Special Thread: Yanayojiri Mgogoro wa Ukraine na Urusi. Nini chanzo na hatma ya mzozo?

Special Thread: Yanayojiri Mgogoro wa Ukraine na Urusi. Nini chanzo na hatma ya mzozo?

Mkuu kwa hapa nawatetea Ukrain, hawana Aerial satellites za intelligence, na walizokuwa wanategemea kutoka USA na Britain ambazo zinakuwa Jammed pale Urusi anapokaribia eneo uhusika, hvyo urusi anasoma movements zote kutokea kwenye real time images na kufanya mawasiliano na wanajeshi wa Ardhini kuwa ni points zipi za kuwazunguka na barabara zipi za kufunga na vitu vingine kukamilisha encirclement kutokea. So ili lipo kiteknolojia zaidi.
Mimi naona ni kukomaa tu kwa Ukraine na inabidi wakomae maana kitu pekee kinachowafanya waendelee kwenda wakipigana kwa juhudi ni morali inayochagizwa na propaganda sometimes.

Ikiwa wanakaribia kuzungukwa hawakubali kirahisi kuabandon position na kurudi nyuma maana wakifanya hivyo mara mbili mara tatu kwenye sehemu tofauti itaweza kuvunja hamasa bandia ya ushindi ambayo wanayo hivi sasa na kupelekea kushindwa kbs kirahisi.

Fikiria habari km 'Ukraine wameretreat Bakhmut' alafu kdg usikie 'wamekimbia Zaporozhie' kidogo tena usikie 'Ukraine ameondoa vikosi vyake Seversk' kisha wapi na wapi tena. Habari kama hizi zikija kwa mfululizo moja baada ya nyingine ni ujumbe wa kushindwa ambao utaharibu sana morali ya wanaopigana na wanaounga mkono upande wa ukraine huku zikiendelea kuwatia nguvu warusi na wanaowaunga mkono.

Sababu hii ndio ilifanya hata ukraine watie ngumu kwenye kukubali kupoteza mji wa soledar wakati ulishachukuliwa muda. Wanahofia demoralization, hata hapa jf baada ya kutwaliwa soledar walikimbia.

So ukraine wanayakomalia maeneo hata km wanakaribia kuzungukwa kuhofia hilo. Ni heri wapigane mpk mwisho kuliko kukimbia. Na wanajeshi waliofield eneo fulani ni ngumu kujua wanazungukwa, walio nje kwenye command posts ndio wanajua maana wao ndio wanaona jinsi defense line zinavyokuwa breached kwa satellite na namna nyinginezo. Kama hawatoi amri kwa wanajeshi wao waabandon eneo linalotaka kuzungukwa basi wanajeshi wataendelea kupigana bila ya kujua wamezungukwa na mwishowe watamalizwa.

Kwa mm nafikiri sababu ni hii kwa maoni yangu
 
Mnasonga mbele kuelekea nyuma[emoji2][emoji2][emoji2]!Endeleeni kufukua makaburi,sisi tunatengeneza makaburi mapya!
Tutayafukua sana tu mkuu..,bado tunayo mengi.., lakini mpaka Sasa kwa mchezo unavyoendelea Putin ameshapigwa knock out[emoji16]
1663764711030.jpg


Sent from my Infinix X660B using JamiiForums mobile app
 
Mungu wangu kifaru kinarusha makombora umbali mrefu kuliko Iskander missiles?
Hushangai kuna wengine walikuja na habari za Bomber ya kimarekani F-16s

Leo tena ni ngonjera za kifaru kurusha kombora linalokwenda km 1000. Utajadiliana na mtu wa namna hiyo nini kwenye swala linalohusu Russo ukraine war!?

Kamba sana hao jamaa
 
Miji iliyopigwa siku ya leo kwa makombola ya Cruiser

* Kiev(mji mkuu)

*odessa

*Lyiv

* Dnipro

*Kharkiv

* Myklovain


[emoji635][emoji635][emoji635][emoji635][emoji635][emoji635][emoji635][emoji635][emoji635][emoji635][emoji635][emoji635][emoji635]
miji ninayo penda kusikia imesagwa LIVIV na KIEV yaani ikigongwa hii naburdika haswaaa

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Tutayafukua sana tu mkuu..,bado tunayo mengi.., lakini mpaka Sasa kwa mchezo unavyoendelea Putin ameshapigwa knock out[emoji16]View attachment 2496611

Sent from my Infinix X660B using JamiiForums mobile app
Inaonesha una kaushamba flani either mtoto kiumri au mkubwa afu hujui vitu

Mi binafs sijawahi kukujibu utumbo wako ila leo nikusaide

Ili uelewe mambo halisi kwanza ondoa ushabiki mambo ya msingi jikite kufatilia uhalisia ili uweze kujenga hoja

Jamii ya watu kama wewe ndio mnafanya jf iwe sehemu ya watoto waliokosa malezi

Mnaharibu uzi kwa ushabiki maandazi wa simba na yanga

We kweli kipanya


Sikujibu tena wala kureplay ila.samahani tu najua utakwazika
 
[emoji779]️50 Nations to Enhance Ukraine Forces - Biden

The US President has announced it will take time to deliver tanks to the battlefields in Ukraine.

Joe Biden said 50 nations were backing Kiev after talks with Western allies - but he claimed there's "no offensive threat to Russia."

He stressed the world is united behind Ukraine and the support will continue for as long as necessary.

"This is about freedom for Ukraine, freedom everywhere."

Question More @RT_India_official
 
Ukraine anapewa silaha pekee hakuna watu wanaingia toka nje kumsaidia kupigana, ila russia anapewa wanajeshi wa kukodi toka korea kaskazini, iran, afghanistan na n. K mbona hili husemi?

Bila kusahau russia anakamata hadi wanafunzi wa nchi za kigeni hasa wa kiafrika na kuwapeleka vitani kwa nguvu.
Screenshot_2023-01-26-10-07-23-63_40deb401b9ffe8e1df2f1cc5ba480b12.jpg
 
Back
Top Bottom