Special Thread: Yanayojiri Mgogoro wa Ukraine na Urusi. Nini chanzo na hatma ya mzozo?

Special Thread: Yanayojiri Mgogoro wa Ukraine na Urusi. Nini chanzo na hatma ya mzozo?

  • The US determined that some Chinese companies are providing non-lethal assistance to Russia for use in the Ukraine war and officials noted their concern to the Chinese government, a source familiar with the matter said.
SOURCE: Al Jazeera
Haya sawa tufanye ni kweli china co zinawapa Urusi silaha.
Kwa hiyo wao kumpa Ukraine ni sawa,lkn Urusi akipewa silaha na marafiki zake ni haramu.
Hapa tayari encirclement imeshakubalia.

Halafu nashindwa kuelewa ni kwa Nini hawa Ukraine kila siku wanaishia kuwa encircled. Kwani military planners wao wanafanya kazi gani?

Encirclement ingetokea Mara moja hapo sawa, lakini always wanaishia kuwa encircled.
Tatizo kocha.
Mafundisho ya kocha wao ndio yanawagharimu
 
Nawakumbusheni tu jamani ,780 wamechinjwa ndani ya saa 24 tu..,hii ni source nyingine tofauti na iliyotolewa awali.., tuendelee kuwaombolezea Hawa askari wa super pawer maana wanachinjwa haswaa 🥱🥱🥱
1674751004901.jpg


Sent from my Infinix X660B using JamiiForums mobile app
 
Haya sawa tufanye ni kweli china co zinawapa Urusi silaha.
Kwa hiyo wao kumpa

Tatizo kocha.
Mafundisho ya kocha wao ndio yanawagharimu
Ungeanza kumlaumu kwanza yule kocha aliyepeleka msafara wa km 64 kuelekea Kiev.., matokeo yake ukageuzwa majivu..,asibakie hata nzi

Sent from my Infinix X660B using JamiiForums mobile app
 
Ukraine yapokea vifaru vya kisasa toka nchi za magharibi[emoji848]
......
With gratitude to all the allies[emoji170][emoji169]
A visual of the modern Western tanks to be supplied to Ukraine. To be continued.
View attachment 2496444
Kwa huu mzigo nauona kabisa msiba wa askari wa super pawer wa kuchonga.., anyway, ngoja wakaangwe tu hakuna namna [emoji28]

Sent from my Infinix X660B using JamiiForums mobile app
 
Kwa ubora wa Kila USA is the Best. Tusikae apa kudanganyana mala sijui Russia, China na India
USA hajawahi kukosea step yoyote..,jamaa Huwa habahatishi,alipeleka HIMARS tu ikafanya urusi ionekane kama Haina silaha yoyote ya maana.., nasubiri kwa hamu huu mziki wa vifaru hambao uko njiani [emoji56]

Sent from my Infinix X660B using JamiiForums mobile app
 
Back
Top Bottom