Special Thread: Yanayojiri Mgogoro wa Ukraine na Urusi. Nini chanzo na hatma ya mzozo?

Special Thread: Yanayojiri Mgogoro wa Ukraine na Urusi. Nini chanzo na hatma ya mzozo?

Hii vita ni ya Russia na Ukraine au ni Russia dhidi ya Ukraine na washirika wake? Maana kwa kweli Ukraine hayupo peke yake.

Jana Ujerumani imeidhinisha kutoa vifaru vyake aina ya Leopard kwenda Ukraine. Marekani wanafadhili mifumo ya ulinzi wa anga na silaha zingine.

Australia nao wapo upande wa Ukraine. Majuzi Putin akasema kupitia msemaji wake kwamba kama mataifa mengine yataendelea kuipa Ukraine silaha hili vita inaweza kugeuka kuwa vita ya tatu ya dunia. Where are we heading to?
Jambo la kusikitisha ni kwamba hata Urusi wenyewe hawajui kama Wanapigana au Wanapiga.
 
US maji yako shingoni anatafuta kila sababu ya kujitoa.

"US is ready to ease sanctions against Russia for the sake of "serious negotiations on Ukraine and the withdrawal of troops from there."- Victoria Nuland
Putin needs to withdraw from Ukraine.

That is the meaning of serious negotiations
 
Russia launched a barrage of missiles and drones on the Ukrainian capital of Kyiv killing at least 11 people, according to Ukrainian authorities.

The attack took place one day after Kyiv secured Western pledges of dozens of fighting tanks to try to repel Russia's advance, Reuters reports.

Ukraine said they eliminated all 24 Russian drones sent overnight, including 15 around the capital, and 47 out of 55 Russian missiles, some of which were launched from Tu-95 strategic bombers in the Russian Arctic.

The spokesperson for Ukraine’s State Emergency Service, Oleksandr Khorunzhyi, said that in addition to the casualties there are at least 11 people who were wounded.
Russia has denied it is targeting civilians.


Screenshot_20230126-232117_Facebook.jpg
Screenshot_20230126-232131_Facebook.jpg
 
Haya salam zineanza kutumwa mnasubiriwa mmvushe silaha mpakani 😂😂😂maana saivi mashambulizi ni kuelekea Kyiv na mkendelea kuficha silaha karibu na mitambo ya nuclear jamaa hawashindwi kupiga hukohuko maana saivi mbinu inabadilika kutoka Operations kuwa VITA kamili.😎😎
 

Attachments

  • FB_IMG_1674765572817.jpg
    FB_IMG_1674765572817.jpg
    419.6 KB · Views: 31
Kabla ya Putin kutangaza SMO si alikua anawalazimisha wakae mezani wakamwona fala au umesahau?? Sahivi maji yako shingoni ndo wanataka negotiations??
Ngoja awachape kwanza ujue putin mpole sana vile anawabembeleza wakajua ni muoga walishindwa kutofautisha kati ya upole na uoga

Ngoja awanyooshe haswaa

Sent from my Infinix X657 using JamiiForums mobile app
 
Natunza huu ujumbe wako.

Baada ya mwaka mmoja tuje tuongee tena.Tuone kama kweli Putin atatoboa kuitawala Ukraine
Alokwambia mwaka mmoja nani!!?

Alokwambia PUT IN ataitawala UKRAINE nani ila nnalosema nilazima kwa kütaka ama kulazimishwa lazima UKRAINE itatii matakwa ya RUSSO DON BASS ZAPO KHERSON kua sehem za RUSSIA

Wakikaidi watashangaa UKRAINE yote inakua RUSSO

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Nchi za Magharibi wanafiki sana
Na hasa USA .
Ukiangalia kwa haraka unaweza kudhani ni taifa la kistaarabu,ukifatilia kwa makini utagundua ni taifa la kinafiki sana.
Utasikia,
"Urusi iache kuzichagulia marafiki nchi za kisoviet za zamamni."

Upande wa pili,

"Nchi za Afrika na nchi nyingine ziangalie uhusiano wake na Urusi,la sivyo zitawekewa vikwazo".

Kauli hizo mbili,zote zinatoka Kwa USA .
 
Back
Top Bottom