Special Thread: Yanayojiri Mgogoro wa Ukraine na Urusi. Nini chanzo na hatma ya mzozo?

Special Thread: Yanayojiri Mgogoro wa Ukraine na Urusi. Nini chanzo na hatma ya mzozo?

Yaani alikimbia kherson mwenyewe Tena akakimbia mwenyewe bila kufukuzwa.

Nimeona uwezo wa hizi tanks kurusha makombora ni mkubwa sn.

Yaani Km 500 Kwa Leopard na Km 1000 Kwa Abrams.....

Russia kz wanayo. Naamini ATACMS sasa ziko njiani pia
Duh! Ni hatari sana, kwa maana hiyo ni kama Ukraine kapewa uwezo zaidi..,akitaka kuyangurumisha mpaka hapo clemlin ni juu yake[emoji56][emoji56]

Sent from my Infinix X660B using JamiiForums mobile app
 
Kwahiyo mjadala unafunga Kwa mtoto wa Putin?[emoji3][emoji3][emoji3],Ujinga mzigo!
Mpaka hapo mnapolinganisha Europe nzima na US dhidi ya Taifa Moja la Urusi basi ujue Urusi ni dude Moja kubwaa!
Badala ya kutuletea mipasho ya pwani Tutajie candidate hata mmoja maalufu kutoka west aliyesomea urusi

Sent from my Infinix X660B using JamiiForums mobile app
 
Waziri mkuu mstaafu wa Japan asema Urusi kushindwa vita ya Ukraine ni kitu ambacho hakiwezekani, aitaka nchi yake kuacha kupoteza rasilimali zake kwa kuisapoti nchi iliyoshindwa (Ukraine)

SmartSelect_20230126-065944_Chrome.jpg
 
Kama Himars ziliwarudisha nyuma Russia vipi hivi vifaru [emoji23] [emoji23] [emoji23]
Wanajipa matumaini tu Hawa pro Russia, mziki wake wanaujua vizuri tu..,Sasa hivi wameanza kuzifia HIMARS kwamba ni silaha Bora kuliko hizo leopard [emoji249][emoji249][emoji249][emoji249][emoji249][emoji23]

Sent from my Infinix X660B using JamiiForums mobile app
 
Vikosi vya Ukraine vikiwa vimetelekeza vifaa vya kijeshi uwanja wa Vita.inaonekana kuna shida sehemu [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]

[emoji635][emoji635][emoji635][emoji635][emoji635][emoji635][emoji635][emoji635][emoji635][emoji635][emoji635][emoji635][emoji635][emoji635][emoji635][emoji635][emoji635][emoji635][emoji635][emoji635][emoji635][emoji635][emoji635][emoji635][emoji635][emoji635][emoji635][emoji635][emoji635][emoji635]

Hapa ni kheson.., warusi waliacha silaha kibao..,hizo za Ukraine ni Cha mtoto [emoji16]
img_tmp_tag1665765898773.jpg
img_tmp_tag1665765903031.jpg

Sent from my Infinix X660B using JamiiForums mobile app
 
Atuja sifia tumesema ukweli ...uwezo wa himars ni mkubwa kuliko hivyo vifaru huo ndiyo ukweli sasa kama himars zimeshindwa unategemea hivyo vifaru kuweza kitu
Nenda kabet tu, huku unapotea.
IFV, Vifaru, himars ni vitu tofauti kabisa
 
Anaombaomba huku akiendelea kuwachinja askari wa super pawer..,Jana tu aliwachinja zaidi ya 900 ,,Bora aendelee kuomba tu kama matunda ya kuomba ndio haya[emoji16]

Sent from my Infinix X660B using JamiiForums mobile app
Hizi story za Vigano na Visasili 🤣🤣🤣, subirieni kuzungukwa tu na mtakula kipigo heavy soon
 
Ndugu vifaru vyote vitakuwa zaidi ya 200, Poland, Uingeleza na nchi nyingine za EU zipo tayari zitapeleka vifaru hasa vya Germany made - Leopard 2.

Balozi wa Urusi amesikika akiilalamikia US kwa kitendo chake cha kupeleka Abraham - anasema hii ni kitendo kibaya sana kwa Washington.

Russia’s ambassador to the US said the possible delivery of Abrams tanks to Kyiv by Washington would be “another blatant provocation” against Moscow.

“It is obvious that Washington is purposefully trying to inflict a strategic defeat on us,” ambassador Anatoly Antonov said in remarks published on the embassy’s Telegram messaging app on Wednesday.

“If the United States decides to supply tanks, then justifying such a step with arguments about ‘defensive weapons’ will definitely not work. This would be another blatant provocation against the Russian Federation,” he said.
Waziri wa Nje wa Ujerumani... Viongozi wao wa NATO waseme "Tunapigana vita na Urusi" ..... Ila waNATO wa uwemba mkatae....
 
Attachments

  • Huyu_ni_Annalena_Baerbock%2C___Waziri_wa_mambo_ya_nje_wa_taifa_la_Ujerumani._Mchana_wa_leo_ame...mp4
    1.5 MB
Hapo nimekusoma.
Ukraine lazima irudi Russia.Tukimalizana na Ukraine tunaenda kunyakua Poland na Sweden.
Wakikataa tunapiga makombora ya nyuklia

Kwanini aende kuharibu resources kuitaka Poland na Sweden kama akiinyakua Ukrain, ukiinyakua Ukrain basi umezitawala kiuchumi na kisiasa karibu nchi zote za Europe. Kwanini?
1. Ukrain ndo ilikuwa ina jeshi kubwa Kwa nchi za Ulaya baada ya Urusi.

2. Ukrain ndo nchi iliyokuwa inategemewa kwa kusafirisha natural resources kwenda Ulaya baada ya Urusi.

3. Ukrain ndo best gateway to Poland [emoji1200], Hungary na nchi nyingi za Europe asa kwa natural gas kutoka Urusi. Sababu ya proximity.

4. Ukrain ndo ilikuwa kitovu cha centers nyingi kwenye fumbuzi nyingi za science na teknolojia ukiacha Germany [emoji629] na Urusi.

5. Ukrain ndo ilikuwa nchi kubwa (geographically) baada ya Urusi kwa Ulaya.

6. Ukrain ndo nchi pekee ambao uchumi wake ulikuwa unaelekea kuipa ushindani Germany [emoji629] kwa viwanda na resources.

7. Ukrain ndo nchi iliyokuwa inaongoza kwa mazao muhimu Ulaya ukiacha Urusi.

Ndo maana wanasiasa wa Ulaya wanasema Ukrain ikianguka basi EU imeanguka, maana Urusi atakuwa amezikamata vilivyo nchi za ulaya sio tu kiuchumi bali kisiasa, maana Urusi atakuwa anawapulia akina Poland [emoji1200] kupitia Ukrain. Urusi akiitawala Ukrain basi kaitawala 60% ya uchumi wa Ulaya.

It’s too risky kwa EU kuruhusu hichi kutokea ila ndo hawana jinsi. Wali underestimate Russia kuivamia Ukrain, now they are about to face their demise.
 
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787] yani unatuletea habari za Kherson.kweli huna jipya kwa sasa , subiri kujifungua mimba ya Warusi[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Wewe subir ujifungue hiyo mimba yangu [emoji28].., unatuletea habari za wanajeshi kukimbia na kuacha silaha as if ni kitu kigeni masikioni mwetu.., kenge wewe[emoji16][emoji23]

Sent from my Infinix X660B using JamiiForums mobile app
 
Kwanini aende kuharibu resources kuitaka Poland na Sweden kama akiinyakua Ukrain, ukiinyakua Ukrain basi umezitawala kiuchumi na kisiasa karibu nchi zote za Europe. Kwanini?
1. Ukrain ndo ilikuwa ina jeshi kubwa Kwa nchi za Ulaya baada ya Urusi.

2. Ukrain ndo nchi iliyokuwa inategemewa kwa kusafirisha natural resources kwenda Ulaya baada ya Urusi.

3. Ukrain ndo best gateway to Poland [emoji1200], Hungary na nchi nyingi za Europe asa kwa natural gas kutoka Urusi. Sababu ya proximity.

4. Ukrain ndo ilikuwa kitovu cha centers nyingi kwenye fumbuzi nyingi za science na teknolojia ukiacha Germany [emoji629] na Urusi.

5. Ukrain ndo ilikuwa nchi kubwa (geographically) baada ya Urusi kwa Ulaya.

6. Ukrain ndo nchi pekee ambao uchumi wake ulikuwa unaelekea kuipa ushindani Germany [emoji629] kwa viwanda na resources.

7. Ukrain ndo nchi iliyokuwa inaongoza kwa mazao muhimu Ulaya ukiacha Urusi.

Ndo maana wanasiasa wa Ulaya wanasema Ukrain ikianguka basi EU imeanguka, maana Urusi atakuwa amezikamata vilivyo nchi za ulaya sio tu kiuchumi bali kisiasa, maana Urusi atakuwa anawapulia akina Poland [emoji1200] kupitia Ukrain. Urusi akiitawala Ukrain basi kaitawala 60% ya uchumi wa Ulaya.

It’s too risky kwa EU kuruhusu hichi kutokea ila ndo hawana jinsi. Wali underestimate Russia kuivamia Ukrain, now they are about to face their demise.
Sawa ila kunyakua nchi ya jirani (Annexation) ni kinyume na sheria. Ukraine ana kila sababu za kujilinda kama sisi tulivyojilinda dhidi ya Idi Amin alivyotaka kunyakua Bukoba.
 
Back
Top Bottom