Special Thread: Yanayojiri Mgogoro wa Ukraine na Urusi. Nini chanzo na hatma ya mzozo?

Special Thread: Yanayojiri Mgogoro wa Ukraine na Urusi. Nini chanzo na hatma ya mzozo?

Navy Ship Conducts SIMULATED Hypersonic Missile Launch off U.S. East Coast . Electronic Warfare JAMMED U.S. Radar, Phones, Internet for 34 seconds​

26 JANUARY 2023

A Russian Navy ship in the Atlantic Ocean near Bermuda, conducted a simulated launch of a ZIRCON Hypersonic Missile against a "nautical target 900km away." The Simulated launch involved the use of Electronic Warfare that actually JAMMED U.S. radar, cellular phones in the Mid-Atlantic USA, and even disrupted digital internet traffic for 34 seconds!
The Russian Navy Frigate "Admiral Gorshkov" tested the strike capabilities of Russia’s much-hyped Zircon hypersonic missile in the western Atlantic Ocean.
People in the mid-Atlantic region of the US experienced electronic warfare jamming of civilian devices like cellular phones and Internet for 34 seconds.
VIDEO DELETED (Lack of authenticity)
One source reports via COVERT INTEL "In accordance with the training situation, the frigate practiced arranging a ZIRCON hypersonic missile strike against a maritime target at a distance over 900 kilometers away."
 
Unaulizwa hili unajibu Lile, sidhani kama uko sawa kichwani aisee[emoji28]
Swali ukiwa hujui sema sijui kuliko kujibu utopolo, vinginevyo utaonekana mwehu[emoji16]

Sent from my Infinix X660B using JamiiForums mobile app
😃😃,Mimi nimekutajia mtoto aliyezaliwa Russia,akasomea Russia na Sasa ndio too of the game!The best in the world,kama umeumia pole!

 
Anaombaomba huku akiendelea kuwachinja askari wa super pawer..,Jana tu aliwachinja zaidi ya 900 ,,Bora aendelee kuomba tu kama matunda ya kuomba ndio haya[emoji16]

Sent from my Infinix X660B using JamiiForums mobile app

IMG_8640.jpg
 
Napata wasiwasi hii kitu inaweza kwenda kwenye WWIII kwasababu hakuna anaekubali kushindwa na kwa sasa inaonekana kama matokeo yoyote ya hii vita iwe ni collective West/ Ukraine kushindwa ama Urusi kushindwa yote kama yatasababisha vita ya tatu.

Sent from my SM-A135F using JamiiForums mobile app
Hivyo vita vyao ULAYA hakuna vita vya Dunia ....
 
Kama kaanza hizo ngonjera ina maana ameogopa, nimetulia paleeee 👉👉👉👉 na kamuhindi kangu ka kuchemsha nafuatilia mtanange
 
Hii vita ni ya Russia na Ukraine au ni Russia dhidi ya Ukraine na washirika wake? Maana kwa kweli Ukraine hayupo peke yake.

Jana Ujerumani imeidhinisha kutoa vifaru vyake aina ya Leopard kwenda Ukraine. Marekani wanafadhili mifumo ya ulinzi wa anga na silaha zingine.

Australia nao wapo upande wa Ukraine. Majuzi Putin akasema kupitia msemaji wake kwamba kama mataifa mengine yataendelea kuipa Ukraine silaha hili vita inaweza kugeuka kuwa vita ya tatu ya dunia. Where are we heading to?
 
The frigate practiced its strike capabilities by launching a Tsirkon hypersonic missile at a sea target located at a distance of more than 900 km.

MOSCOW, Jan. 25 (Xinhua) -- The Russian frigate Admiral Gorshkov successfully conducted exercises with Tsirkon hypersonic cruise missiles in the western part of the Atlantic Ocean, the Russian Defense Ministry said Wednesday.

The frigate practiced its strike capabilities by launching a Tsirkon hypersonic missile at a sea target imitating a mock enemy ship located at a distance of more than 900 km, it said.

Russian President Vladimir Putin said earlier that the Tsirkon missile is capable of flying at Mach 9 or nine times the speed of sound and striking a target over 1,000 km away.
 
Unashauri Nini Kwa sisi watz ambao tumekuwa tukitembeza bakuli?Tuendelee na moyo Huo Huo wa shukrani na kuwa watumwa milele ama?
Ni hiari yako uwe mtumwa/mtembeza bakuli/mtoa shukrani hakuna mtu atakae toka nyikani kukusaidia wewe zaidi ya wewe mwenyewe kujisaidia na kubadilisha fikra zako
 
Duh! Ni hatari sana, kwa maana hiyo ni kama Ukraine kapewa uwezo zaidi..,akitaka kuyangurumisha mpaka hapo clemlin ni juu yake[emoji56][emoji56]

Sent from my Infinix X660B using JamiiForums mobile app
Nyinyi wapumbavu hakuna tank inayo weza kushambulia umbali huo [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]huo ni uwezo wa kusafiri bila ya kujaza mafuta hizo abram kama zinashambulia si zaidi ya km 10 kumbe wewe kipanya ujui chochote nimecheka sqna [emoji1787][emoji1787] hivyo ni vyuma chakavu hata asilimia 10 ya uwezo wa himars havina poleni sana kwa ujinga [emoji1787][emoji1787]
Antonio Conte
kp kipanya44
 
Duh! Ni hatari sana, kwa maana hiyo ni kama Ukraine kapewa uwezo zaidi..,akitaka kuyangurumisha mpaka hapo clemlin ni juu yake[emoji56][emoji56]

Sent from my Infinix X660B using JamiiForums mobile app
Mmekunata wote machizi.[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] yani kifaru kirushe kombola km 500.[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] imekuwa balistic au.

Yani nyie kweli hakuna mnachokijua
 
Huu ni ukweli ambao supa pawa wa mchongo na wafuasi wake wa buza kwa lulenge hawapendi kuusikia

Sasa hapa Cha ajabu ni Nini?
Hao walifikwa na natural calamity.
Ni kitu Cha kawaida.
Haiondoi uwezo wa tech wa Urusi.
Unajua Hadi Leo USA inapewa lift na Urusi kwenda anga za juu?
Je hiyo inaondoa uwezo wa USA kiuchumj?
 
Wanajipa matumaini tu Hawa pro Russia, mziki wake wanaujua vizuri tu..,Sasa hivi wameanza kuzifia HIMARS kwamba ni silaha Bora kuliko hizo leopard [emoji249][emoji249][emoji249][emoji249][emoji249][emoji23]

Sent from my Infinix X660B using JamiiForums mobile app
Kwa hiyo hivyo vifaru vyenye kupiga umbali wa kilometa 3 hadi 4 ndiyo vitamweza mrusi [emoji1787][emoji1787][emoji117][emoji90][emoji90][emoji90][emoji90][emoji90]
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] kipanya 44 ameamua kufufua makaburi.kwa iyo kwa sasa mnasonga mbele sehemu gani[emoji1787][emoji1787][emoji1787]



Vipi ile kauli bado ipo.(Vita ilianzia Crimea na itaishia Crimea)[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]


Ashura manga wewe[emoji1787]
Kwa Sasa wanasonga nyuma kufukua makaburi!
Wewe ukiona watu wamekosa good news battle field mpaka wanaamua kushangilia tanks ujue mambo ni magumu😃😃!
 
Vikosi vya Ukraine vikiwa vimetelekeza vifaa vya kijeshi uwanja wa Vita.inaonekana kuna shida sehemu [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]




[emoji635][emoji635][emoji635][emoji635][emoji635][emoji635][emoji635][emoji635][emoji635][emoji635][emoji635][emoji635][emoji635][emoji635][emoji635][emoji635][emoji635][emoji635][emoji635][emoji635][emoji635][emoji635][emoji635][emoji635][emoji635][emoji635][emoji635][emoji635][emoji635][emoji635]









[emoji1787]kunamtu kawadanganya nato wa jf kuwa vifaru vinavyo pelekwa ukrain vinauwezo wa kushambulia umbali wa km 500 hadi km1000 wakati huo ni uwezo wa wa hivyo vifaru kusafiri bila ya kuongeza mafuta [emoji1787][emoji1787][emoji1787]vifaru vyenyewe uwezo wake wa kushambulia ni km3 hadi 6 tu
 
Back
Top Bottom