Special Thread: Yanayojiri Mgogoro wa Ukraine na Urusi. Nini chanzo na hatma ya mzozo?

Special Thread: Yanayojiri Mgogoro wa Ukraine na Urusi. Nini chanzo na hatma ya mzozo?

Sasa Himars imepiga AD ngapi huko Ukraine?Unajua kwanini Israel hata Urusi ampe Iran S300 achilia mbali S400?
Vipi hizo AD zote za west bazo Ukraine wamekiri kuwa hazina uwezo wa kutungua makombora ya Russia?
Mmeshaambiwa duniania hakuna [emoji817]% AD lakini Russia has got the best!
Makombora mangapi ya himars yamekuwa intercepted na AD za Russia?Huu mjadala wa AD hatutafika popote,muda ni utajibu!

Vipi hizo AD zote za west bazo Ukraine wamekiri kuwa hazina uwezo wa kutungua makombora ya Russia?
Video ikionyesha IRIS-T ikitungua Kalibr cruise missile ya Russia

Spectacular footage: Two Russian Kalibr cruise missiles shot down within seconds over Kyiv Oblast on Nov. 15. First is audible explosion and glow on horizon, second a clear view of interception by German Iris-T air defense system.



Video 2:




Video 3:

 
Suggestions coming out of Turkey that they may leave NATO in around 6 months time.
NATO ndio inayompa huyo uturuki umaharufu kwa kura yake ya tulufu anayoitumia kutishia kuzuia nchi nyingine zisijiunge NATO.., hivyo utasubiri sana kuona uturuki ikijitoa katika umoja wa NATO maana hiyo ndio inamuweka mjini [emoji28]

Sent from my Infinix X660B using JamiiForums mobile app
 
Ndio maana nasema unaanzisha mjadala halafu Mwishowe hutaki kujadili facts badala yake unaweka mipasho na maneno ya kanga!
Ukitaka twende hivyo mbona tunaenda tu!Sasa hivi Russia,sio Soviet tena anapambana Ukraine inayosaidiwa na mataifa zaidi 30 akiwemo huyo US!
Tena anakutana na vita vya kiuchumi lakini Mwanaume hajatetereka na anakwambia victory is inevitable!
Hakuna taifa lilishakutana na vita ambayo anapambana Russia tokea dunia ianze!
Huyo ndio kidume Russia!

"Hakuna taifa lilishakutana na vita ambayo anapambana Russia tokea dunia ianze!"

Kupata vichekesho kama hivi bonyeza nyota.

Yani Russia anapigana na Ukraine Peke yake lakini mpaka Leo anahenya maana Marekani na NATO hawana majeshi huko, utafananisha na Ujerumani ambayo ilichangiwa na mataifa yenye nguvu yakiwa na majeshi Yao?!

Hii Russia ilikua ikiogopwa kabla lakini baada ya vita hii imeonyesha ni Simba wa karatasi.

"Victory is inevitable!" - halafu akakimbia Kherson ambayo alipiga Kura na kusema ni sehemu halali ya Urusi[emoji23][emoji23][emoji23]
 
Leta evidence ya kombora za Himars kutunguliwa na AD za Russia.

"Russia has got the best!" - halafu Kati ya Makombora 6 wanafanikiwa kutunguliwa mawili?! [emoji23]


Mnachoshindwa kuelewa au mmeamua tu kukaza fuvu ni kwamba AD ambazo Ukraine imepewa mpaka sasa ni short-medium range AD ambazo mara nyingi ni dhidi ya Cruise missiles,drones, aircraft,nk. Kwasasa Ukraine haina AD ya kuweza kutungua heavy missiles kama Kh-22 na Ballistic Missiles ndio maana ikaomba ipewe Patriot na SAMP-T.

Kama AD za west hazifanyi kazi kwanini warusi hawaingizi bombers zao ndani ya Ukraine wakafanye carpet bombing kama walivyofanya kule Syria?!
Endelea kujizima data,eti unataka ushahidi wa interceptions dhidi ya himars,sana sana nitakuletea taarifa ya Russia inayosema hivyo!Halafu unaomba ushahidi wakati Huo Huo unasema AD za Russia ziliintercept mawili kati ya sita,what a contradiction u bring upon urself😀!
Tunasubiri hizo AD ambazo mnasema hazifika!Ila msichelewe sana maana mnaweza peleka wakati Ukraine inafanana na mwezini!
 
[emoji298]️ In Ukraine, the project of the Bayraktar drone production plant has been completed, the Ambassador of Ukraine to Turkey, Vasyl Bodnar, said.

"As of today, the entire legal framework has been formed.

We expect that the plant will be operational within the next two years and will start producing products with Ukrainian components,"- Bodnar said.
 
Vipi hizo AD zote za west bazo Ukraine wamekiri kuwa hazina uwezo wa kutungua makombora ya Russia?
Video ikionyesha IRIS-T ikitungua Kalibr cruise missile ya Russia

Spectacular footage: Two Russian Kalibr cruise missiles shot down within seconds over Kyiv Oblast on Nov. 15. First is audible explosion and glow on horizon, second a clear view of interception by German Iris-T air defense system.



Video 2:




Video 3:


Naona unahangaika,hayo maswali kawaulize jeshi la Ukraine waliosema bomu lilioangusha ghorofa hawana AD za kulitungua!
 
Endelea kujizima data,eti unataka ushahidi wa interceptions dhidi ya himars,sana sana nitakuletea taarifa ya Russia inayosema hivyo!Halafu unaomba ushahidi wakati Huo Huo unasema AD za Russia ziliintercept mawili kati ya sita,what a contradiction u bring upon urself[emoji3]!
Tunasubiri hizo AD ambazo mnasema hazifika!Ila msichelewe sana maana mnaweza peleka wakati Ukraine inafanana na mwezini!

Kama hamkuweza kuifanya mwezini February 24 ndo muweze Leo?!

"Halafu unaomba ushahidi wakati Huo Huo unasema AD za Russia ziliintercept mawili kati ya sita,what a contradiction u bring upon urself[emoji3]!"

Kwahiyo AD bora ndo zina ufanisi wa 30% [emoji23][emoji23][emoji23]
20230125_173554.jpg
20230125_173557.jpg
 
[emoji298]️The Minister of Defense of Spain, Margarita Robles, confirmed the intention to send Leopard 2 tanks to Ukraine, – Reuters reports.

Margarita Robles told the EFE news agency that Madrid would act in coordination with its Western allies to help Ukraine defend against the russian invasion.

20230125_173710.jpg
 
"Hakuna taifa lilishakutana na vita ambayo anapambana Russia tokea dunia ianze!"

Kupata vichekesho kama hivi bonyeza nyota.

Yani Russia anapigana na Ukraine Peke yake lakini mpaka Leo anahenya maana Marekani na NATO hawana majeshi huko, utafananisha na Ujerumani ambayo ilichangiwa na mataifa yenye nguvu yakiwa na majeshi Yao?!

Hii Russia ilikua ikiogopwa kabla lakini baada ya vita hii imeonyesha ni Simba wa karatasi.

"Victory is inevitable!" - halafu akakimbia Kherson ambayo alipiga Kura na kusema ni sehemu halali ya Urusi[emoji23][emoji23][emoji23]
Aisee,wewe kweli umeamua kujizima data!
Unajua Allies wa German WW2 wewe na maeneo waliyojigawa kushambulia?Sema utakuwa tu unamsikia Hitler na Germany yake tu!Germany hakuwa peke yake,alikuwa na Allies kama Italy na Japan!
Sikukosea niliposema hakuna vita kama anayopambana Russia iliwahi kutokea!
Bora ukaedit comment yako maana aibu utakuwa umeipata barabara!
 
Kama hamkuweza kuifanya mwezini February 24 ndo muweze Leo?!

"Halafu unaomba ushahidi wakati Huo Huo unasema AD za Russia ziliintercept mawili kati ya sita,what a contradiction u bring upon urself[emoji3]!"

Kwahiyo AD bora ndo zina ufanisi wa 30% [emoji23][emoji23][emoji23] View attachment 2495395View attachment 2495396
Nilikuwa nakuchallange wewe ambaye unasema AD za Russia haziwezi kuintercept himars wakati Huo Huo unasema ziliintercept mawili kati ya sita!
Hapo nani kituko Sasa😀
 
Napata wasiwasi hii kitu inaweza kwenda kwenye WWIII kwasababu hakuna anaekubali kushindwa na kwa sasa inaonekana kama matokeo yoyote ya hii vita iwe ni collective West/ Ukraine kushindwa ama Urusi kushindwa yote kama yatasababisha vita ya tatu.

Sent from my SM-A135F using JamiiForums mobile app

Hakuna WWIII itakayo tokea, kama WWIII haukutokea SYRIA [emoji1238] kipindi Majeshi ya NATO yalikutana uso kwa uso na Majeshi ya URUSI basi haiwezi tokea kwenye hii ya Ukrain.

USA [emoji631] anahofia, Article 6 ikiwa activated kuna mataifa yatagoma kuingia jeshini kwa maana Ukrain sio mwanachama, hivyo ni hatari ukianzisha vita na Urusi wakati kuna vipengele vya sheria vinakiukwa utabaki mwenyewe.

Ndo maana Hungary [emoji1126] kagoma hata kuruhusu mafunzo ya wanajeshi wa Ukrain pamoja na kuzuia kupitisha silaha kuingia Ukrain maana anajua yuko sahihi kwa katiba ya NATO. Ndo maana USA [emoji631] anajaribu kusakizia EU ili kma escalation ikitokea basi iwe ni URUSI na EU kwani ikiwa ni URUSI na USA [emoji631] basi ataachwa peke yake apigane maana katiba ya NATO inasema Mwanachama wa NATO akichokozwa ndo wengine watakuja kukusaidia ila kama ww ndo umechokoza basi ngoma ni ya kwako.
 
Nilikuwa nakuchallange wewe ambaye unasema AD za Russia haziwezi kuintercept himars wakati Huo Huo unasema ziliintercept mawili kati ya sita!
Hapo nani kituko Sasa[emoji3]
Kituko wewe ambae unasema Russia ana AD Bora wakati huohuo zinadaka vikombora viwili Kati ya 6
 
Back
Top Bottom