Special Thread: Yanayojiri Mgogoro wa Ukraine na Urusi. Nini chanzo na hatma ya mzozo?

Special Thread: Yanayojiri Mgogoro wa Ukraine na Urusi. Nini chanzo na hatma ya mzozo?

Nachojua marekani waliikimbia russia venezuela habari ya maduro kutaka mahusioano mazuri na marekani inamuhusu yeye na nchi ya venezuela

"Nachojua marekani waliikimbia russia Venezuela"

Kumbe unachojua wewe ndo hicho....bhas sawa!
 
Warusi siku ya jana walianshisha mashambulizi makali sana kwenye maeneo ya jimbo la la Zaphorozhye na kuchukua baadhi ya vijiji.

Sasa inaonekana Warusi wameamua kufanya kazi.

Kiongozi wa Ukraine ni mmoja waliolambishwa mchanga kwenye mashambulizi makali ya ZaphorozhyeView attachment 2488440View attachment 2488442
Hawa nao vipi?![emoji116]

Captain Янбеков Радик Ирикович (Yanbekov Radik Irikovich) from Bashkortostan, commander of the howitzer self-propelled artillery battery, was killed in Ukraine on 1 January ’23.
vk.com/wall-172754444…


Helicopter navigator (research and training squadron) Senior Lieutenant Усманов Руслан Рустемович (Usmanov Ruslan Rustemovich) from Uchaly, Bashkortostan, was killed in Ukraine.
vk.com/wall-107892181…


Captain Ивашкевич Антон Валерьевич (Ivashkevich Anton Valerievich), former Spetsnaz commander of the reconnaissance unit, was killed in Ukraine on 9 January ’23.
vk.com/wall-69320038_…


Rosgvardiya Major Ланин Юрий Владимирович (Lanin Yury Vladimirovich) was killed in Ukraine in December ’22.
H/t @sitizen_toxi
vk.com/wall-65104226_…
20230120_135130.jpg
20230120_135228.jpg
20230120_135255.jpg
20230120_135502.jpg
 
Mzee unaongea upupu gani huu?!


Lini Marekani ilitaka ivamia Venezuela?!
Lini Urusi ilipeleka nuclear Venezuela?!

Hivi unadhani Marekani ingetaka hasa kuivamia Venezuela huyo Urusi angeizuia?!

Marekani anacheza kete zake kwa akili sio kutumia nguvu juzi hapa tumemskia Maduro mwenyewe anataka uhusiano wa Marekani na Venezuela urudi kama zamani.

Na Kwa taarifa yako kampuni ya Marekani Chevron imepewa kibali kuanza kuchimba tena mafuta hapo Venezuela Kwa bwana Maduro.
U.S. prepared to authorize Chevron to boost Venezuela's oil output
umesahau mpaka yule mshauri wa usalama wa Trump alisahau kuweka notepad yake vizuri, waandishi wakai zoom imeandikwa 5,000 troops to Colombia?

Sent from my SM-A135F using JamiiForums mobile app
 
Marekani wamerudhisha mahusiano na venuzuela ni hivi karibu tuu KWANI uchumi wa venuzuela ilikuwa kwa sababu ya nini, na pesa YAO kuanguka si vikwazo vile vya USA. Hayo mahusiano wanarudi sasa hivi kaka.
Kwani niliposema USA alitaka KUIVAMIA CUba mbona majibu lolote eti. Ila sasa hivi USA na cuba hata uhusiano wamerudhisha, hata balozi wamefungua, mbona unasema hilo.
Some analysis
View attachment 2488558View attachment 2488559View attachment 2488560
KWANI HIZO air defence russia alizipeleka kwenda kufanya nini
USA alijiandaa kuingi kaka USIWE kama zwazwa mkuu, uwe unafuatilia mambo. Sawa
NA NIMEKUWEKEA CHOMBO CHA HABARI CHA SUN UK , UHONE HAPO.

Mbona hata hueleweki unazungumzia nini?!

Maduro ndiye anayetaka mahusiano mazuri Kati yake na Marekani,Marekani wamempa masharti kadhaa hasa upande wa haki za Binadamu na kulinda haki za Upinzani akiyatimiza yote kuna uwezekano mahusiano yakarudi.

Juzi hapa walifanya negotiations na Upinzani ndipo Marekani ikaruhusu kampuni yake ya Mafuta ya Chevron ianze kuchimba mafuta Venezuela ambayo yatauzwa Marekani tu na si nchi nyingine,sasa wewe sijui unasema nini!!!!?

Nimekuomba unionyeshe mahali ambapo Marekani ilisema inataka kuivamia Venezuela hujanionyesha tangu Jana,bado unaleta story za nuclear bombers!

FYI bro hizo S300 Venezuela wanazo kitambo,Kama Greece ambaye ni NATO member wana hizo AD unaona ajabu gani kwa Venezuela kua nazo!? Hivi unadhani Marekani kama ingetaka hasa kuivamia Venezuela hivyo vi S300 ndo vingeizuia Airforce na Navy ya [emoji1258]?

Putin hana ubavu wa kupeleka nuclear weapons Venezuela,hilo ukae ukilitambua.
 
WEWE UNAONEKANA HIVI VITU SIO MFUATILIAJI MKUU.
MAREKANI KARUDISHA UHUSIANO NA VENUZUELA HIVI KARIBUNI TUU SAWA MKUU.

Uwe unafuatilia mambo mkuu sio unakuja HUMU ndani na chuki zako za Russia na washirika WAKE.
Hahahhaha
"Recent months have seen growing hints that the US is changing tack on Venezuela under Biden, although officials insist there will be no sudden lifting of sanctions they say are intended to help restore Venezuelan democracy."

Mwisho wa mjadala.
 
Jamani eeh ,imekuwa mara mbili sasa nimekuwa nikiota kuuwawa kwa Rais wa Urusi bwana Putin.

Mimi ni mtu ninayemeditate sana.na ninapokea maono mengi kupitia kwa NDOTO na yanakuwa KWELI.

Watu wa kiroho wanasema kuwa sisi wanadamu hatuna umbali ,yaani ulipo NAMI nipo.

Hivyo Kuna uwezekano mwenzetu akapotezwa na watu wa magharibi.

Na nilichoona ,baada ya kifo Cha msela ,majenerali wake hawatokuwa na la kusema zaidi ya kusarender kuacha vita ili kuepusha vita vya nyuklia.
Siku ukiona choo kwenye hizo ndoto zako jitahidi uingie ukitumie, utanishukuru baadae.

Sent from my SM-A135F using JamiiForums mobile app
 
Ila wewe ulijua miezi kabla?! Mbona hukuleta ushuhuda ama kufungua Uzi wa ushahidi?! Kama sivyo bhas ni kilaza mwenzangu
Acha kujiuguza wehu,baada ya Russia kusogeza jeshi mpaka na Ukraine ndio US akapredict hivyo!Kabla hata ya US,Kuna wanahabari tayari walikuwa wameshapredict uvamizi huu!
Yaani Leo,Tz isogeze wajeda na magari vita mpakani na Rwanda,wakati Huo Huo Kuna tension baina ya Rwanda na Tz halafu mtu usijue kifuatacho😆😆😆,utakuwa Dunia imekuacha!
 
Hata Merikani unanunua mbolea kutoka Russia - lakini Biden akiwa kwenye majukwaa ya kisiasa uzungumzia vitu kingine kabisa as if hanunui:mbolea, nuclear fuel rods, aluminium, titanium and other earth rare metals indirectly kutoka Urusi - Warusi wanakaa kimya tu kwa kujifanya hawajui kinacho endelea nyuma ya pazia!!
Sasa mbona Urusi haimwekei Marekani vikwazo kwenye hiyo mbolea, aluminum, titanium, nuclear fuel rod wakati anawapa silaha Ukraine?
 
Yani nyie Himars zidunguliwe msilete taarifa hapa.

Au unataka tuamini zile taarifa za MOD za Urusi,zile fix. Juzi hapa walisema wameharibu Bradley AFV wakati hizo Bradley hazipo Ukraine ndio kwanza wanajeshi wa Ukraine wapo Ujerumani wanajifunza jinsi ya kuzitumia.

Yani Russia inaharibu silaha ambayo haipo kwenye uwanja wa Vita, hili si ni ajabu la nane la Dunia[emoji23][emoji23][emoji23]

Russia Mocked For Claiming To Destroy 4 US-Made Bradley Fighting Vehicles That Are Yet To Be Delivered To Ukraine

Russia has claimed to have destroyed four American-made Bradley Fighting Vehicles in Ukraine, which the Biden administration recently pledged to Kyiv as part of its latest $3.75 billion aid package. The only catch being they are yet to arrive in the war-hit country.

Russia’s Ministry of Defense spokesman Igor Konashenkov said in a recent press statement that Ukraine lost four Bradley Fighting Vehicles (BFVs) during hostilities.

“During the battle in this direction, the enemy (Ukraine) lost 11 tanks, 17 Infantry Fighting Vehicles (IFVs), including four Bradleys made in the USA,” said Konashenkov.

The video of Konashenkov claiming the destruction of Ukrainian Bradleys has become a laughing stock among the netizens on social media


Russia Mocked For Claiming To Destroy 4 US-Made Bradley Fighting Vehicles That Are Yet To Be Delivered To Ukraine

Yani Russia kwa fix ni hatari[emoji23][emoji23][emoji23]

Ulivyovba akili fupi,Unadhani kila silaha inayopelekwa Ukraine inatangazwa!Ujue pia sio kila silaha Russia anayopeleka Ukraine anatangaza!
Nikupe tu mfano,Kuna wakati Russia alikuwa hatoi idadi ya aliowala vichwa!Akawa anawafukia Karibu buku kwenye kaburi Moja!Baada ya counter offensive ya Ukraine na kukomboa baadhi ya maeneo ndio tukayajua hayo!
Tuambie,msemaji wa Zelensky amejiuzulu Kwa sababu gani?Je,taarifa kutoka Ukraine Zinaweza kuaminika?
Nakumbuka Zele alimind sana yule mama wa EU alipotoa Siri kuwa zaidi ya wajeda laki Moja wa Ukraine wameliwa vichwa!
Kwenye hii vita,tujadili matokea na sio hizi propaganda nyepesi nyepesi ambazo hazina maana!
 
Huenda zile tetesi zilizoenea kwamba dikiteta aliwahishwa ahera nahis zinaenda kuwa habari rasmi..,za chini chini ni kwamba Kwa Sasa Kuna edited and recorded speech za yule bwana hambazo zinarushwa hewani baada ya muda flani Ili kuwapa watu matumaini,

Sent from my Infinix X660B using JamiiForums mobile app
😆😆😆😆,Kweli mna uhaba na good news huko Frontline!
Only a fool can buy that crap!
 
Back
Top Bottom