Special Thread: Yanayojiri Mgogoro wa Ukraine na Urusi. Nini chanzo na hatma ya mzozo?

Special Thread: Yanayojiri Mgogoro wa Ukraine na Urusi. Nini chanzo na hatma ya mzozo?

Nimekutolea mfano wa jinsi wenzake wamavyocheza karata zao kwa akili na sio kutumia miguvu. Nimekuuliza wapi Marekani ilisema inataka kuivamia Venezuela umekimbia hujaleta evidence yoyote.

Hivi kuna haja gani ya kuivamia Venezuela wakati Rais wao mwenyewe Kwasasa ameshatepeta anataka mahusiano mazuri na Marekani bila kusahau karuhusu kampuni ya Marekani ianze tena kuchimba tena mafuta hapohapo Venezuela!
Marekani wamerudhisha mahusiano na venuzuela ni hivi karibu tuu KWANI uchumi wa venuzuela ilikuwa kwa sababu ya nini, na pesa YAO kuanguka si vikwazo vile vya USA. Hayo mahusiano wanarudi sasa hivi kaka.
Kwani niliposema USA alitaka KUIVAMIA CUba mbona majibu lolote eti. Ila sasa hivi USA na cuba hata uhusiano wamerudhisha, hata balozi wamefungua, mbona unasema hilo.
Some analysis
a.jpg
Dy00RmBX0AErCZu.jpg
Diaz2.jpg

KWANI HIZO air defence russia alizipeleka kwenda kufanya nini
USA alijiandaa kuingi kaka USIWE kama zwazwa mkuu, uwe unafuatilia mambo. Sawa
NA NIMEKUWEKEA CHOMBO CHA HABARI CHA SUN UK , UHONE HAPO.
 
Marekani anacheza kete zake kwa akili sio kutumia nguvu juzi hapa tumemskia Maduro mwenyewe anataka uhusiano wa Marekani na Venezuela urudi kama zamani.

Na Kwa taarifa yako kampuni ya Marekani Chevron imepewa kibali kuanza kuchimba tena mafuta hapo Venezuela Kwa bwana Maduro.
U.S. prepared to authorize Chevron to boost Venezuela's oil output
WEWE UNAONEKANA HIVI VITU SIO MFUATILIAJI MKUU.
MAREKANI KARUDISHA UHUSIANO NA VENUZUELA HIVI KARIBUNI TUU SAWA MKUU.

Uwe unafuatilia mambo mkuu sio unakuja HUMU ndani na chuki zako za Russia na washirika WAKE.
Hahahhaha
 
Pamoja na siraha za kisasa wanazopewa Ukraine lakini bado jeshi LA Ukraine linapewa kichapo kikali.


Ujerumani na marekani wanaogopa kupeleka vifaru vyao vya kisasa huko Ukraine sababu wanajua vitaangukia kwenye mikono ya urusi kisha zipelekwe pale Iran
Mkuu Poland WANATAKA kupeleka leopard bila hizini ya German wenyewe.
 
Jamani eeh ,imekuwa mara mbili sasa nimekuwa nikiota kuuwawa kwa Rais wa Urusi bwana Putin.

Mimi ni mtu ninayemeditate sana.na ninapokea maono mengi kupitia kwa NDOTO na yanakuwa KWELI.

Watu wa kiroho wanasema kuwa sisi wanadamu hatuna umbali ,yaani ulipo NAMI nipo.

Hivyo Kuna uwezekano mwenzetu akapotezwa na watu wa magharibi.

Na nilichoona ,baada ya kifo Cha msela ,majenerali wake hawatokuwa na la kusema zaidi ya kusarender kuacha vita ili kuepusha vita vya nyuklia.
Mihadarati Ni janga la Taifa.
 
💥💥#Inside
Our source in the OP said:
most of the equipment allocated by the United States for Ukraine is already in Europe. They expect the first deliveries in early February to strengthen the front and prevent the Russian army from organizing an offensive.💥💥
 
[emoji599]BREAKING[emoji599] Belgium is to send 3000 tonnes of salt to Ukraine after PMC Wagner's head honcho Prigozhin took over the salt mines business in Ukraine.

Sent using Jamii Forums mobile app
[emoji23][emoji23][emoji23] msaada wa chumvi wa nini wakati bado Soledar haijanguka kwa mujibu wa kipanya44.



Kipanya 44 kasema mji wa Soledar bado haujanguka [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
 
Back
Top Bottom