Special Thread: Yanayojiri Mgogoro wa Ukraine na Urusi. Nini chanzo na hatma ya mzozo?

Special Thread: Yanayojiri Mgogoro wa Ukraine na Urusi. Nini chanzo na hatma ya mzozo?

Ukraine alikuwa na vifaru si zaidi ya mia,..,Tena hizo tanks zilikuwa duni sana za enzi za Soviet..,Sasa wanamwagiwa morden battle tanks kama mvua lazima huyu anayejiita super pawer aombe poo[emoji16][emoji16]

Sent from my Infinix X660B using JamiiForums mobile app
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] kwa mujibu wa bibi yako.iyo imekuwa Tanzania au
 
Una uhakika na haya unayoyasema?
Ni miaka ya 1970's tu Uingereza ikipigana na Argentina na uingereza wakanyakua kisiwa cha watu kwa nguvu.
Marekani pia iliteka majimbo ya Mexico kuyaunganisha na Marekani. Pia inaendelea kumuliki kisiwa cha Guantanamo ndani ya ardhi ya Cuba.
Kwa hiyo unapinga, unajijibu mwenyewe, unajikosoa au nini??

Sent from my SM-A205F using JamiiForums mobile app
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] mpaka sasa tuna vifaru 45, tena ni ahadi. Kweli NATO na Marekani wapo serious na hii Vita au nawao washakata tamaa. Ukraine kwa sasa inaitaji vifaru sio chini ya 500.kwa hali hii vifaru hata 100 vitafika kweliView attachment 2495869
Na Vyote Vitachomwa Motoo
Hata Leo vingine vimepigwa tayari
 
Hali ilivyo kwenye mji wa machimbo ya makaa ya mawe(Ugledar city)
IMG_20230126_161723_578.jpg
 
Hali ilivyo kwenye mji wa machimbo ya makaa ya mawe(Ugledar city)View attachment 2496324

Hapa tayari encirclement imeshakubalia.

Halafu nashindwa kuelewa ni kwa Nini hawa Ukraine kila siku wanaishia kuwa encircled. Kwani military planners wao wanafanya kazi gani?

Encirclement ingetokea Mara moja hapo sawa, lakini always wanaishia kuwa encircled.
 
Mkuu kwa hapa nawatetea Ukrain, hawana Aerial satellites za intelligence, na walizokuwa wanategemea kutoka USA na Britain ambazo zinakuwa Jammed pale Urusi anapokaribia eneo uhusika, hvyo urusi anasoma movements zote kutokea kwenye real time images na kufanya mawasiliano na wanajeshi wa Ardhini kuwa ni points zipi za kuwazunguka na barabara zipi za kufunga na vitu vingine kukamilisha encirclement kutokea. So ili lipo kiteknolojia zaidi.
 
Okay, for that reason ya jamming za satellites na technology naweza kukuelewa

Kwa sababu, hai make any sense kuona kila Mara jamaa wanakuwa encircled.
 
Back
Top Bottom