Msulibasi
JF-Expert Member
- Dec 2, 2014
- 5,957
- 8,005
Kifaru kinataka lami na sakafuDuh.... Inatisha.... Mtu kala za uso....
Kifaru kinataka lami na sakafuDuh.... Inatisha.... Mtu kala za uso....
Maelekezo tuliyopata kutoka kwa kamanda wetu Putin anasema Ni sawa na mtu aliyepigana na bunduki akashindwa kulenga anatafuta jiwe silaha anamwachia adui yake yaaani watakimbia na kuacha vifaru vyote na tukiviteka tutavitumia ipasavyo[emoji635][emoji635][emoji635][emoji635][emoji635][emoji635][emoji635][emoji635][emoji635]Sio Abrams na Leopard tu bali hii package ya mwisho ndo package kubwa kuwahi tokea, mpaka member states wamelalamika, kama haijaleta mabadiliko basi USA atabaki peke yake na Ukrain.
Labda Putin amesha jua vita itachukua muda mrefu ndio mana anapeleka mamluki kwanza ilikulinda uhai wa wanajeshi wake anao waamini.Mkuu, husikii watanzania wenzetu wakichinjwa huko Ukraine wakimpigania huyo super pawer?? Urusi kaelemewa mpaka anatafuta msaada wa waafrika.., nawashangaa warusi wa buza wanaishia kupigana Nyuma ya keyboard badala ya kuongeza nguvu front
Muhurumieni kwanza huyo super pawer wa kuchonga [emoji16]
[emoji28]
Sent from my Infinix X660B using JamiiForums mobile app
Mlitupigia kelele humu kuhusu HIMARS, mpaka Sasa hivi hatujui ziko wapi!Kumekucha !! - Kifaru cha Leopards 2 - Germany Made na cha Abrams - US made ndani ya Ukraine...!!
Germany, US agree to send battle tanks to Ukraine: Reports
Berlin will send Leopard 2 tanks to Ukraine and Washington will provide Abrams tanks, according to German and US media.
![]()
Uko paleee,tukuitaje,mbwa,au 🤣🤣Tulia kijana, mziki unaanza rasmi - Putin ana choice moja tu - aachane na vita arudi mezani bila masharti yoyote.
Akiweza kuchoma kifaru cha Leopard 2 na kile cha Abrams cha US made - nipo paleee....
Kamanda wa nchi kavu -- all whether !!Uko paleee,tukuitaje,mbwa,au 🤣🤣
Ehe howitzer, HIMARS 🤣🤣MANPAD? ziko wapi?Mzee nafikiri hujui kitu kuhusu Leopard 2 na Abrams - peruzi uone mziki wake - Tech ya west achana nayo
ndugu.
Leopard 2Engine 1,500 hp (1,119 kw) MTU MB 873 Ka-501 diesel Range 342 miles (550 km) Fuel Capacity 317 gal (1,200 l) Road Speed 45 mph (72 km/h) Cross Country Speed 25 mph (40 km/h) Swim Speed N/A Fording Depth 3.3 ft (1.0 m) unprepared. 7.4 ft (2.25 m) prepared. 9.8 ft (4.0 m) with snorkel Grade 60% Trench Crossing 9.84 ft (3 m) Vertical Wall Climb 3.61 ft (1.1 m)
Itakuwa ndio basi tena sio kwa Ukraine tu bali kwa NATO/US...Russia [emoji635] anakimbiza,ikitokea Abrams na Leopard tanks zikashindwa kumsimamisha Urusi [emoji635],itakuwa ndo basi tena kwa Ukraine.
Watakubali Hilo litokee?Itakuwa ndio basi tena sio kwa Ukraine tu bali kwa NATO/US...
Acha tuu,,,tunatumia guta kwa sasa.Ehe howitzer, HIMARS [emoji1787][emoji1787]MANPAD? ziko wapi?
Mhh na shaka na hili boss. Kill nyingi za helicopter za kirusi ni kutokana na Igla Manpads,Mkuu kuna TAARIFA nimeona kuwa , wanasema missile za kirusi haziangushi ndege zao coz , missile inauwezo wa kutambua ndege hii ni ya russia , missile YENYEWE inajizuia isiharibu ndege.
Mimi najua rwanda wanatumia strela russian made missile.
ACHA UPOPOMA WEWEW
Hapo vipi , we uhoni wamekudanya HIZO taharifa
![]()
Nearly all of Russia's initial invasion forces now in Ukraine, Pentagon says
Nearly all of the 190,000 Russian troops that were amassed on Ukraine's border are now fighting inside the country, a senior Pentagon official said Monday.www.cnbc.com
![]()
U.S. and allies tell citizens to leave Ukraine as Russia could invade 'at any time'
The United States and its allies urged their citizens to leave Ukraine right away to avoid a Russian invasion, including a possible air assault, that Washington said on Friday could occur anytime.www.reuters.com
Fungua HIZO usome wao kipindi vita vinaanza mashoga WALISEMA russia wamemepeka wanajeshi 100,000 mpaka 150,000.
Mwezi wa 9 mwaka jana wakasema russia wamepoteza wanajeshi zaidi ya 100,000.
Sasa hivi WANASEMA russia walipeleka wanajeshi 250,000.
NYIE MASHOGA WAHONGO NYIE ACHA TUU.
NA NDUGU YETU HAPO ANAWAAMINI.
Kama wakurdi wa Syria wakiwa na Soviet made Konkurs na Metis ATGMs waliharibu leopard 2 makumi Iwe Russian Army?Tulia kijana, mziki unaanza rasmi - Putin ana choice moja tu - aachane na vita arudi mezani bila masharti yoyote.
Akiweza kuchoma kifaru cha Leopard 2 na kile cha Abrams cha US made - nipo paleee....
KichekeshoTulia kijana, mziki unaanza rasmi - Putin ana choice moja tu - aachane na vita arudi mezani bila masharti yoyote.
Akiweza kuchoma kifaru cha Leopard 2 na kile cha Abrams cha US made - nipo paleee....
Vijinga sana hivi viukraineKichekesho
Aanze yeye na familia yake, raia uchoko hatutaki sisi🇹🇿🇹🇿🇹🇿🇹🇿🤔🤔🤔WAZIRI wa Fedha @mofURT , Mheshimiwa Dkt. @mwigulunchemba1 (Mb), amesema kuwa Tanzania inaunga mkono mpango ulioanzishwa na Shirika la Fedha la Kimataifa (IMF) la kuingiza masuala ya kijinsia kwenye utekelezaji wa mipango yake ya maendeleo. https://t.co/5NnS5jrCBD
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787] data za wa Israel umeziona lakiniAskari 910 wa urusi wamechinjwa ndani ya saa 24 tu zilizopita.., warusi wa buza endeleeni kuimba ule wimbo wenu pendwa wa " propaganda"" [emoji28]View attachment 2494988
Sent from my Infinix X660B using JamiiForums mobile app