kilwakivinje
JF-Expert Member
- Jan 4, 2014
- 6,335
- 9,577
Mkuu hizo ni Kumbukumbu zisizosahaulika.Hahahahaha
Unachosema inawezekana kuwa kweli.Mkuu, inasadikiwa Leopard 2 ndiyo tanks yenye ufanisi mkubwa kabisa hapa Duniani kwa sasa, zikifuatia zile za Uingeleza Challenger 2 na za Marekani - kama ukiwa na Leopard 2 mia moja vita itakuwa nyepesi.
Mjerumani anaona kabisa anaweza kuingia mzozo mpya yeye na Mrusi wa moja kwa moja, nafikiri hapo ndipo shida ilipo.
Mbona hamuishiwi malamiko kama watoto wa kambo? Tukiwaacha muendelee kudanganyana hapa inakuwa shida ,bado tukiamua kuwajibu mnatuona wakorofi..,lipi Bora??[emoji848][emoji848]Kwa hiyo umu ndani nyie Ukraine ndo mmekufa wote au sioni apdate zozote kutoka huko hata za Magumashi. Ah mnatuaibisha bhana
Sent from my Infinix X657 using JamiiForums mobile app
Mwanzo pale... walipokuwa wanaweka Sanctions kila wiki... wana supply silaha nyingi kwa Ukraine...wana supply wanajeshi wa NATO hapo Ukraine kwa wingi sana.Wameshaona maji ya shingo na vita haieleweki kwa upande wao
Hizo leopard 2 unazosema ni bora kawaulize uturuki nini kiliwapata huko syria. Kuna kitu inaitwa konert markave za israel ziligeuzwa kuwa recycled raw materials. Hizo leopard ni bora kama unapigana na libya ila sio urusiMkuu, inasadikiwa Leopard 2 ndiyo tanks yenye ufanisi mkubwa kabisa hapa Duniani kwa sasa, zikifuatia zile za Uingeleza Challenger 2 na za Marekani - kama ukiwa na Leopard 2 mia moja vita itakuwa nyepesi.
Mjerumani anaona kabisa anaweza kuingia mzozo mpya yeye na Mrusi wa moja kwa moja, nafikiri hapo ndipo shida ilipo.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Mkuu sijazoea matusi , ubarikiwe Sana.Mimi ni pro-russia ila wenzangu vingine mnapost upumbavu. Sasa ni kitu gani kinaonesha hao wanajeshi wanaukimbia mji "massively"? Au ni kitu gani kinaonesha hao wana retreat?
Sent from my SM-A135F using JamiiForums mobile app
Abram ni kizito sana, kwenye tope kitazama chote, na kina operater wanne tu, kikizama hapo hakitoki,Kampuni la ulinzi na wanamgambo kutoka maeneo yaliyorudi Russia. NGOMA TOKA mother Russia BADO . Vifaru ni vya 1950-68 na vile vichache vipya vilivyobadili mchezo. Kule kuna tope huwezi peleka kifaru kikubwa kama nyumba pia kitaonekana kirahisi. Hayo ma Abraham unayapiga kutoka moscow unayapa hypersonic . USA anaogopa mengi
Yaani umjibu mtu akuone mkorofi? Kweli wa Ukraine mnajistukia sanaMbona hamuishiwi malamiko kama watoto wa kambo? Tukiwaacha muendelee kudanganyana hapa inakuwa shida ,bado tukiamua kuwajibu mnatuona wakorofi..,lipi Bora??[emoji848][emoji848]
Sent from my Infinix X660B using JamiiForums mobile app
Kabisa hahahahaMkuu hizo ni Kumbukumbu zisizosahaulika.
Hivyo tusiwacheke watu aina ya kipanya...
Propaganda za kijinga wamefunzwa na mashoga
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787] wamekujaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaJan. 22 update on Russian losses in war: +600 Russian troops killed in action[emoji848]
....
View attachment 2491285
Agaaa kipanya karudi.Mbona hamuishiwi malamiko kama watoto wa kambo? Tukiwaacha muendelee kudanganyana hapa inakuwa shida ,bado tukiamua kuwajibu mnatuona wakorofi..,lipi Bora??[emoji848][emoji848]
Sent from my Infinix X660B using JamiiForums mobile app
Hizo Leopard kuna nchi wanazo mfano Poland ila hawawezi kupeleka bila ruhusa ya Ujerumani kimkataba.Kwani German hawakuwa wanapeleka military assistance to Ukraine? Why now they are refusing to supply hizo Leopards 2?
Kwani mwanzoni walivyokuwa wanapeleka zana za vita huko Ukraine walikuwa wamesahau madhara ya vita lakini now wanapotakiwa kupeleka hizo Leopards 2 ndio wamekumbuka madhara ya vita?
Yani kitendo cha Marekani na Ujerumani kukataa kutuma vifaru vyao kwa Ukraine ni aibu kubwa sana na wameonyesha madhaifu kwa Warusi.
Kwa hali hii Ukraine muda sio mrefu atakubali tu matakwa ya Warusi maana hana jinsi