D A E M U S H I N
JF-Expert Member
- Dec 15, 2015
- 22,665
- 121,102
Nimesoma hii post word to word dhidi ya kupongeza Russia pia naomba nikupongeze we mwenyewe pia Mungu awabariki wote wanaopinga ukandamizaji ,ukoloni na tabia za hila za marekani na ulaya wametutesa Sana hao mbwa nao mda wao wa kuona Nini maana ya kipigo walichotupatia enzi za ukoroni kilikuwa hakifai ni huu Putin Mungu akubariki.USA alitamka mwanzo kua Urusi itaivamia Ukraine mwezi Feb 2022.
Wengi wanadhani ni uwezo mkubwa wa intelligence ya USA,lkn sio,Bali ni kutokana na mtililiko wa matukio.
Kabla ya SMO kuanza Urusi ilifanya juhudi kubwa sana kuepusha vita hii kutokea.
Urusi ilikua Kila siku inaiomba Ukraine kubaki nyutro yaani kubaki bila kuegemea upande wowote lkn Ukraine ikadharau.
Urusi iliiomba USA isiruhusu Ukraine kujiunga na NATO,USA ikadharau,Urusi ikaziomba nchi za NATO zisiipe Ukraine uanachama wa NATO,wakadharau.ingawa haikua imejiunga bado lkn maandalizi ya kujiunga yalikia yanaendelea kiaina.
Urusi ikaziandikia barua nchi za NATO na hasa USA juu ya ombi lake,hawakuweza hata kumjibu.
Wakati hayo yakiendelea Ukraine ikaendelea kuvunja mkataba wa minsk.ikiwa ni pamoja na kuwapiga wa donesk na WA luhansk.
Urusi ikachora mstari mwekundu kwa NATO na Ukraine,wakivuka isije ikalaumiwa.wakavuka bana.
USA na Russia ni maadui wakubwa lkn wenye vikao vingi sana kuhusu usalama wao na WA dunia.wanajuana sana kitabia.
Hivyo baada ya juhudi zote za Urusi kutafuta maridhiano kushindikana USA ikasoma tabia za Urusi kwani walikua kua wamewakatalia maombi Yao yote na wamechora mstari mwekundu hivyo watafanya Nini,Urusi wakanza maandalizi Huku USA akifatilia kwa umakini mkubwa ndipo akatoa tahadhari kua Urusi ataivamia Ukraine mwezi Feb.
Nao USA Kwa malengo Yao ya kuidhoofisha Urusi kwa njia hii wakafurahi kua hatimae Urusi imeingia kwenye mtego.
Suala la vikwazo halikuja kwa bahati mbaya au michango ya silaha haikua Kwa bahati mbaya,Bali ni mipango iliyokuwepo kwa Nia ya kuidhoofisha Urusi kijeshi na kiuchumi,mtego ulikua ni kua akianzisha vita na Ukraine atamalizwa kwa vikwazo vikali sana na vita ya mda mrefu.
Ni dhahiri USA hawakua na taarifa za kutosha juu ya uwezo wa kijeshi na kiuchumi wa Urusi.
SMO ilipoanza USA ilitoa tamko kuwa nchi yoyote isijaribu kuisaidia Urusi.,hapa walilenga kijeshi zaidi,walikua kua itafika mahali Urusi itazidiwa,ama itaishiwa sulaha ama fedha na itadhoofika nalo lengo lao litakuja limetimia.
Tamko hilo lililengwa zaidi kwa china,kua huenda china ikaisaidia Urusi,lakini china kwanza walilipuuza na kusema Urusi ina uwezo wa kupigana peke yake,haihitaji msaada wowote.
USA hawakua na taarifa za kutosha juu ya uwezo wa kijeshi na kiuchumi wa Urusi kwa sababu Hadi Sasa Urusi haijaishiwa silaha kama walivyokua wanadhania USA na NATO,Cha ajabu Kila siku Urusi anapeleka silaha mpya kwa njia ya barabara na reli,Tena sio kutoka makambi mengine Bali mpya kabisa huenda kutoka viwandani.
Cha kushangaza zaidi waliokua wanasema ataishilwa silaha wao ndio wamekua.wa kwanza kulalamika kua maghala Yao ya silaha yamepungukiwa na silaha,zimebaki za akina,wameshasema hivyo USA, UK,Poland,German,Canada na NATO wengine.
Kilio hiki sio kwenye silaha TU,Bali kimesikika pia kwenye uchumi.tumeona tumesikia na kusoma kua sio ulaya TU Bali hata USA maisha yamepanda,ajira zimeshuka,vitu vimeoanda bei hakuna nishati na uchumi kuanza kuporomoka.urusi bado Iko ngangari.
Hatukatai hata yeye kwa sababu alikua anafanya nao biashara kwa namna moja ama nyingine lazime ayumbe hasa kwenye masoko.
Lakini kaweza kugeuza shingo na Sasa anafanya sana biashara na nchi za Asia hasa zile zenye idadi kubwa ya watu mfano chinana India pamoja na mataifa mengine.
Hali hii USA na NATO hawakuitegemea hata.
Kibaya zaidi Kuna nchi kubwa kiuchumi hazijaitenga Urusi kama vile Saud Arabia na nchi nyingine za kiarabu na mashariki ya mbali.
NATO wakiingilia kijeshi Kuna nchi lazima zitaingia vitani upande wa Urusi,nasema lazima kwa sababu ya mahusiano ya nchi hizo na USA.
Nchi amabzo ni wazi zitaingia kupigana pamoja na Urusi ni zile nchi zinazochukiwa sana na USA,zinazowindwa sana na USA na zinazoshutumiwa sana na USA.
Nchi hizi hata kama haziungwi mkono hadharani kijeshi na Urusi lakini USA anashindwa kuzivamia kwa sababu anajua Urusi atazisaidia,na nchi hizo zinajua fika kua NATO waliingiza majeshi kumsaidia Ukraine na Urusi ikatokea akashindwa basi nazo n hi hizo zitaenda na maji,yaani zitapigwa na kuwekwa chini ya mikono ya USA,kwa hiyo kuliko kumuacha Urusi ashindwe ni Bora zisaidiane na Urusi kwa ajili ya usalama wao.nchi hizo ni china,Korea Kaskazini na iran.kuna nchi ziko marafiki na Urusi lakini hazina bifu na USA,hizi zitaweza kuingia Vitani pia lkn hizo tatu nilizozitaja kama Urusi akishindwa maisha mustakabali wao utakua Mgumu mno.
Tuziangalie uwezo wao kijeshi na mchango hatuhitaji maelezo mengi wote tuanjua uwezo wa kijeshi wa nchi hizo na ukilinganisha na baadhi ya nchi za ulaya ama NATO.
Maajabu ya kujimudu Urusi kijeshi na kiuchumi katika vita hii ni kama yalipangwa.
Urusi ilijipanga kwa haya yanayotokea Leo hii kinyume kabisa na matarajio ya USA
Urusi na USA zimekua zikisomana Kila siku,ila Kwa hapa Urusi alimsoma USA kitabia hatua kumi mbele,tabia za USA zinatia mashaka mno na ni rahisi kujua matarajio yake,hapo ndipo Urusi anapompiga BAO.wote mnajua kuhusu kujitanua kijeshi Kwa USA kumzumguka Urusi,sio mpango wa kawaida Bali ni mpango dhidi ya Urusi,Urusi hushitukia na hutibua mipango hiyo.
Mfano mmoja,kwa wafuatiliaji wazuri wa mambo haya,nadhani wengi mnakumbuka jinsi USA alivyokua anatamani kuweka mfumo wa rada Romania na mfumo wa kudungua makombora Cheks au Poland kama sijakosea,kwa kisingizio kua ni kuilinda ulaya dhidi ya mataifa ovu ya Iran na Korea Kaskazini.dunia ikabaki inashangaa,mbona hakuna bifu kati ya Iran na ulaya?,au KK na ulaya?
Urusi walipinga kwa nguvu sana na kutoa vitishi juu,hatimae USA akaachana na mpango ule.
Kusema ukweli mpango ule ulikua ni juu ya kuiangamiza Urusi.na huenda pengine yalikua ni maandalizi ya vita kama hizi.urusi alijua fika Nia ovu hiyo na kutoa vitisho vikali sana kwa USA na nchi zitakazo wekewa mitambo hiyo kua zitakua shabaha namba moja.
Kwa kuamalizia ni kwamba Urusi alijiandaa kwa Kila kitu kijeshi na kiuchumi,
hata wakichangishana silaha na wao pia zianpungua,
NATO waliingia upande wa Ukraine,Kuna nchi zitaingia upande wa Urusi,
Urusi aloshajua janja ya USA siku nyingi kumchonganisha na Ukraine ili akipigana Nae amchoshe kijeshi na kiuchumi,kilichotokea wanachoka wao,
Walitegemea kukamata.Assets za Warusi Warusi wangemfanyia fujo Putin lkn utulivu umetamalaki Urusi.
Sehemu kubwa ya Dunia haijamlaumu urusi.Latin Amerika,Afrika,middle east,far east na Asia hawana shida na Urusi.
Yaani marekani wapumbavu Sana 😂😂😂😂😂😂Kama ile ishu ya mig za poland.
US akamwambia Poland apeleke hizo ndege (mig 29) Ukraine ili ampe F16,
US considers sending F-16s to Poland if Warsaw gives its MIG-29 to Ukraine
Poland akaona anawekwa 'frontline' kijanja akamuambia US, yeye (Poland) hapeleki ndge yoyote Ukraine bali atazipeleka hizo ndege kwenye kambi ya US iliyoko ulaya (Ujerumani) Alafu wao US ndio wazipeleke Ukraine.
The Polish scheme proposed that the Russian made MiG-29 fighter jets be delivered to a US base in Ramstein, Germany, and then be deployed to Ukraine.
Kwani walikubali [emoji16]
The United States has rejected Poland’s offer to send its MiG-29 fighter jets to Ukraine via a US airbase in Germany, saying the proposal raised “serious concerns” for the entire NATO alliance.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] wamefanya Offensive mara kibao na zote zimedundaMarekani imezuia Ukraine isifanye Offensive hadi wakipewa silaha mpya. Hold your positions
Kwa kuongezea, matukio baada ya Urusi kuichukua Crimea yalitoa tahadhari kubwa kwa Urusi..Baada ya sakata la Crimea 2014, west walianza kuweka vikwazo na kuongelea vikwazo vikubwa sana ambavyo Urusi hawakutarajia kama vingeongelewa mfano kuwadisconnect kwenye SWIFT.USA alitamka mwanzo kua Urusi itaivamia Ukraine mwezi Feb 2022.
Wengi wanadhani ni uwezo mkubwa wa intelligence ya USA,lkn sio,Bali ni kutokana na mtililiko wa matukio.
Kabla ya SMO kuanza Urusi ilifanya juhudi kubwa sana kuepusha vita hii kutokea.
Urusi ilikua Kila siku inaiomba Ukraine kubaki nyutro yaani kubaki bila kuegemea upande wowote lkn Ukraine ikadharau.
Urusi iliiomba USA isiruhusu Ukraine kujiunga na NATO,USA ikadharau,Urusi ikaziomba nchi za NATO zisiipe Ukraine uanachama wa NATO,wakadharau.ingawa haikua imejiunga bado lkn maandalizi ya kujiunga yalikia yanaendelea kiaina.
Urusi ikaziandikia barua nchi za NATO na hasa USA juu ya ombi lake,hawakuweza hata kumjibu.
Wakati hayo yakiendelea Ukraine ikaendelea kuvunja mkataba wa minsk.ikiwa ni pamoja na kuwapiga wa donesk na WA luhansk.
Urusi ikachora mstari mwekundu kwa NATO na Ukraine,wakivuka isije ikalaumiwa.wakavuka bana.
USA na Russia ni maadui wakubwa lkn wenye vikao vingi sana kuhusu usalama wao na WA dunia.wanajuana sana kitabia.
Hivyo baada ya juhudi zote za Urusi kutafuta maridhiano kushindikana USA ikasoma tabia za Urusi kwani walikua kua wamewakatalia maombi Yao yote na wamechora mstari mwekundu hivyo watafanya Nini,Urusi wakanza maandalizi Huku USA akifatilia kwa umakini mkubwa ndipo akatoa tahadhari kua Urusi ataivamia Ukraine mwezi Feb.
Nao USA Kwa malengo Yao ya kuidhoofisha Urusi kwa njia hii wakafurahi kua hatimae Urusi imeingia kwenye mtego.
Suala la vikwazo halikuja kwa bahati mbaya au michango ya silaha haikua Kwa bahati mbaya,Bali ni mipango iliyokuwepo kwa Nia ya kuidhoofisha Urusi kijeshi na kiuchumi,mtego ulikua ni kua akianzisha vita na Ukraine atamalizwa kwa vikwazo vikali sana na vita ya mda mrefu.
Ni dhahiri USA hawakua na taarifa za kutosha juu ya uwezo wa kijeshi na kiuchumi wa Urusi.
SMO ilipoanza USA ilitoa tamko kuwa nchi yoyote isijaribu kuisaidia Urusi.,hapa walilenga kijeshi zaidi,walikua kua itafika mahali Urusi itazidiwa,ama itaishiwa sulaha ama fedha na itadhoofika nalo lengo lao litakuja limetimia.
Tamko hilo lililengwa zaidi kwa china,kua huenda china ikaisaidia Urusi,lakini china kwanza walilipuuza na kusema Urusi ina uwezo wa kupigana peke yake,haihitaji msaada wowote.
USA hawakua na taarifa za kutosha juu ya uwezo wa kijeshi na kiuchumi wa Urusi kwa sababu Hadi Sasa Urusi haijaishiwa silaha kama walivyokua wanadhania USA na NATO,Cha ajabu Kila siku Urusi anapeleka silaha mpya kwa njia ya barabara na reli,Tena sio kutoka makambi mengine Bali mpya kabisa huenda kutoka viwandani.
Cha kushangaza zaidi waliokua wanasema ataishilwa silaha wao ndio wamekua.wa kwanza kulalamika kua maghala Yao ya silaha yamepungukiwa na silaha,zimebaki za akina,wameshasema hivyo USA, UK,Poland,German,Canada na NATO wengine.
Kilio hiki sio kwenye silaha TU,Bali kimesikika pia kwenye uchumi.tumeona tumesikia na kusoma kua sio ulaya TU Bali hata USA maisha yamepanda,ajira zimeshuka,vitu vimeoanda bei hakuna nishati na uchumi kuanza kuporomoka.urusi bado Iko ngangari.
Hatukatai hata yeye kwa sababu alikua anafanya nao biashara kwa namna moja ama nyingine lazime ayumbe hasa kwenye masoko.
Lakini kaweza kugeuza shingo na Sasa anafanya sana biashara na nchi za Asia hasa zile zenye idadi kubwa ya watu mfano chinana India pamoja na mataifa mengine.
Hali hii USA na NATO hawakuitegemea hata.
Kibaya zaidi Kuna nchi kubwa kiuchumi hazijaitenga Urusi kama vile Saud Arabia na nchi nyingine za kiarabu na mashariki ya mbali.
NATO wakiingilia kijeshi Kuna nchi lazima zitaingia vitani upande wa Urusi,nasema lazima kwa sababu ya mahusiano ya nchi hizo na USA.
Nchi amabzo ni wazi zitaingia kupigana pamoja na Urusi ni zile nchi zinazochukiwa sana na USA,zinazowindwa sana na USA na zinazoshutumiwa sana na USA.
Nchi hizi hata kama haziungwi mkono hadharani kijeshi na Urusi lakini USA anashindwa kuzivamia kwa sababu anajua Urusi atazisaidia,na nchi hizo zinajua fika kua NATO waliingiza majeshi kumsaidia Ukraine na Urusi ikatokea akashindwa basi nazo n hi hizo zitaenda na maji,yaani zitapigwa na kuwekwa chini ya mikono ya USA,kwa hiyo kuliko kumuacha Urusi ashindwe ni Bora zisaidiane na Urusi kwa ajili ya usalama wao.nchi hizo ni china,Korea Kaskazini na iran.kuna nchi ziko marafiki na Urusi lakini hazina bifu na USA,hizi zitaweza kuingia Vitani pia lkn hizo tatu nilizozitaja kama Urusi akishindwa maisha mustakabali wao utakua Mgumu mno.
Tuziangalie uwezo wao kijeshi na mchango hatuhitaji maelezo mengi wote tuanjua uwezo wa kijeshi wa nchi hizo na ukilinganisha na baadhi ya nchi za ulaya ama NATO.
Maajabu ya kujimudu Urusi kijeshi na kiuchumi katika vita hii ni kama yalipangwa.
Urusi ilijipanga kwa haya yanayotokea Leo hii kinyume kabisa na matarajio ya USA
Urusi na USA zimekua zikisomana Kila siku,ila Kwa hapa Urusi alimsoma USA kitabia hatua kumi mbele,tabia za USA zinatia mashaka mno na ni rahisi kujua matarajio yake,hapo ndipo Urusi anapompiga BAO.wote mnajua kuhusu kujitanua kijeshi Kwa USA kumzumguka Urusi,sio mpango wa kawaida Bali ni mpango dhidi ya Urusi,Urusi hushitukia na hutibua mipango hiyo.
Mfano mmoja,kwa wafuatiliaji wazuri wa mambo haya,nadhani wengi mnakumbuka jinsi USA alivyokua anatamani kuweka mfumo wa rada Romania na mfumo wa kudungua makombora Cheks au Poland kama sijakosea,kwa kisingizio kua ni kuilinda ulaya dhidi ya mataifa ovu ya Iran na Korea Kaskazini.dunia ikabaki inashangaa,mbona hakuna bifu kati ya Iran na ulaya?,au KK na ulaya?
Urusi walipinga kwa nguvu sana na kutoa vitishi juu,hatimae USA akaachana na mpango ule.
Kusema ukweli mpango ule ulikua ni juu ya kuiangamiza Urusi.na huenda pengine yalikua ni maandalizi ya vita kama hizi.urusi alijua fika Nia ovu hiyo na kutoa vitisho vikali sana kwa USA na nchi zitakazo wekewa mitambo hiyo kua zitakua shabaha namba moja.
Kwa kuamalizia ni kwamba Urusi alijiandaa kwa Kila kitu kijeshi na kiuchumi,
hata wakichangishana silaha na wao pia zianpungua,
NATO waliingia upande wa Ukraine,Kuna nchi zitaingia upande wa Urusi,
Urusi aloshajua janja ya USA siku nyingi kumchonganisha na Ukraine ili akipigana Nae amchoshe kijeshi na kiuchumi,kilichotokea wanachoka wao,
Walitegemea kukamata.Assets za Warusi Warusi wangemfanyia fujo Putin lkn utulivu umetamalaki Urusi.
Sehemu kubwa ya Dunia haijamlaumu urusi.Latin Amerika,Afrika,middle east,far east na Asia hawana shida na Urusi.
Huu ni mtego aisee...Wanawaambie wasifanye offensive...wakati Warusi wanasogelea tu...watapaswa either wapigane au waachie maeneo wakajipange kwanzaMarekani imezuia Ukraine isifanye Offensive hadi wakipewa silaha mpya. Hold your positions
huyu jamaa sometimes huelezea vizuri sana update hour after hour[emoji1258][emoji1255][emoji298]US advises Ukraine to withdraw troops from Bakhmut, - AFP publication, citing a senior US official
Kiev's heightened focus on holding the city is reportedly hindering preparations for the expected spring offensive. According to the official, Kiev may not have enough resources to both conduct military operations in the city and prepare for an offensive in the south of the country.
Sent using Jamii Forums mobile app
Nawawekea na video kabisa
Hata marekani na Europe wangefungiwa bomba la mafuta na kuto uziwa nafaka na madini ya Urusi iyo 2014 wangekuwa na hali mbaya zaidi kuliko sasa. Hao west unao wasifia hawana potential ya kumthibit Urusi kiuchumi kwa maana Urusi ilishajiondoa kwenye myororo na utumwa wa kiuchumi. Ndo kati ya nchi ambazo monetary system yao haiko attached na ya wazungu Kama sisi wabongo mzungu akipiga chafya ya corona Benki kule huku mambo Yana yumba. Urusi inajitosheleza hata bila west au America na dunia inamuhitaji Urusi kuliko Urusi anavyo hitaji dunia. Urusi hajawai kushidwa vita na kwa haraka haraka sanctions zimedunda ina maana anashinda vita ya kiuchumi, sasa ngoja iyo Benki mpya ya Dunia ifunguliwe ambapo dollar haitakuwa ikitumika kwenye kila transactions Kama sasa kila nchi itakuwa na haki ya kutumia sarafu yake katika manunuzi. Tuna elekea kwenye balanced world order aka multipolar world.Kwa kuongezea, matukio baada ya Urusi kuichukua Crimea yalitoa tahadhari kubwa kwa Urusi..Baada ya sakata la Crimea 2014, west walianza kuweka vikwazo na kuongelea vikwazo vikubwa sana ambavyo Urusi hawakutarajia kama vingeongelewa mfano kuwadisconnect kwenye SWIFT.
Hii kitu Urusi angepigwa 2014 angekoma aisee..transaction za ndani zingekwama kabisa, walipoanza kunusa hii hatari wakaona watengeneze mfumo wao..2015 na ukaanza fanyia majaribio, VISA CARD & MASTERCARD zikawa localized, MIR ikaanza kuwa promoted sana.. .mfano malipo ya pension na other government payments zikaanza kutumia MIR, watu wakaanza kutafuta MIR cards..
West wamekuja kupiga vikwazo 2022 wakifikiri wataleta matatizo kwenye mzunguko wa fedha..kumbe hamna lolote...VISA na MASTERCARD ndani ya URUSI zinapiga kazi kama..nje ya nchi ndo shida, transactions ndani ya nchi pia zinaendelea bila shida yoyote..
N.K..
Kama Urusi ingepigwa sanctions kabla ya 2014 au 2014 yenyewe..hali ingekuwa mbaya mno..wangepata tabu
Sent from my SM-A205F using JamiiForums mobile app
Huyo mwamba simsikii siku hizi[emoji1787]Labda alimaanisha jenerali ulimwengu
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]Dalili za kushidwa
Huyo 'ki-rata![]()
msaada wa chumvi wa nini wakati bado Soledar haijanguka kwa mujibu wa kipanya44.![]()
Kipanya 44 kasema mji wa Soledar bado haujanguka![]()
![]()
![]()
![]()
Msipende kupindisha habari....sisi wote tunafuatilia habari hizi. HaKuna offensive iliyopangwa na Ukraine na mabwana zake kwamba itafanyika sasa. Ukraine na mabwana zake wa NATO na West nchi zipatazo 50 jumla yake wamepanga offensive hiyo ianze spring. Kwa hiyo Marekani na mabwana wengine wa Ukraine wanataka Ukraine ising'ang'anie Bakhmut kwani itaathiri mipango ya offensive hiyo ya spring. Kwanini? Kwa kuwa huko Bakhmut askari wengi wa Ukraine wanapukutika na resources nyingi kama silaha na kadhalika zinatumika huko ambazo zingeweza kutumika kwenye offensive ya spring.Marekani imezuia Ukraine isifanye Offensive hadi wakipewa silaha mpya. Hold your positions

Hakuna mtu kawasifia West....mimi ni-Pro-Russia.Kuwa Pro-russia hakunifungi na chochote.Na usijidanganye kwamba Russia yuko front kwa West kwa kila kitu. Actions nyingi za Russia ni baada ya kutendewa analipiza- Russia asingekuwa na sababu ya kufunga bomba la mafuta bila ya kuwaprovoked na EU..Hata marekani na Europe wangefungiwa bomba la mafuta na kuto uziwa nafaka na madini ya Urusi iyo 2014 wangekuwa na hali mbaya zaidi kuliko sasa. Hao west unao wasifia hawana potential ya kumthibit Urusi kiuchumi kwa maana Urusi ilishajiondoa kwenye myororo na utumwa wa kiuchumi. Ndo kati ya nchi ambazo monetary system yao haiko attached na ya wazungu Kama sisi wabongo mzungu akipiga chafya ya corona Benki kule huku mambo Yana yumba. Urusi inajitosheleza hata bila west au America na dunia inamuhitaji Urusi kuliko Urusi anavyo hitaji dunia. Urusi hajawai kushidwa vita na kwa haraka haraka sanctions zimedunda ina maana anashinda vita ya kiuchumi, sasa ngoja iyo Benki mpya ya Dunia ifunguliwe ambapo dollar haitakuwa ikitumika kwenye kila transactions Kama sasa kila nchi itakuwa na haki ya kutumia sarafu yake katika manunuzi. Tuna elekea kwenye balanced world order aka multipolar world.
Bila kusahau Kuna vuguvuga la Texas kujichomoa USA tena kama nyakati zile.Na pia Kuna vuguvugu ya vita ya wenyewe kwa wenyewe marekani Kama ile revolutionary war. Hizi ni za chini chini.