Special Thread: Yanayojiri Mgogoro wa Ukraine na Urusi. Nini chanzo na hatma ya mzozo?

Special Thread: Yanayojiri Mgogoro wa Ukraine na Urusi. Nini chanzo na hatma ya mzozo?

Na wewe ukamuamini Putin.

Vijana mmelala sana kichwani, bila USA leo kusingekuwa na Russia wala Ulaya isingekuwa kama ilivyo leo
Russia na Ulaya zimekuwepo miaka mamia kabla USA haijakuwepo..kipindi hicho kuna red indians bara America kaskazini. Wazungu wa Ulaya ndo haohao wametengeneza USA na CANADA....Sasa sijui wewe akili yako inataka kusema nini??

Sent from my SM-A205F using JamiiForums mobile app
 
Yaani alikimbia kherson mwenyewe Tena akakimbia mwenyewe bila kufukuzwa.



Nimeona uwezo wa hizi tanks kurusha makombora ni mkubwa sn.

Yaani Km 500 Kwa Leopard na Km 1000 Kwa Abrams.....

Russia kz wanayo. Naamini ATACMS sasa ziko njiani pia
Yani mnasababisha wenzenu wote waonekane machizi.yani kifaru kirushe kombola km 500 na km 1000.imekuwa kombola la balistic.[emoji1787][emoji1787][emoji1787]

Alafu machizi wenzako wanakusaport.Kifaru akiwezi kubadilisha chochote kile uwanja wa Vita.wakitaka matokea yabadilike basi ni lazima wawape silaha kama vile.

* drone kwa wingi
*armore fighting vehicle kwa wingi
*aircraft kwa wingi
* tank kwa wingi
*missile kama vile lancet za Warusi
*multiple rocket launcher kwa wingi


Wakipewa ivi vitu kwa wingi hapo patachimbika, ila tofauti na hapo hakutakuwa na jipya.

Uwezi kupigana na Urusi kwa silaha za kuunga unga( huyu katoa sijui vifaru vi 3, mwingine sijui katoa vifaru 7[emoji23][emoji23][emoji23] utakuwa umeamua kuchekesha watu.


Ka
*
 
Russia na Ulaya zimekuwepo miaka mamia kabla USA haijakuwepo..kipindi hicho kuna red indians bara America kaskazini. Wazungu wa Ulaya ndo haohao wametengeneza USA na CANADA....Sasa sijui wewe akili yako inataka kusema nini??

Sent from my SM-A205F using JamiiForums mobile app
Hata historian hajui huyo unafhani vitu vinaibuka kama uyoga,hadi umri huo hajui kuwa USA na Canada ni matiafa ya wahamiaji.
 
Yani kifaru cha kupiga shabaa umbali wa km 3 had 4 ndiyo umeona vinaweza kumsumbua mrussi wewe kweli ni bwege[emoji1787]
Yaani achana na masuala ya umbali..watu wanamakombora yanayoweza kutandika sehemu yoyote Ukraine....wao wanasingizia vifaru 50 ndo viwaokoe....Hivi hawajui mnaweza kuwa na vifaru front huku command post zote zimechomwa moto, hata Zelensky mwenyewe wakiamua wanamkaanga kabla hata vifaru havijafika..
Ukraine wakubali wameyakoroga tu..wakubali kuongea

Sent from my SM-A205F using JamiiForums mobile app
 
Ni hiari yako uwe mtumwa/mtembeza bakuli/mtoa shukrani hakuna mtu atakae toka nyikani kukusaidia wewe zaidi ya wewe mwenyewe kujisaidia na kubadilisha fikra zako
Basi Russia akichukua hatua,akapambana na Sasa ni one of the Giants!Tuige mfano wa Russia,China na wengine ambao wamepambana na Sasa wanaheshimika duniani!
 
Ukraine anapewa silaha pekee hakuna watu wanaingia toka nje kumsaidia kupigana, ila russia anapewa wanajeshi wa kukodi toka korea kaskazini, iran, afghanistan na n. K mbona hili husemi?

Bila kusahau russia anakamata hadi wanafunzi wa nchi za kigeni hasa wa kiafrika na kuwapeleka vitani kwa nguvu.
 
Kwanza ni lazima ujiukize kabla ya kushangilia Abram Tank na Leopard Tank.kabla ya kusubiri ivyo vifaru, jeshi la Ukraine walikuwa na vifaru aina ya
*T-64
*T-72
*T-80
*T-84
*T-90


Je vilienda wapi ivi Vifaru walivyokuwa navyo zaidi ya elfu 2000. Hapo hapo pia walipewa msaada na slovakia, poland na Czech vifaru zaidi ya 200.

Leo hii hata wakipewa vifaru 300 kutakuwa na mabadiliko kweli kwenye uwanja wa vita[emoji1787][emoji1787][emoji1787]
 
Yaani achana na masuala ya umbali..watu wanamakombora yanayoweza kutandika sehemu yoyote Ukraine....wao wanasingizia vifaru 50 ndo viwaokoe....Hivi hawajui mnaweza kuwa na vifaru front huku command post zote zimechomwa moto, hata Zelensky mwenyewe wakiamua wanamkaanga kabla hata vifaru havijafika..
Ukraine wakubali wameyakoroga tu..wakubali kuongea

Sent from my SM-A205F using JamiiForums mobile app
Wanaongopeana eti vufaru vinaenda kuwa game change[emoji1787][emoji1787][emoji1787]
 
Niliona range km 500 asee na jamaa alisem inawez kushambulia dar arush singda
Nikawa najiulz hiki nikifalu au mznga
Nyinyi wapumbavu hakuna tank inayo weza kushambulia umbali huo [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]huo ni uwezo wa kusafiri bila ya kujaza mafuta hizo abram kama zinashambulia si zaidi ya km 10 kumbe wewe kipanya ujui chochote nimecheka sqna [emoji1787][emoji1787] hivyo ni vyuma chakavu hata asilimia 10 ya uwezo wa himars havina poleni sana kwa ujinga [emoji1787][emoji1787]
Antonio Conte
kp kipanya44
 
[emoji1787]kunamtu kawadanganya nato wa jf kuwa vifaru vinavyo pelekwa ukrain vinauwezo wa kushambulia umbali wa km 500 hadi km1000 wakati huo ni uwezo wa wa hivyo vifaru kusafiri bila ya kuongeza mafuta [emoji1787][emoji1787][emoji1787]vifaru vyenyewe uwezo wake wa kushambulia ni km3 hadi 6 tu
Ni chapisho la pcha waliwek
Range km500
Na kile km1005

Hvyo abrahm na leopard [emoji249][emoji249][emoji249][emoji249][emoji249][emoji249][emoji249][emoji249][emoji249]
 
Umenikumbusha Jambo,ameonekana dhahiri akimalizana na Ukraine,Kuna nchi ikae sawa,sijui ndo hizo au la[emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Mimi naomba sana akimalizana na Ukraine kituo kinachofata kiwe pale Poland.

Akitoka Poland Vodka inabidi tukainywe pale London[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Back
Top Bottom