Special Thread: Yanayojiri Mgogoro wa Ukraine na Urusi. Nini chanzo na hatma ya mzozo?

Special Thread: Yanayojiri Mgogoro wa Ukraine na Urusi. Nini chanzo na hatma ya mzozo?

Ila hapa Sweden [emoji1236] wameingia chakike aisee, Kuchoma Quran ndo kumezidi kuchochea nchi nyingi asa za kiarabu kuiona NATO ni anti-islamic organization, na sijui Kama Turkey [emoji1250] wataidhisha membership ya Sweden kujiunga na NATO.
Turkey tayari wamesema kuwa hawata shirikiana nae na wala hawataunga juhudi za yeye kujoin NATO.
 
Peace Talks Were Used As Ruse To Buy Time, Ukraine’s Intelligence Head Admits The Chief of Ukraine's main intelligence directorate, Kirill Budanov, has admitted that in February 2022 Kiev pretended to seek peace with Moscow, using ceasefire talks as a ruse to buy time to re-group its troops and wait for Western military aid. The revelations were made as he explained how one of Kiev's negotiators, Denis Kireev, was executed by Ukraine's Security Service in March on suspicion of colluding with Russia.
 
Vikosi vya Urusi vimeingia kwenye kijiji cha Pervomaiske .

ila mapigano bado yanaendelea ya kuwafukua kabisa wanajeshi wa Ukraine katika kijiji icho.

[emoji635][emoji635][emoji635][emoji635][emoji635][emoji635][emoji635][emoji635][emoji635][emoji635][emoji635][emoji635][emoji635][emoji635][emoji635][emoji635][emoji635][emoji635][emoji635][emoji635][emoji635][emoji635][emoji635][emoji635][emoji635][emoji635][emoji635][emoji635][emoji635][emoji635][emoji635][emoji635][emoji635][emoji635][emoji635][emoji635][emoji635][emoji635][emoji635][emoji635][emoji635][emoji635][emoji635][emoji635][emoji635]View attachment 2494210
Propaganda as usual [emoji28] tatizo Huwa mnatoa report Kwa wingi tu, lakini uhalisia kwenye uwanja wa vita unawaumbua,

Sent from my Infinix X660B using JamiiForums mobile app
 
Onyesha sehemu tulipoumbuka.nilitoa taarifa ya Soledar kuanguka.vipi bado haijanguka[emoji23][emoji23][emoji23].
Hiyo soledar labda unaongelea soledar ya Kwa mpalange..,mmejaribu kupiga propaganda zenu kwenye media lakini kihualisia soledar inabaki kuwa mikononi mwa vijana wakakamavu wa rais zelensiky [emoji16][emoji16]

Sent from my Infinix X660B using JamiiForums mobile app
 
Propaganda as usual [emoji28] tatizo Huwa mnatoa report Kwa wingi tu, lakini uhalisia kwenye uwanja wa vita unawaumbua,

Sent from my Infinix X660B using JamiiForums mobile app
Wewe ndo unaongea maneno matupu basipo hata ushahidi.unasema Soledar ipo kwenye mikono ya vikosi vya Ukraine.ila ukiambiwa ushahidi unatoka nduki.[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
 
Kwa hiyo ushaidi unaouongelea hapa ni kuleta hizo ramani za mchongo kwa wingi.,sio??

Sent from my Infinix X660B using JamiiForums mobile app
 
Hiyo soledar labda unaongelea soledar ya Kwa mpalange..,mmejaribu kupiga propaganda zenu kwenye media lakini kihualisia soledar inabaki kuwa mikononi mwa vijana wakakamavu wa rais zelensiky [emoji16][emoji16]

Sent from my Infinix X660B using JamiiForums mobile app
Usiongee ovyo weka ushahidi wakuonyesha bado ipo kwenye mikono yenu.kama hauna basi sioni tofauti kati yako na Ashura wa Buza[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
 
Back
Top Bottom