D A E M U S H I N
JF-Expert Member
- Dec 15, 2015
- 22,665
- 121,102
Wagner wameamua kurudisha maiti za wanajeshi wa ukraine waliokufa soleder, msafara utakuwa ni jumla ya magari 100,full loaded,, 😕
Dharau ya kiwango cha juu
Wagner wameamua kurudisha maiti za wanajeshi wa ukraine waliokufa soleder, msafara utakuwa ni jumla ya magari 100,full loaded,, 😕
Sijui ni strike gani.Artillery strike hii?... Uturuki angenunua Patriot tu sema siasa zilimkurupusha.
Dharau gani hapo, hii issue imetokea tangu vita hii ianze. Na vita zote za kimataifa zinafanya hivi long before WW1. Hata Russia kuomba ceasefire siku ya Orthodox Christmas sio jambo la ajabu ni kitu kinafanyika miaka mingi.Dharau ya kiwango cha juu
SabotagedRussia imeshapoteza TEL ya S-400 mwaka jana hiyo. New evidenceView attachment 2490290View attachment 2490291View attachment 2490292
Hivi kwa silaha ambazo ni joint partnership kama F-35 kuna kuwa na export Version pia ?Sijui ni strike gani.
Ni vizuri nchi kuwa na inventories tofauti za silaha ila zinazoshabihiana. Air defence system inasoma hata ndege zake na zinakuwa na Identification of Friend or Foe (IFF) kuzuia zisishambuliwe friendly fire. Marekani ilivyokataa kuuza F-35 kwa Turkey ililenga kuzuia data zake zisisomeke na S-400. Na zingekuwepo hizo F-35 bado nazo zingesoma data za S-400, mtengenezaji upande mwingine anapata access ya data za silaha hasimu kwa vile kungekuwa na technical team yake Turkey.
Inasemekana Israel ilisoma S-300 za Greece kujiandaa ikiwa Syria itazipata. Ni hasara kupeleka silaha yako muhimu kwa unreliable or neutral partner. Hapo Turkey mwenyewe amepigwa mkwara mkali na Russia asitoe siri za S-400 ila hata Greece ana masharti na S-300 zake. Turkey hajawa matured kuaminika sana, kwanza yuko very desperate na critical military technologies. Mfano vita iibuke sasa hivi Marekani ashindwane na S-400 akiahidi tech transfer ya jet engines tu Uturuki anaropoka yote
F;35 ilikua ni joint programme ya nchi za ulaya,, ufaransa alikuja kujitoa, mradi ukawa unakosa funding, ndiposa akaingia US na kuinject hela, huu mradi hadi Turkey alishiriki,akiunda airframe za F-35,Hivi kwa silaha ambazo ni joint partnership kama F-35 kuna kuwa na export Version pia ?
Hapana. Tofauti ni datalink za kuwasiliana baina ya ndege zao na mifumo yao ya anga. Na tofauti nyingine kidogo inaweza kuwa missiles ila mostly F-35 zinatumia missiles sawa kwa vile ni internal bay ambazo ni ngumu kutengeneza. Hadi sasa Su-57 haina missile yoyote ya internal weapons bay. Ukiweka missile nje una-compromise stealth.Hivi kwa silaha ambazo ni joint partnership kama F-35 kuna kuwa na export Version pia ?
Kwahiyo nato ndio wanaopigana huko??Hii vita hapigani Ukraine, Ukraine ni kama chambo tu!
Hii vita anapigana Urusi na mataifa zaidi 30 ya NATO.
Ogopa sana mtu anapigana na mataifa 30 na hayamuwezi.
Source: US Navy SEAL killed in Ukraine
Lakni mbona mnazilalamikia za west mda wote kama hakuna silaha iliyokuwa haiteketei vitani?Mbona hakuna tofauti na S-300.yani unataka kuniambia ni kitu gani kimekufanya ugundue kuwa iyo ni S-400.
Alafu kama ni S-400 basi ni jambo la kawaida kwa silaha kuteketea vitani.hakuna silaha kwa hapa duniani isiyoteketea uwanja wa vita

Ufaransa ni kawaida yake kujitoa kwenye jet project. Hata Rafale aliipata baada ya kujitoa kwenye Eurofighter Typhoon. Ila hii Future Combat Air System (FCAS) France hawezi jitoa maana Dassault ndio kama main contractor. Na kwa ugumu wa 6th generation ni vigumu nchi iwe yenyewe. Mwingereza tiyari kashakimbilia kwa Japan wana project yaoF;35 ilikua ni joint programme ya nchi za ulaya,, ufaransa alikuja kujitoa, mradi ukawa unakosa funding, ndiposa akaingia US na kuinject hela, huu mradi hadi Turkey alishiriki,akiunda airframe za F-35,
So priority ya kwanza wanapata washiriki, na allies wa karibu wa US, kama japan, south korea, israel, poland, etc
Warusi tu maana tumewazoea sana ndugu zetu[emoji23][emoji23][emoji23].wanasababisha mpaka jukwaa linapoa.Humu walikuwepo watu wengi sana wakishabikia upande fulani ghafla ngoma ilipokua ngumu wakapoteana ,baada ya kukaa mafichoni muda mrefu kidogo wakawa wanavizia vihabari haoo wanafufuka wote[emoji23][emoji23] basi bwana mmoja sijui ndio urusi yule akakaza dozi jukwaa likainama upande mmoja watu wakamute ila kuna wengine walirudi humu kwa id nyingine baada ya id za mwanzo kuprove failure na kuna mmoja namuona ona hapa najua mawili,apotee mazima muda ukifika au abadili id akaze fuvu....hebu nimpigie tena jamaa yangu yuko na wagner wanakichafua balaa huko kuliko inavyosimuliwa hapa
Kampuni imemega tena eneo la lgbtq-msl[emoji95][emoji95][emoji95]The DPR defense headquarters confirmed the capture of Kleshcheevka near Artemovsk. Yesterday PMC "Wagner" spoke about it[emoji95][emoji95][emoji95]
Mkuu usicheze na hii kampuni imewakimbiza pro upinde wengi humu jukwaaniKabla ya mzigo kumwagika.ulituambia Soledar bado ipo kwenye mikono ya vikosi vya Ukraine. Imekuwaje tena Belgium wameamua kutoa msaada wa chumvi kwa Ukraine baada ya ukraine kupoteza machimbo ya chumvi.
Hii imekaaje Comrade kipanya44 [emoji23][emoji23][emoji23]
Ulituakikishia kabisa kuwa tusiwe na wasiwasi bado Soledar ipo kwenye mikono salama ya vikosi vya Ukraine.imekuwaje tena ipo kwa wagner[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Ebu tupe jibu Comrade
Mzee huyo jamaa ki rat bila shaka kuna channel hazishiki vizuri antenna imekatikaJana BBC ilitangaza kuwa Soledar imechukuliwa na Warusi lakini mtu mmoja humu JF who is a sworn propagandist and mole of the West bado anaendelea kusema eti 'Soledar bado iko mikono salama ya Ukraine'...duh
Yaap nafuu umekubali"Nachojua marekani waliikimbia russia Venezuela"
Kumbe unachojua wewe ndo hicho....bhas sawa!
Noo broo sababu ni kuwa they will burn just like the rest of western weopond..periodSababu ya kutopeleka hii hapa
[emoji116]
Ila hata hizo Challenger na Leopold zitakuwa msumari wa moto kwa huyu Supa-pawa wa kuchora.
Matokeo yanaonesha ukraine imepoteza ardhiUlivyovba akili fupi,Unadhani kila silaha inayopelekwa Ukraine inatangazwa!Ujue pia sio kila silaha Russia anayopeleka Ukraine anatangaza!
Nikupe tu mfano,Kuna wakati Russia alikuwa hatoi idadi ya aliowala vichwa!Akawa anawafukia Karibu buku kwenye kaburi Moja!Baada ya counter offensive ya Ukraine na kukomboa baadhi ya maeneo ndio tukayajua hayo!
Tuambie,msemaji wa Zelensky amejiuzulu Kwa sababu gani?Je,taarifa kutoka Ukraine Zinaweza kuaminika?
Nakumbuka Zele alimind sana yule mama wa EU alipotoa Siri kuwa zaidi ya wajeda laki Moja wa Ukraine wameliwa vichwa!
Kwenye hii vita,tujadili matokea na sio hizi propaganda nyepesi nyepesi ambazo hazina maana!
Marekanj ni ShetaniUpo sahihi katika biashara MTU wa kwanza ni jirani,Ulaya ndio jirani wa Urusi na Nchi nyingi za Ulaya hazina shida kabisa na Russia tatizo ni hicho kimududu USA kinaona EU kufanya biashara na Russia ni kumuongezea mpinzani wake nguvu za kiuchumi.
Hivyo USA yeye anachokifanya ni kuwagombanisha majirani,ila kiuhalisia hii ni vita zidi Russia & USA, pia USA& CHINa.kutokana na Nchi za Ulaya kuwa na income kubwa trade kati ya UE na China au Russia ni kuondoa dominance ya USA Ulaya.
Ndio maana kila siku USA anapambana kusiwepo na trade ya kueleweka kati ya Russia na UE na Kati ya UE na China.