ndammu
JF-Expert Member
- Apr 21, 2017
- 5,424
- 6,327
Lakini ndugu yangu unanijibu kwa mihemko uwezayoiyepuka Sasa kujichekesha huko ndio ni nini??Waukize wenzako kuwa ivyo vifaru Urusi anavyo au hata[emoji23][emoji23][emoji23].
Urusi ndo nchi inaongoza kwa vifaa vingi vya ardhini kuliko nchi au muungabo wowote ule wa kijeshi hapa duniani
Mimi nimekuuliza kupitia maelezo yako.
Sasa ukisema vifaa vya ardhini ni vipi na vipi?
Jee nilikuuliza vifaa vya ardhini idadi anavyomiliki urusi?
Swali Jee urusi inavifaru zaidi ya 20000 kama unavyosema??