professional Driver
JF-Expert Member
- Sep 23, 2022
- 2,959
- 3,511
Comedian kwenye ubora wakeHuenda zile tetesi zilizoenea kwamba dikiteta aliwahishwa ahera nahis zinaenda kuwa habari rasmi..,za chini chini ni kwamba Kwa Sasa Kuna edited and recorded speech za yule bwana hambazo zinarushwa hewani baada ya muda flani Ili kuwapa watu matumaini,
Sent from my Infinix X660B using JamiiForums mobile app
Sent from my Infinix X657 using JamiiForums mobile app