Special Thread: Yanayojiri Mgogoro wa Ukraine na Urusi. Nini chanzo na hatma ya mzozo?

Special Thread: Yanayojiri Mgogoro wa Ukraine na Urusi. Nini chanzo na hatma ya mzozo?

*Zapozhhya
IMG_20230126_111413_925.jpg
 
Siku hizi himmars siyo game changer tena
Baada ya hapo wakasonga mbele sentimita ngapi [emoji16]

Sent from my Infinix X660B using JamiiForums mobile app
Hawakusonga mbele...walibaki hapo hapo na kuwapiga kwa mbali...watasonga mbele siku zijazo....au unasemaje, mwenzetu ulitaka wasonge sentimita ngapi?!
 
Yani mnasababisha wenzenu wote waonekane machizi.yani kifaru kirushe kombola km 500 na km 1000.imekuwa kombola la balistic.[emoji1787][emoji1787][emoji1787]

Alafu machizi wenzako wanakusaport.Kifaru akiwezi kubadilisha chochote kile uwanja wa Vita.wakitaka matokea yabadilike basi ni lazima wawape silaha kama vile.

* drone kwa wingi
*armore fighting vehicle kwa wingi
*aircraft kwa wingi
* tank kwa wingi
*missile kama vile lancet za Warusi
*multiple rocket launcher kwa wingi


Wakipewa ivi vitu kwa wingi hapo patachimbika, ila tofauti na hapo hakutakuwa na jipya.

Uwezi kupigana na Urusi kwa silaha za kuunga unga( huyu katoa sijui vifaru vi 3, mwingine sijui katoa vifaru 7[emoji23][emoji23][emoji23] utakuwa umeamua kuchekesha watu.


Ka
*
Hahahahaaaaa!
 
Hili ndio jibu nilkuwa nalitaka..,Sasa huko kote ulikuwa unazunguka nini.., usipende kuwa kama " vibinti" hambavyo ndo vinaanza kubalehe,Huwa vinazunguuka kabla ya kufanya maamuzi,havina msimamo kabisa..,Sasa ndio Tabia unayoionyesha hapa,mtu anakuuliza swali unazunguuka wakati jibu lake ni Short and clear,

Sent from my Infinix X660B using JamiiForums mobile app
Hahahahaaaaa,Naona imepenya hiyo!Umeugulia maumivu mpaka ikabidi uje ujitutumue na vijikashfa kupooza hali machungu Yako!Pole,nikuongeze mwingine?
 
Yaani alikimbia kherson mwenyewe Tena akakimbia mwenyewe bila kufukuzwa.



Nimeona uwezo wa hizi tanks kurusha makombora ni mkubwa sn.

Yaani Km 500 Kwa Leopard na Km 1000 Kwa Abrams.....

Russia kz wanayo. Naamini ATACMS sasa ziko njiani pia
Hakuna kifaru chenye uwezo huo labda vifaru vya bibi yako mchawi kijijini. Tofautisha uwezo wa kusafiri bila kuongezewa mafuta na uwezo wa kurusha makombora
 
Siku hizi himmars siyo game changer tena

Hawakusonga mbele...walibaki hapo hapo na kuwapiga kwa mbali...watasonga mbele siku zijazo....au unasemaje, mwenzetu ulitaka wasonge sentimita ngapi?!
Usitegemee urusi kusonga mbele kuelekea Kiev Tena..,walishasema wazi kwamba Kile kichapo walichotembezewa siku za mwanzo za uvamizi kinatosha[emoji16]

Sent from my Infinix X660B using JamiiForums mobile app
 
Back
Top Bottom