Msaada unatakawa kuleta matokeo chanya kama hakuna mabadiliko nini maana ya msaadaAcha vichekesho, unaamini wanatoa silaha bila kuwafundisha? hakuna ujinga wa hivyo. Afu pia hivi vifaru siyo mwarobani, ila vinaenda kuongoza nguvu tu. Ujerumani wanatoa vifaru hata havifiki 20, ndio unataka vikaishinde Urusi? Hakuna vifaru ambayo haviwezi kuharibiwa, hivyo hata vikiharibika ni kama vifaru vya Urusi vinavyoharibika tu.
Sent from my SM-A6050 using JamiiForums mobile app
Taswira ya Vita inabadilika bro. Kipindi Cha Nyuma,Urusi ilikuwa inarundika wanajeshi zaidi ya 200 kwenye msafara mmoja. Kwahiyo HIMARS Ni Silaha nzuri kupiga kundi kubwa la wanajeshi. Badala yake,Urusi imebadilisha mbinu,Hairundiki Tena wanajeshi wake sehemu moja Kama zamani ndio maana HIMARS haiwezi kuwa SUITABLE kupiga wanajeshi 10 au 20. Pia HIMARS Ni nzuri kupiga maghala ya Silaha. Kwasasa Urusi Hairundiki Silaha nyingi sehemu moja. Pia Urusi imeongeza Usiri (Intelligence) ya kuficha maghala yake makubwa ya Silaha yasijulikane kwa Ukraine.Asante kwa Kumbukizi, saivi ziko wapi hizo ulizozitaja?
🤣🤣🤣🤣🤣 haya mavitisho tu ili na Russia atoe mzigo ghalaniSema vita hizi zinavituko
Eti ukitaka kupigana unamjulisha adui kwanza hili ni panga limetengenezwa marekan halivunjiki hovyo [emoji23][emoji23]
Vitani nenda na silaha yako FUMUA MTU UBONGO [emoji3512]
Mapua marefu wapo wengi kaka!!!!Kuna wazungu,wahindi,waarabu!!!!!Unatafuta ugomvi kaka🤣🤣Acha haya mapua marefu yauwane kama vile wao wanavyotuchonganisha waafrika.
Kila.mmoja apange safu yake ya ushambuliaji na kujilinda sisi mashabiki tunaangalia mtanangeTaswira ya Vita inabadilika bro. Kipindi Cha Nyuma,Urusi ilikuwa inarundika wanajeshi zaidi ya 200 kwenye msafara mmoja. Kwahiyo HIMARS Ni Silaha nzuri kupiga kundi kubwa la wanajeshi. Badala yake,Urusi imebadilisha mbinu,Hairundiki Tena wanajeshi wake sehemu moja Kama zamani ndio maana HIMARS haiwezi kuwa SUITABLE kupiga wanajeshi 10 au 20. Pia HIMARS Ni nzuri kupiga maghala ya Silaha. Kwasasa Urusi Hairundiki Silaha nyingi sehemu moja. Pia Urusi imeongeza Usiri (Intelligence) ya kuficha maghala yake makubwa ya Silaha yasijulikane kwa Ukraine.
Pia,Mbinu mojawapo Urusi inaweka Maghala ya Silaha mbali na Uwanja wa mapambano kwasababu Ukraine imepewa Makombora ya HIMARS yenye kupiga 80km pekee. Kwahiyo Urusi inaweka Maghala ya Silaha angalau 100km kutoka Uwanja wa mapambano. Ndio maana Kila siku Ukraine inaomba ipewe Makombora ya ATACMS yenye kupiga umbali wa 300km. Hapo ndio utasikia Tena Moto wa HIMARS Upya.
Kaka unaongea kama mtaalamu wa kijeshi au unaongea kisiasa!!!!Kamandi gani ya urusi au ukraine imekupa hizi information,s????Au na wewe umeadithiwa kaka through social network,s????Taswira ya Vita inabadilika bro. Kipindi Cha Nyuma,Urusi ilikuwa inarundika wanajeshi zaidi ya 200 kwenye msafara mmoja. Kwahiyo HIMARS Ni Silaha nzuri kupiga kundi kubwa la wanajeshi. Badala yake,Urusi imebadilisha mbinu,Hairundiki Tena wanajeshi wake sehemu moja Kama zamani ndio maana HIMARS haiwezi kuwa SUITABLE kupiga wanajeshi 10 au 20. Pia HIMARS Ni nzuri kupiga maghala ya Silaha. Kwasasa Urusi Hairundiki Silaha nyingi sehemu moja. Pia Urusi imeongeza Usiri (Intelligence) ya kuficha maghala yake makubwa ya Silaha yasijulikane kwa Ukraine.
Pia,Mbinu mojawapo Urusi inaweka Maghala ya Silaha mbali na Uwanja wa mapambano kwasababu Ukraine imepewa Makombora ya HIMARS yenye kupiga 80km pekee. Kwahiyo Urusi inaweka Maghala ya Silaha angalau 100km kutoka Uwanja wa mapambano. Ndio maana Kila siku Ukraine inaomba ipewe Makombora ya ATACMS yenye kupiga umbali wa 300km. Hapo ndio utasikia Tena Moto wa HIMARS Upya.
Hakika.Lakini usimcheke Ukraine anapoomba Silaha. Ukraine haitengenezi Silaha Kama ilivyo kwa Urusi. Kwahiyo Ni halali kwa Ukraine Kuomba Silaha ili iendelee na Vita.Kila.mmoja apange safu yake ya ushambuliaji na kujilinda sisi mashabiki tunaangalia mtanange
Unamaanisha Sina haki ya kuzungumzia hicho nilichokizungumza au Vipi?Kaka unaongea kama mtaalamu wa kijeshi au unaongea kisiasa!!!!Kamandi gani ya urusi au ukraine imekupa hizi information,s????Au na wewe umeadithiwa kaka through social network,s????
Hayo madude yapo grounded yanafanyiwa ukarabati yameonesha udhaifu wa malfunction hata kabla hayajaingia vitani.😂😂😂ukiwa unatoa maoni angalia na CV zake.
mfano mpaka leo F35 si rahisi kwa nchi za kijinga kuangusha na kama unataka kuangusha hiyo ndege pesa unayo vifaa
Kaka super power iran na urusi🤣🤣🤣🤣🤣Hawajui haoHuyo suapapawa halisi hapo kwa gadafi kaenda na NATO nzima, Iraq alipigana miaka nenda rudi akisaidiwa na Fance na German na UK🤣🤣🤣 hapo Afghanistan Taliban wamemfurusha kakimbia kama mwizi au tukuwekee video
Madikteta kwa mikwara au kwa vile wafuasi wao nao ni empty kichwani?!Supa-pawa wa mchongo kalikoroga hivyo ajiandae kulinywa...
Mwanzo alitoa mkwara mzito kwa atakayeisaidia Ukraine, Cha ajabu misaada kila siku inaenda ila hakuna alichowafanya watoaji mpaka sasa.
Wampe hadi wanajeshi kabisa. Maana tushaona waliofia Ukraine wakirudishwa makwao wakiwemo wanandoa wawili askari wa US.Hakika.Lakini usimcheke Ukraine anapoomba Silaha. Ukraine haitengenezi Silaha Kama ilivyo kwa Urusi. Kwahiyo Ni halali kwa Ukraine Kuomba Silaha ili iendelee na Vita.
Mimi nitaumia Sana Kama Ukraine itashindwa Vita sababu ya kukosa Silaha(Hiyo Ni sawa na kuipatia Urusi ushindi wa Mezani). Ukraine ipewe Silaha na Kama Ni kushindwa Vita Basi ishindwe yenyewe.
Hapana una haki kaka ila nimeuliza source of ur information!!!!Umeandika kama mwanajeshi au spy au umeandika kisiasa tu sababu upande unaushabikia kaka???Either urusi au ukraine kaka???Unamaanisha Sina haki ya kuzungumzia hicho nilichokizungumza au Vipi?
Hivyo vifaru hakuna kitu vitafanya...inaonekana ni expensive sana kwa sababu wamevipeleka Ukraine lakini wanasema vitachukua miezi kuingia kwenye battle field. Hizo leopard Germany kapeleka 14, kuna nchi inapeleka 2, Abrams Marekani anapeleka 31, watu wanavingojea wavichakaze ...Himars Toka ziende na mikoa minne imekwenda mikononi mwa Putin[emoji2960]
Hivyo vifaru ndo karata yenu ya mwisho ninavyohisi,haiwezekani mkavishangilia hivyo.
Nimeviona sehemu vinapiga jalamba vinakanyaga mabox,,,eti weka mbali na watoto[emoji1787]
Ni uzembe tu wa kukubali kukaririshwa chuki.Una mtazamo Kama wangu ..me muislam .na cku zote hua nawaambia watu wa huku chuki za imani sio nzuri.unakuta mtu anatukana dini pinzani afu mtaani wanaishi vizur tuh .wote tunaishi kwa jamii moja pamoja bila kujali dini ila ukiwa humu kwenye mitandao unakuta mtu kila cku kuponda dini ya mwenzie
Hivyo vifaru kutwa vinapigiwa kelele kila mtu anaongea lake hebu kasomeni taarifa zake muone performance yake ikiwa kwenye battlefieldPeskov kalewa vodka, Balozi wa Urusi nchini Ujerumani ameijia juu Ujerumani kwa kupeleka vifaru hatari huko Ukraine. Kasema vifaru hivyo si kuwa vitaua tu askari wa Urusi ila na raia pia. Kaongeza kuwa Ujerumani imesaliti maelewano ya siku nyingi na Urusi.
Sent from my SM-A6050 using JamiiForums mobile app
Katika haya maeleezo mareeefu umesahau drones za Uturuki, au.zile.zilikuwa ni.defensive?NAKUKUMBUSHA TU
1.Javerines na NLAW. Hizi Ni Ant-tank Missiles. Hizi zilisaidia kusambaratisha msafara wa 64km wa vifaru vya Urusi vilivyokuwa vinaelekea kuuteka mji mkuu wa Ukraine. Mpaka sasa mji mkuu wa Ukraine Hakuna hata mwanamgambo wa Urusi alisalia.
2.Stinger Missiles. Hizi Ni Ant-Aircraft Missiles. Hizi zilisambaratisha Helicopter zote za Urusi (Gunship) Kama Ka-52 na kusababisha mpaka hii leo Urusi hawezi Kupeleka Helikopta kwenye Anga la Ukraine.
3.NASAMS,IRIS-T. Hizi Ni Medium Range Ant-Aircraft Missiles ambazo mpaka leo zimeangusha zaidi ya Fighter Jets 300 za Urusi. Mpaka leo hi ndege za Urusi hazikanyagi Tena kwenye Anga la Ukraine badala yake zinarusha Makombora kutoka Black Sea.
4.HIMARS.Hii Ni Silaha ya Kwanza ya Mashambulizi aliyopewa Ukraine tangu uvamizi wa Urusi. Silaha hii iliingia Ukraine mwezi wa 7 Mwaka Jana. Tangu Mwezi huo Hakuna Tena mji ambao ulitekwa na Urusi zaidi ya SOLEDAR waliyoteka wiki iliyopita. Kabla ya HIMARS Urusi alikuwa anateka mji mmoja Kila mwezi kuanzia miji ya LYSCHANSK,SEVERODOTNESK.
Pia,HIMARS ilisambaratisha Madaraja,Maghara ya Silaha na Command Post za Urusi katika mji wa KHERSON na kusababisha Urusi kuukimbia mji huo.
NB. Mpaka Sasa,Ukiachilia mbali HIMARS,Hakuna Silaha nyingine ya Mashambulizi(OFFENSIVE WEAPONS) ambayo Ukraine ameshapewa na nchi za Magharibi.Kwa miezi 11 Ukraine imekuwa ikipewa Silaha za Kujilinda ili kuzuia Urusi kusonga mbele. Mpaka Sasa mji mkuu wa jimbo la DOTNESK wa KRAMATOSK umeshindwa kutekwa na Warusi licha ya kuwa na Usongo nao.
Silaha za Mashambulizi (OFFENSIVE WEAPONS) Ni Zifuatazo:
1.Figher Jets (Ndege za Kivita)
2.Tanks (Vifaru)
3.Long Range Missiles (Makombora ya Masafa marefu).
Silaha hizo 3 ndio Silaha za Mashambulizi ambazo zinaliwezesha jeshi kusonga mbele. Lakini mpaka Sasa,Ukiachilia Vifaru na ndege za Kirusi,Hakuna ndege Wala Vifaru vya nchi za Magharibi ambayo vilishatumwa nchini Ukraine. Tunaona nchi za Magharibi zimeanza kuanza kutuma Vifaru aina ya Leopards 2,Challenger na Abrams. Hii Ni Hatua ya Kwanza ya OFFENSIVE WEAPONS ambazo zinaweza kurudisha nyuma majeshi ya adui.
Natabiri kwamba
Vita hivi Ni vya mda mrefu na nchi za Magharibi zinaenda hatua kwa hatua kwenye Vita hii. Mwaka huu 2023 tutashuhudia Ukraine akipewa vifaru vingi kutoka nchi za Magharibi. Mwaka 2024 usishangae ukaona ndege za Magharibi kuanza kutumwa nchini Ukraine. Na mwa 2025 usishangae Ukraine ikaanza Kupewa Makombora ya Masafa Marefu.
TIME WILL TELL.
Mchambuzi kama Ally KamweHapana una haki kaka ila nimeuliza source of ur information!!!!Umeandika kama mwanajeshi au spy au umeandika kisiasa tu sababu upande unaushabikia kaka???Either urusi au ukraine kaka???