Axel Lloyd
JF-Expert Member
- Sep 10, 2017
- 4,170
- 9,502
Russia ndo alikua wa Kwanza kuficha silaha kwenye vinu vya nyuklia,hivyo hakupaswa kulalamika maana yeye ndo muasisi wa hilo. Tena Urusi hakua anaficha tu Bali alikua anarusha maroketi toka kwenye NPPHapa kuna mtego; BBC wameripoti Ukraine wanaficha siraha za thamani like HIMAS, nk kwenye vinu vyao vya Nyukria, je, Russia wanateguaje??