Special Thread: Yanayojiri Mgogoro wa Ukraine na Urusi. Nini chanzo na hatma ya mzozo?

Special Thread: Yanayojiri Mgogoro wa Ukraine na Urusi. Nini chanzo na hatma ya mzozo?

Sijui ni strike gani.

Ni vizuri nchi kuwa na inventories tofauti za silaha ila zinazoshabihiana. Air defence system inasoma hata ndege zake na zinakuwa na Identification of Friend or Foe (IFF) kuzuia zisishambuliwe friendly fire. Marekani ilivyokataa kuuza F-35 kwa Turkey ililenga kuzuia data zake zisisomeke na S-400. Na zingekuwepo hizo F-35 bado nazo zingesoma data za S-400, mtengenezaji upande mwingine anapata access ya data za silaha hasimu kwa vile kungekuwa na technical team yake Turkey.

Inasemekana Israel ilisoma S-300 za Greece kujiandaa ikiwa Syria itazipata. Ni hasara kupeleka silaha yako muhimu kwa unreliable or neutral partner. Hapo Turkey mwenyewe amepigwa mkwara mkali na Russia asitoe siri za S-400 ila hata Greece ana masharti na S-300 zake. Turkey hajawa matured kuaminika sana, kwanza yuko very desperate na critical military technologies. Mfano vita iibuke sasa hivi Marekani ashindwane na S-400 akiahidi tech transfer ya jet engines tu Uturuki anaropoka yote
Ah wabongo nimewavulia kofia,,, yani mnajua kulikoni hata hao raia wa nchi zao tajwa hapo😂😂😂😂😂😂😂😂😂 wabongo nyoko!!!
 
We jamaa! Kwa taarifa yako Felon imefanya mashambulizi tayari nchini Ukraine kwa kutumia BVR missiles nadhani ni R-77 though imefanya mashambulizi kutokea anga la Urusi. Sidhani kama hii ndege ina external weapon bays otherwise nini maana ya ndege kuitwa stealth fighter!
R-77 haikai kwenye internal bay, you are proving my point. Na sio lazima ndege iliyo stealth ikae kwenye stealth configuration. Kuna muda wanaweza waondoe ile skin ya nje au waweke pods kubeba missiles. Hii hapa F-35C ikiwa na missiles nje
20120627_O_GR159_004.jpg
 
Yani kitendo cha Marekani na Ujerumani kukataa kutuma vifaru vyao kwa Ukraine ni aibu kubwa sana na wameonyesha madhaifu kwa Warusi.

Kwa hali hii Ukraine muda sio mrefu atakubali tu matakwa ya Warusi maana hana jinsi
Wanarushiana mipira Germany anasema atatuma vifaru baada ya USA kutuma vyake maana yeye ndio ana interest zaidi huko Ukraine,USA nae anasema msaada wa vifaru kwenda Ukraine haitegemei na ni aanze.
 
Vifaru vipya vya Russia ni tudogodogo wanapanda wawili tu. SASA abraham wanapanda 12 inamaana kuna faida kubwa ukilipiga hypesonic
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]USA NI MAPUMBAVUU KWELI UNAPELEKA MKIFARU KAMA NYUMBA KWENYE VITA VYA HIGH TECH...Mrusi anavyo vifaru vipo kama ist vidogo tena avitumii binadamu bado ajavitumia
 
F;35 ilikua ni joint programme ya nchi za ulaya,, ufaransa alikuja kujitoa, mradi ukawa unakosa funding, ndiposa akaingia US na kuinject hela, huu mradi hadi Turkey alishiriki,akiunda airframe za F-35,
So priority ya kwanza wanapata washiriki, na allies wa karibu wa US, kama japan, south korea, israel, poland, etc
Kitu kibaya zaidi hizo slaa zote wanaziunda zije kutumika Africa na Nchi za kiarabu.wazungu wapumbavu sana
 
Yani hawa west kujichangisha Tank mpya 300 tu kwa ajili ya Ukraine imekuwa inshu.ivi kweli wapo serious kuwasaidia Ukraine kuwatoa Warusi kama wanavyosema au wapo kwa ajili ya kumchelewesha mrusi[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Tunaweza tukasema anataka kumchelewesha mrusi kumbe Urusi mwenyewe kapanga hiyo operation iishi baada ya 5 yrs
 
Hiyo ya Japan na mwingereza ndio ile wameialika mpaka Italy?

....ila ni kama vile UK na France hawapatani baadhi ya mambo (mahasimu wa chini chini) ndio maana ni vigumu kuwakuta kwenye project moja (rejea hata namna UK inavyopinga wazo la Ufaransa kuanzisha umoja wa kijeshi kuilinda Ulaya)...
France anataka kuwe na jeshi lisiloshirikisha USA,wanaona ni kama vile jeshi la NATO linakuwa controlled na USA.UK kama unavyojua ni mke mdogo na puppet wa USA kazi yake ni kuharibu mipango yote ya Ulaya.
 
Warusi tu maana tumewazoea sana ndugu zetu[emoji23][emoji23][emoji23].wanasababisha mpaka jukwaa linapoa.

Warusi tubishane hata habari za simba na yanga.tuachane na hii vita[emoji23][emoji23][emoji23]
Sisi warusi tunapiga stori ila ikitokea kazi basi stori tunauwa kwanza ili tumalize kazi...

Sasa kazi hakuna kwanini tusipige tu stori za mademu zetu wa west.?

URAAAA 🇷🇺🇷🇺🇷🇺🇷🇺
 
Hofu yangu ni kuwa hii operation sijui itaishaje!? Kwa sababu imebeba mustakabali mkubwa sana wa mabwana wakubwa wa dunia.

Sina shida kwamba Russia atashinda ila sijajua West watalikabili vipi hili!
West wanasema kwamba, Russia kushinda hii vita kuna negative effects kubwa sana kwao. Na hii negative effects ndio ile President Trump aliyosemaga kwamba "NATO is becoming brain dead"

Kama Ukraine akikubali kuwa neutral na ikawa hivyo...je ni nchi gani ya ulaya itakubali tena kuleta chokochoko na Russia ili ije iharibiwe kama ilivyofanywa Ukraine? Jibu ni hakuna.

Kwa hiyo NATO inawezekana ikakosa kuwa na maana tena.
 
Kwa hiyo umu ndani nyie Ukraine ndo mmekufa wote au sioni apdate zozote kutoka huko hata za Magumashi. Ah mnatuaibisha bhana

Sent from my Infinix X657 using JamiiForums mobile app
Wana mgomo hawajalipwa stahiki zao za kueneza fake news kwa wiki sasa.

Hata manager wao Kipanya ameshusha silaha chini
 
Back
Top Bottom