Special Thread: Yanayojiri Mgogoro wa Ukraine na Urusi. Nini chanzo na hatma ya mzozo?

Special Thread: Yanayojiri Mgogoro wa Ukraine na Urusi. Nini chanzo na hatma ya mzozo?

Hapana. Tofauti ni datalink za kuwasiliana baina ya ndege zao na mifumo yao ya anga. Na tofauti nyingine kidogo inaweza kuwa missiles ila mostly F-35 zinatumia missiles sawa kwa vile ni internal bay ambazo ni ngumu kutengeneza. Hadi sasa Su-57 haina missile yoyote ya internal weapons bay. Ukiweka missile nje una-compromise stealth.

Hiyo ndege is not for export. Ishakuwa JSF inatosha, gharama wamepunguza na wamelinda ushirikiano wao. Sio kila nchi ingeenda na hela pale ikakubaliwa kwenye programu
Wasemavyo wataalamu

Ubora wa F35 dhidi ya Su57 ni kwenye stealth and electronic superiority. Ubora wa Su57 dhidi ya F35 ni kwenye range, payload, speed, multirole na maneuverability.

Unasema mpaka sasa Su 57 haina missiles zozote za internal weapons bay!? Mbona kama kamba hii!?

The Russian Su-57 fighter will have two internal weapons bays capable of carrying four R-77 missiles and four R-73 missiles according to Sukhoi Design Bureau.
- Watengenezaji wenyewe wanasema.

Unamaanisha hizi R 77 na 73 missiles ndio mpk sasa hazipo au!?

From wikipedia
R 77 zipo kwenye service tangu 1994. Mwaka 2015 hata Syria zilitumika kwenye Su35.
Launch platform ya hizi missiles ni mig 21, 29, Su 30, 27, 34, 35 na 57. R73 zipo in service tangu 1984.

Hebu fafanua hapo unaposema hakuna missiles za internal weapons bay za Su57 unamaanisha nini hasa!?
 
Huyo jamaa anayeitwa T Armata sio kabisa wa kumuamini na simpendi kabisa, nashangaa anatumia jina letu.ni muongo sana ukimsikiliza.

Anapenda kuongea kishabiki kwa sababu ya kutoipenda Urusi.anakwambia kuwa SU-57 mpaka sass aina missile za internsl bay wakati R-77 na R-73 zinakaa kwenye internal bay ya SU-57.

Ni mtu muongo na asiyejua chochote kile kwenye mambo ya kijeshi.we mchukulie kama vile kichaa.

View attachment 2490632
Kutompenda ndio kutasababisha nini?

Hata wewe umuongo kabisa na habari zako nyingi unazoleta humu.
 
Yani wewe ni mtu muongo sana [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23].njia ya muongo ni fupi sana, leo umeumbuka.

Sizani kama una cha kijutetea kenge wewe.usituletee tena habari zako za uwongo.utakoga matusi siku nyingine..

Sijui Sukhoi 57 aina internal bay missile.izo hapo ni za baba yako.acha ujinga chunguza kitu kabla ya kuleta hapa.utakuja kubakwa mtoto wa kiume[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]View attachment 2490876
Kwani kumkot mtu bila ya kumtukana wakati hajakutukana kwenye kuleta hoja yako huwezi?
 
Waukrein waanza kuukimbia mji ha ha ha ....
[emoji1255] The Armed Forces of Ukraine continue to massively leave the center of Artyomovsk.

View attachment 2491176
Mimi ni pro-russia ila wenzangu vingine mnapost upumbavu. Sasa ni kitu gani kinaonesha hao wanajeshi wanaukimbia mji "massively"? Au ni kitu gani kinaonesha hao wana retreat?

Sent from my SM-A135F using JamiiForums mobile app
 
Tumetoka mbali sana
1674383288422.png
 
Kwa sasa west wamekuwa reluctant sana kupeleka vifaa vita huko Ukraine.

Kwa kufanya hivyo kunaifanya Ukraine iwe vulnerable na kushindwa ku hold positions zao na ndio maana tunaona Russians wanasonga mbele kwa kasi sana kwa kipindi hiki cha karibuni.

Vilevile kupeleka hivyo vifaa vita kunawaweka west kwenye list ya wao kupungukiwa na vifaa kwenye maghara yao ya silaha.

Kila nchi ina optimal amount ya silaha ambayo at any time zinatakiwa ziwepo kwenye maghala ya silaha.

Hapo hapo bado kuna ishu ya Taiwan na yenyewe bado haijapoa.

Kwa hiyo, west wakiendeelea kusua sua kama wanavyofanya hivi sasa, basi Ukraine wataumia sana.
 
Poland has offered 14 Leopard 2 tanks to Kiev and wants other Western nations to contribute, so Ukraine could get a batch of up to 100 tanks. At the same time, the Polish leader accused Germany of having been among the “least proactive” European nations in terms of arming Ukraine with tanks.
Baada ya vita vikuu vya Pili vya Dunia, Ujerumani iliapa kuachana kabisa na vichapo na ndiyo maana inasita sita kutoa ruksa kwa Vifaru vyake (Leopard 2) kutumia Ukraine.

Tuwaelewe hawa jamaa, vita wanaijua madhara yake.
 
Kwa sasa west wamekuwa reluctant sana kupeleka vifaa vita huko Ukraine.

Kwa kufanya hivyo kunaifanya Ukraine iwe vulnerable na kushindwa ku hold positions zao na ndio maana tunaona Russians wanasonga mbele kwa kasi sana kwa kipindi hiki cha karibuni.

Vilevile kupeleka hivyo vifaa vita kunawaweka west kwenye list ya wao kupungukiwa na vifaa kwenye maghara yao ya silaha.

Kila nchi ina optimal amount ya silaha ambayo at any time zinatakiwa ziwepo kwenye maghala ya silaha.

Hapo hapo bado kuna ishu ya Taiwan na yenyewe bado haijapoa.

Kwa hiyo, west wakiendeelea kusua sua kama wanavyofanya hivi sasa, basi Ukraine wataumia sana.
kwani wao urusi hawapungukiwi ? hiyo si hoja.
 
Baada ya vita vikuu vya Pili vya Dunia, Ujerumani iliapa kuachana kabisa na vichapo na ndiyo maana inasita sita kutoa ruksa kwa Vifaru vyake (Leopard 2) kutumia Ukraine.

Tuwaelewe hawa jamaa, vita wanaijua madhara yake.
Kwani German hawakuwa wanapeleka military assistance to Ukraine? Why now they are refusing to supply hizo Leopards 2?

Kwani mwanzoni walivyokuwa wanapeleka zana za vita huko Ukraine walikuwa wamesahau madhara ya vita lakini now wanapotakiwa kupeleka hizo Leopards 2 ndio wamekumbuka madhara ya vita?
 
Jan. 22 update on Russian losses in war: +600 Russian troops killed in action🤔
....
FB_IMG_1674383717817.jpg
 
Kwani German hawakuwa wanapeleka military assistance to Ukraine? Why now they are refusing to supply hizo Leopards 2?

Kwani mwanzoni walivyokuwa wanapeleka zana za vita huko Ukraine walikuwa wamesahau madhara ya vita lakini now wanapotakiwa kupeleka hizo Leopards 2 ndio wamekumbuka madhara ya vita?
Mkuu, inasadikiwa Leopard 2 ndiyo tanks yenye ufanisi mkubwa kabisa hapa Duniani kwa sasa, zikifuatia zile za Uingeleza Challenger 2 na za Marekani The M1 Abrams - kama ukiwa na Leopard 2 mia moja vita itakuwa nyepesi.

Mjerumani anaona kabisa anaweza kuingia mzozo mpya yeye na Mrusi wa moja kwa moja, nafikiri hapo ndipo shida ilipo.
 
Kwa sasa west wamekuwa reluctant sana kupeleka vifaa vita huko Ukraine.

Kwa kufanya hivyo kunaifanya Ukraine iwe vulnerable na kushindwa ku hold positions zao na ndio maana tunaona Russians wanasonga mbele kwa kasi sana kwa kipindi hiki cha karibuni.

Vilevile kupeleka hivyo vifaa vita kunawaweka west kwenye list ya wao kupungukiwa na vifaa kwenye maghara yao ya silaha.

Kila nchi ina optimal amount ya silaha ambayo at any time zinatakiwa ziwepo kwenye maghala ya silaha.

Hapo hapo bado kuna ishu ya Taiwan na yenyewe bado haijapoa.

Kwa hiyo, west wakiendeelea kusua sua kama wanavyofanya hivi sasa, basi Ukraine wataumia sana.
Wameshaona maji ya shingo na vita haieleweki kwa upande wao
 
Back
Top Bottom