Special Thread: Yanayojiri Mgogoro wa Ukraine na Urusi. Nini chanzo na hatma ya mzozo?

Special Thread: Yanayojiri Mgogoro wa Ukraine na Urusi. Nini chanzo na hatma ya mzozo?

Hapa China,Iran, Russia 🇷🇺, Syria, Belarus, South Africa, Venezuela zitakuwa za Kwanza.

🚨🇷🇺 Dmitry Medvedev: "If the conflict is prolonged, a new military coalition will emerge from the countries that are tired of the Americans." https://t.co/TpKHRHEURP



20230125_113036.jpg
 
ACHA UPOPOMA WEWE

Russia has massed up to 190,000 personnel in and near Ukraine, U.S. says

VIENNA, Feb 18 (Reuters) - Russia's build-up of military personnel threatening Ukraine probably totals up to 190,000, the U.S. ambassador to the Organization for Security and Cooperation in Europe said in a statement to an OSCE meeting on the Ukraine crisis on Friday.

"We assess that Russia probably has massed between 169,000-190,000 personnel in and near Ukraine as compared with about 100,000 on January 30," Michael Carpenter told the meeting, which Russia did not attend.
Russia has massed up to 190,000 personnel in and near Ukraine, U.S. says
Sio UPOPOMA NYIE ndo upopoma , rudi nyuma mshirika wa USA Israel katoa data zake za vita vya Ukraine.
Iyo juu ni USA say. Sasa si walewale.
😅😅😅😅😅😅🤣🤣🤣
 
Russia anapigana katika vikundi vidogodogo sana ndio maana Himars hazina Kazi. Russia anapigana katika eneo pana yaani extended fronts hii inafanya Ukraine kushindwa kuchagua wapi wawekee mkazo unakuta eneo lote unahitaji watu na Russia kaweka reserve wengine Belarus na mpakani mwa Russia na Ukraine hapa napo Ukraine lazma.atenge ASKARI wa ku monitor

Ukraine ana ASKARI wengi field lakini Ukraine yupo KWAKE na alipaswa kuwa hata na mara kumi ya wote waliopo maana KWA UKRAINE KILA ASKARI yupo vitani front. Wingi wa silaha na uhakika wa kupata silaha vinambeba Russia Ukraine hata akipewa hana uhakika lini atapewa tena
Russia silaha ndio biashara yao kubwa kwahio Ukraine yeye ategemee mambo mazuri tu hadi pale atakapoomba poo🤣🤣🤣
 
Katika vitu Wamarekani wamejitahidi kuficha na wamefanikiwa Ni 1.anguko la advanced tank Abrams kutoka kwa silaha za adui Kama Kornet ama Metis ama Konkurs ATGM huko Iraq na kwingine duniani.
Wao hukipamba kifaru hiki kwa ubora kivita Kwamba hakijawahi ku be killed hata na ATGM. Na kwa hakika wamefanikiwa. Hata waliposhindwa kabisa vitani wanakwambia tumefanya shambulio la ndege kuharibu kifaru ili teknolojia isihame.
2. F 15 na f 16 air superiority fighter jet,
Kwa mujibu wa Marekani Hakuna hata ndege moja Kati ya hizo Ime be killed kwa air to air missile kutoka ndege hasimu. But taarifa za mahasimu kivita zimekuwa zikionesha anguko la ndege hizi kule Iraq na hata Bosnia.

Mpaka sasa hakuna F-15 ambayo imetunguliwa na ndege nyingine kwenye shambulio la angani. Kama Una ushahidi ulete.
 
Soma vizuri nilicho andika, nimesema waliweza kuharibu/lipua Ukrainian military critical assets including fighters and bomber na popular AN-225 transport plane - hangar yake ilichakazwa vibaya sana, vile vile na sehemu kubwa ya mbele ya AN-225 kulipuliwa, tuliona na SU-25/MiG-29 za Ukraine aiforce na choppers zimelipuliwa - cha ajabu hakuona miili ya wanajeshi hao wa miamvuli wa Urusi wametapakaa uwanja nzima wa ndege au mwavuli yao - swali ni je,walipotelea wapi - si jeshi la Ukraine lilisema lilikuwa linawatungua kwa machine gani wakati wanatua uwanjani kwa kutumia miamvuli baada ya kuruka kutoka kwenye Russian military transport planes AN-125s - hakuna hata AN-125 iliwahi kutunguliwa siku hiyo.

Huo msafara sijui wa 64Km wa magari ya kijeshi tuliona vizuri kilicho kuwa kinaendelea drones zilizo nunuliwa kutoka Uturuki zili husika kulipua gari moja au kifaru kimoja kimoja siyo msafara mzima, ambush za kutumia javelin nazo zilikuwa isolated sana after all kila javelin unapiga kifaru/gari moja siyo kwamba zina uwezo wa kuharibu zaidi ya kifaru/gari moja at a go - bottom line ni kwamba msafara karibu wote ulipitia Kiev na kuelekea Belarus basi, jeshi la Putin alikuwa na mpango wa kuitwa mji wa Kiev wala nini sijui? Kupeleka msafara mrefu Majenerali wa Putin walikuwa wanawazuga Majenerali wa Ukraine wafikirie kwamba Putin analeta majeshi yake kuuteka mji wa Ukraine, jeshi la la Zelensky akaigiwa na wasi wasi na kuhamuru idadi kubwa ya jeshi la Ukraine kuhamishwa kutoka kusini mashariki kuja Kiev kuongeza ulizi kumbe hizo zilikuwa ni mbinu za kupunguza nguvu za jeshi la Zelensky huko kusini mashariki kwenye majimbo ambayo yako karibu na Crimea - you ndio ulikuwa ni mpango mzima wa Zelensky na West kuvamia kusini mashariki kwa nguvu zote ili ikiwezekana kuikomoa Crimea lakiniPutin kawazidi kete kwa kuwavamia kwanza pre emptive strike.

Angalia unavyojichanganya mwenyewe,mwanzo ulisema msafara wenu haukulipuliwa sasa hivi unakubali kwamba ulipigwa ambush kwa kutumia drone na ATGM.

Mbinu waliyokua wakitumia Ukraine walikua wanapiga kifaru cha mwanzo na cha Mwisho nyie wa katikati mtajua mtaelekea wapi matokeo yake warusi wakaanza kupagawa na wengine kuachia vifaru ambavyo vingi vilitekwa na Ukraine. Pale Kiev kuna mavifaru yenu kibao ambayo yamelipuliwa yapo mpaka Leo yanaozeana.

Kwani juzi warusi walivyosema wameua wanajeshi 600 WA Ukraine uliona kuna mwili hata mmoja wa kuongopea umma?!
 
Huawei Says Unaffected by US Sanctions

Huawei chairman Eric Xu claimed on Friday the Chinese Big Tech giant had actually increased revenues this year after reporting its 2022 revenues had remained flat despite US sanctions clamping down.

"U.S. restrictions are now our new normal, and we're back to business as usual," Xu wrote in the company’s annual New Year letter, citing a forecasted revenue of $91.53 billion.

Sales have dropped 30% year-on-year though, partly down to the restrictions on access to semiconductor chips.

Subscribe to RT
IMG_20230125_124624_459.jpg
 
Chinese Jet Flies ‘Dangerously’ Close to US Recon Plane

US Indo-Pacific Command claimed Thursday that a Chinese People’s Liberation Army fighter jet had flown so close to a US reconnaissance plane over the South China Sea last week that the American pilot had to take evasive action.

Footage released shows the PLA plane drifting slowly towards the US plane as close as six meters, according to US officials.

Beijing has not yet responded about the incident.

Subscribe to RT
 
Back
Top Bottom