial vehicles, 401 surface-to-air missile systems, 7,583 tanks and other armored combat vehicles, 985 multiple launch rocket systems, 3,878 field artillery guns and mortars, and also 8,121 special military motor vehicles," Konashenkov reported.

TAGS

Military operation in Ukraine
 
Leopard ya Germany inaweza isilete matokeo wanayotarajia sababu ilishaonyesha "kushindwa kazi" kule Syria dhidi ya ISIS.


Unaweza kupitia hapa kusoma zaidi.


View attachment 2489038View attachment 2489039View attachment 2489040
Hivyo ni vyuma chakavu tu
 
Acha inyeshe tuone panapo vuja ndani ya Ukraine naona kuna kucha sasa

Misenari hao uraia bado tuna fichwa tukisema RUSSIA inapigana na NATO mnakua wakali
View attachment 2489182

Sent from my Infinix X657 using JamiiForums mobile app
Hata Mimi naweza kutafta mtumba wowote uliokaa kama sare ya jeshi kisha nikabandika nembo ya USA na kufanya hicho ulicho ulichofanya na kuwaletea hapa jamiiforum!!

Sent from my Infinix X660B using JamiiForums mobile app
 
Hata Mimi naweza kutafta mtumba wowote uliokaa kama sare ya jeshi kisha nikabandika nembo ya USA na kufanya hicho ulicho ulichofanya na kuwaletea hapa jamiiforum!!

Sent from my Infinix X660B using JamiiForums mobile app
Acha inyeshe tuone panapo VUJA

[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787] Pro NATO hujawahi kuacha kupinga so nisha kuzoea

Sent from my Infinix X657 using JamiiForums mobile app
 
Ulivyovba akili fupi,Unadhani kila silaha inayopelekwa Ukraine inatangazwa!Ujue pia sio kila silaha Russia anayopeleka Ukraine anatangaza!
Nikupe tu mfano,Kuna wakati Russia alikuwa hatoi idadi ya aliowala vichwa!Akawa anawafukia Karibu buku kwenye kaburi Moja!Baada ya counter offensive ya Ukraine na kukomboa baadhi ya maeneo ndio tukayajua hayo!
Tuambie,msemaji wa Zelensky amejiuzulu Kwa sababu gani?Je,taarifa kutoka Ukraine Zinaweza kuaminika?
Nakumbuka Zele alimind sana yule mama wa EU alipotoa Siri kuwa zaidi ya wajeda laki Moja wa Ukraine wameliwa vichwa!
Kwenye hii vita,tujadili matokea na sio hizi propaganda nyepesi nyepesi ambazo hazina maana!

Wacha kujifanya hamnazo,hivi ni mara ngapi Mrusi ametupa taarifa za mchongo?! Kuna aliyewahi kujiuzulu huko Russia kwa kutoa taarifa za Uongo?! Si hua Bora liende tu,mwenzao ametoa taarifa zisizo sahihi amekubali kuwajibika.
Nikupe mifano; *Juzi hapa wameongopa kuharibu Bradley AFV wakati hizo Bradley hazijafika ndio kwanza wanajeshi wa Ukraine wako hapo Ujerumani wanajifunza jinsi ya kuzitumia,mafunzo yatachukua karibu wiki sita.
*Urusi walituongopea kuharibu Himars systems kuzidi idadi ambayo Ukraine imepewa...ulisikia kuna Mtu kawajibika huko?! Yani wao kuongopa ni kitu cha kawaida mpaka wanapitiliza.
*Wakaja wakaongopa kuua wanajeshi 600 wa Ukraine wakati Makombora yote yamepiga pembeni[emoji23]

Yani jamaa kuua Raia na kuwafukia ndo unaona mafanikio?! Mpaka sasa Makombora yake yanapiga majumba ya kuua Raia wakati Ukraine analenga vibaka wa kirusi kama alivyowaunguza pale Makiivka.

Taarifa ya Ursula ilifafanuliwa kwamba iliakisi taarifa ya Pentagon kwamba waliokufa na majeruhi ni laki moja na hii ni kwa kila mmoja Russia na Ukraine.
 
Unaona sasa ulivyo MJINGA... MOJA, Kwa Nini Nchi zote za iliyokuwa USSR zilirudisha silaha URUSI YA LEO!?? UKINIJIBU NDII NTAJUA NAONGEA NA MTU WA NAMNA ....NAOMBA MAJIBU!!?
Unaona sasa ulivyo KIANDE,unaita Mtu mjinga halafu unataka majibu?!

Nenda kasome Budapest Memorandum acha kuchosha watu hapa.
 
Back
Top Bottom