Special Thread: Yanayojiri Mgogoro wa Ukraine na Urusi. Nini chanzo na hatma ya mzozo?

Special Thread: Yanayojiri Mgogoro wa Ukraine na Urusi. Nini chanzo na hatma ya mzozo?

Yani kitendo cha Marekani na Ujerumani kukataa kutuma vifaru vyao kwa Ukraine ni aibu kubwa sana na wameonyesha madhaifu kwa Warusi.

Kwa hali hii Ukraine muda sio mrefu atakubali tu matakwa ya Warusi maana hana jinsi
Muda mrefu kiasi gani ?.....maana ni mwaka sasa bado amegomea hayo matakwa.
 
Naomba tuendelee na mada nyingine maana Mambo ya kushindana Kika siku hapa Mara USA ana vifaru vya kisasa Mara ujerumani sijui NATO Mara ndege kutoka Czech Mara kifurushi kipya hayo onesheni watu wenu kwenye gwaride ila Kama mnataka vipelekwe makumbusho Moscow peleni Ukraine mnaogopa nn? Kifaa umekitengeza mwenyewe unasingizia ni garama kukirekebisha hakina spare? Mara ni vigumu wa Ukraine kuviendesha Ina maana hao hata mm niwazidi akili? Kwanza wale sio wazungu si nyinyi NATO mnasema waafrika ndio hamnazo Sasa imekuaje Tena wenyewe hazipo?
[emoji635][emoji635][emoji635][emoji635][emoji635][emoji635][emoji635][emoji635][emoji635] my big brother putin.
 
West wanasema kwamba, Russia kushinda hii vita kuna negative effects kubwa sana kwao. Na hii negative effects ndio ile President Trump aliyosemaga kwamba "NATO is becoming brain dead"

Kama Ukraine akikubali kuwa neutral na ikawa hivyo...je ni nchi gani ya ulaya itakubali tena kuleta chokochoko na Russia ili ije iharibiwe kama ilivyofanywa Ukraine? Jibu ni hakuna.

Kwa hiyo NATO inawezekana ikakosa kuwa na maana tena.
NATO lazima ashinde hii vita
 
Kwani German hawakuwa wanapeleka military assistance to Ukraine? Why now they are refusing to supply hizo Leopards 2?

Kwani mwanzoni walivyokuwa wanapeleka zana za vita huko Ukraine walikuwa wamesahau madhara ya vita lakini now wanapotakiwa kupeleka hizo Leopards 2 ndio wamekumbuka madhara ya vita?

Hizo ni moja ya latest technology they have wanaogopa Warussi wanapita nazo.
 
Napitia huu mjadala warusi wakiachwa wenyewe kwa muda mrefu wanajisikia kuwa hawapo vitani hivyo kupotea kwa waukraine kabla ya vita kamili kuisha kunasababisha maswali ya wako wapi wako wapi yawe mengi. kp kipanya44 na wengine Proved msipotee, warusi wanawahitaji ili wajisikie wapo field. 🙂🙂
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787] ulijuaje mkuu maana jama naona kama wanasusia vita hivi

Sent from my Infinix X657 using JamiiForums mobile app
 
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]USA NI MAPUMBAVUU KWELI UNAPELEKA MKIFARU KAMA NYUMBA KWENYE VITA VYA HIGH TECH...Mrusi anavyo vifaru vipo kama ist vidogo tena avitumii binadamu bado ajavitumia
Kuna mpango wa kumu-assasinate Putin, wakimaliza wanapindua serikali ya Urusi hapo ndio vita inaisha, na huto tu-ist tunabaki maonyesho
 
Naomba tuendelee na mada nyingine maana Mambo ya kushindana Kika siku hapa Mara USA ana vifaru vya kisasa Mara ujerumani sijui NATO Mara ndege kutoka Czech Mara kifurushi kipya hayo onesheni watu wenu kwenye gwaride ila Kama mnataka vipelekwe makumbusho Moscow peleni Ukraine mnaogopa nn? Kifaa umekitengeza mwenyewe unasingizia ni garama kukirekebisha hakina spare? Mara ni vigumu wa Ukraine kuviendesha Ina maana hao hata mm niwazidi akili? Kwanza wale sio wazungu si nyinyi NATO mnasema waafrika ndio hamnazo Sasa imekuaje Tena wenyewe hazipo?
[emoji635][emoji635][emoji635][emoji635][emoji635][emoji635][emoji635][emoji635][emoji635] my big brother putin.
Wanamlia timing Putin, wanataka kumpindua kama Ghadaf, ndio maana kaweka mitambo vita ikulu moscow na nyumbani kwake na wizara ya ulinzi imeseti mitambo kote kuzuia mabom ya NATO
 
⚡️ Russian Defence Ministry report on the progress of the special military operation in Ukraine (22 January 2023)

The Armed Forces of the Russian Federation continue the special military operation.

💥 In Kupyansk direction, Ground-Assault and Army Aviation, as well as the artillery of the Western Military District have neutralised the concentrations of manpower of the units from 14th and 92nd mechanised brigades of the Armed Forces of Ukraine (AFU) near Dvurechnaya, Gryanikovka (Kharkov region), Novosyolovskoye, and northern outskirts of Stelmakhovka (Lugansk People's Republic).

◽️ Over 50 Ukrainian personnel, 1 motor vehicle, and 1 pickup have been eliminated.

💥 In Krasny Liman direction, the strikes launched by Operational-Tactical and Army Aviation, as well as the artillery of the Central Military District and Airborne Troops have resulted in the neutralisation of the units from 92nd Mechanised Brigade of the AFU near Stelmakhovka, 95th, 80th airborne assault brigades of the AFU, and 125th Territorial Defence Brigade near Chervonaya Dibrova (Lugansk People's Republic), Serebryanskoye forestry, and Yampolovka (Donetsk People's Republic).

◽️ Over 80 Ukrainian personnel, 1 infantry fighting vehicle, 5 armoured fighting vehicles, and 1 pickup have been eliminated.

◽️ 2 U.S.-manufactured counterbattery warfare radars (AN/TPQ and AN/TPQ-37) have been destroyed near Vishnyovoye (Donetsk People's Republic), and Nevskoye (Lugansk People's Republic).

💥 In Donetsk direction, units of the Southern Military District, and volunteers from assault detachments continued their successful offensive operation, and neutralised the AFU units near Razdolovka, Blagodatnoye, Krasnopolye, and Severnoye (Donetsk People's Republic).

◽️ 1 AFU ordnance depot has been destroyed near Antonovka (Donetsk People's Republic).

◽️ Over 80 Ukrainian personnel, 3 armoured fighting vehicles, 2 motor vehicles, and 1 D-30 howitzer have been eliminated.

💥 In Zaporozhye direction, offensive operations conducted by the units of the Eastern Military District have resulted in taking more advantageous lines and positions.

◽️ Up to 85 Ukrainian personnel, 1 infantry fighting vehicle, 2 armoured fighting vehicles, 1 pickup, 2 D-20 howitzers have been eliminated near Stepnogorsk (Zaporozhye region), and Prechistovka (Donetsk People's Republic), as well as 1 D-30 howitzer near Preobrazhenka (Zaporozhye region).

◽️ 1 AFU ordnance depot has been destroyed near Malinovka (Zaporozhye region).

💥 In Kherson direction, 1 U.S.-manufactured AN/TPQ-36 counterbattery warfare radar has been destroyed near Sadovoye (Kherson region).

💥 Operational-Tactical Aviation, Missile Troops and Artillery of the Armed Forces of the Russian Federation have neutralised the command post of 128th Mountain Assault Brigade of the AFU near Lezhino (Zaporozhye region), as well as 74 AFU artillery units at their firing positions, manpower and hardware in 119 areas.

💥 Russian air defence facilities have shot down 1 Su-25 airplane of Ukrainian Air Force near Antonovka (Donetsk People's Republic).

◽️ 9 Ukrainian unmanned aerial vehicles have been destroyed near Zmiyevka, Vladimirovka, Krasnorechenskoye, Yagodnoye (Lugansk People's Republic), Urozhaynoye, Novomayorskoye (Donetsk People's Republic), Priyutnoye (Zaporozhye region), and Ochakovskoye (Kherson region).

◽️ 2 rocket-propelled projectiles launched by U.S.-manufactured HIMARS multiple-launch rocket systems have been shot down near Rabotino and Molochansk (Zaporozhye region).

◽️ 1 U.S.-manufactured HARM anti-radiation missile has been intercepted near Stepnogorsk (Zaporozhye region).

📊 In total, 376 airplanes and 203 helicopters, 2,931 unmanned aerial vehicles, 401 air defence missile systems, 7,601 tanks and other armoured fighting vehicles, 985 fighting vehicles equipped with MLRS, 3,887 field artillery cannons and mortars, as well as 8,144 special military motor vehicles have been since the beginning of the special military operation.

#MoD #Russia #Ukraine #report
@mod_russia_en
 
Wana kifua cha kuanzisha WW3?? Maana kuna mchambuzi alikuwa anasema kuna possibility ya mataifa mengi ya Ulaya/ NATO kugeukana tumeona hata sahv wanavotofautiana.
Wana tabia ya kumpiga mmoja wakimaliza wanamfuata mwingine..kama hapo wanampambania Putin Na Lukashenko wake pale,wakimaliza wanahamia kwa Jing Ping wakimaliza Wanahamia kwa Ebrahm rais, wakimaliza wanamfuata Kim jong, wanamrudi mtu wao wa ndan kabisaa Erdogan, hao ni lazima serikali zao zianguke ili biashara za kiuuwaji na kinyonyaji kama wanaofukuzwa huko nchini Mali ziendelee...
 
Hivi UN atafanya nn?
MILITARY OPERATION IN UKRAINE.

US presents information about DPRK’s alleged arms export to the UN — White House

Earlier, John Kirby presented some satellite photos that allegedly prove, according to the US, the fact of arms shipment from North Korea to the Wagner PMC

WASINGTON, January 20. /TASS/. The US handed over information allegedly proving arms shipments from North Korea to Russia, US National Security Council Coordinator for Strategic Communications John Kirby announced at a briefing on Friday.

"As we have stated previously, the arms transfers from the DPRK are in direct violation of United Nations Security Council resolutions. So today, we shared information on these violations with the Security Council's DPRK Sanctions Committee panel of experts. We will continue to raise these violations at the Security Council alongside our allies and partners," Kirby said.

Earlier, Kirby presented some satellite photos that allegedly prove, according to the US, the fact of arms shipment from North Korea to the Wagner PMC.

In December 2022, Kirby claimed that DPRK shipped weapons to the Wagner PMC and plans new shipments. Meanwhile, UN Secretary General spokesman Stephane Dujarric said that the UN does not have information about the alleged arms shipments from DPRK to the PMC.
 
Back
Top Bottom