Special Thread: Yanayojiri Mgogoro wa Ukraine na Urusi. Nini chanzo na hatma ya mzozo?

Special Thread: Yanayojiri Mgogoro wa Ukraine na Urusi. Nini chanzo na hatma ya mzozo?

Mu - Isael we tulia - hili goma linanyenyuka soon, mtu mmoja hawezi kusumbua ukanda wate, soon he will be sorted.
Huwa tunawaambia pro Russia lakini wanaweka pamba masikioni..,huyo jamaa punde atajikuta kwenye mikono salama..,muda si mrefu
1666891558188.jpg


Sent from my Infinix X660B using JamiiForums mobile app
 
RIP kwa ndugu yetu aliyeishi na kukulia Ukraine. Ameacha mwanamke na mtoto. Jitihada za kumleta nyumbani wakati vita vinaanza zilishindikana na bada ya kifo pia ilishindikana, imebidi mazishi yashuhudiwe kupitia mtandao. Mazishi yamefanyika huko huko na ameshapumzishwa kwenye nyumba yake ya milele.
Huyo katolewa kama chambo..,vita mbaya Sana lakini haiepukiki!!

Sent from my Infinix X660B using JamiiForums mobile app
 
  • Thanks
Reactions: Tsh
Supa-pawa wa mchongo kageukia mbinu ya kufanya ugaidi na uhalifu wa kivita dhidi ya raia wema wa Ukraine baada ya kushindwa kuuangusha utawala wa Rais Zelensky..
Acheni kulia lia ondoeni silaha kwenye makazi ya watu

La sivyo watakufa sana na lawama zenu hazitasaidia kitu

[emoji96] Sky News unexpectedly reveals Ukraine is deploying heavy equipment and equipping combat positions in residential areas - between and behind homes.

In a recent report from Artyomovsk (Bakhmut), a heavily fought-over city in the DPR, a British correspondent showed Ukrainian military equipment hiding among residential buildings.

“Rows of Soviet tanks and armored personnel carriers are hiding among the buildings,” the Sky News report says.

Russian troops are already on the outskirts of Artemovsk and in the near future they can break through the defense of the Armed Forces of Ukraine, a British correspondent confirms.





Sent using Jamii Forums mobile app
 
[emoji921] [emoji1191][emoji383][emoji635][emoji777][emoji385] #dedollarization
"Pakistan will start purchasing crude oil from Russia in April after agreeing on all commercial terms of its import, including payment in the Pakistani national currency" — Pakistan Minister of State for Petroleum


Dedolarization

SMO inaendelea vyema

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mimi naona ni NATO vs rusia na mpango ni kumuua putin na kuisambaratisha rusia bila kuleta vita na nchi zingine, ndio maana wanaongeza vifaa vikubwa kidogo kidogo huku wakipima upepo kama kutakua na muingiliano wa mataifa mengine kama china iran korea kaskazin au syria au yoyote iliyo mrengo wa upande wa rusia, ndio maana wanaongeza silaha kidogo kidogo ili watu wazoee abaki rusia pekeyake, hapo ndio watamshambulia kwa kasi bila usaidizi popote na watafanikiwa maana wao wanatoa vifaa vita ila rusia akipewa wanapiga kelele na mikwara ya sunctions.
Ndio njiuliza nia ya Putin ni nini hasa??? Maana jamhuri nyingi tu zilizokuwa sehemu ya soviet socialists hazipo tena kama sehemu ya Urusi. Why Ukraine??
 
Ukraine anapewa silaha pekee hakuna watu wanaingia toka nje kumsaidia kupigana, ila russia anapewa wanajeshi wa kukodi toka korea kaskazini, iran, afghanistan na n. K mbona hili husemi?

Bila kusahau russia anakamata hadi wanafunzi wa nchi za kigeni hasa wa kiafrika na kuwapeleka vitani kwa nguvu.
Hapana Majeshi ya Nato yapo Ukraine Kama Majeshi ya kukodi.
 
Mohamedidrisa niambie kilicho wakuta leopard 2 na Abrams maana wamepoa baada ya kusikia hivyo vifaru vitapelekwa mwezi March na Hapo kategeshewa aanze ujerumani nadhani US atakuwa wa mwisho[emoji38][emoji38][emoji38][emoji38][emoji38]
Wapelekaji wenyewe wa vifaru washaanza kuogopa.wanajua kabisa vinaenda kuangukia kwenye mikono ya Warusi[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
 
Putin alidhani anapigana na ukraine pekee.
Mchina aliusoma mchezo mapema kwa Perez,
Mrusi hakujifunza ya afghanistan kupitia taleban mwaka 70
 
Kwani urusi anavifaru vifikavyo idadi hiyo?

Mfano hata awe navyo unaamini atavitumia vyote 20000?

Au unajiongezea tuamini uongo wako? ?
Waukize wenzako kuwa ivyo vifaru Urusi anavyo au hata[emoji23][emoji23][emoji23].

Urusi ndo nchi inaongoza kwa vifaa vingi vya ardhini kuliko nchi au muungabo wowote ule wa kijeshi hapa duniani
 
Mkuu unarudia habari Urusi inapigana na nchi 50. Ila mbali ya jeshi la Uktaine hakuna nchi nyingine inayopigana na Urusi. Nchi nyingine zinasaidia Ukraine (sawa na kanuni za Umoja wa Mataifa kuhusu msaada kwa nchi iliyoshambuliwa) lakini hazipigani na Urusi.
Hata nchi hizo zinazosaidia Ukraine zinazuia silaha kali zisifike kraine hivyo Ukraine haipati msaada kupiga vituo vya Kirusi ambako makombora yanarushwa kwa miji ya Ukraine.
Katika vita hii Ukraine vado ni kama mpiganaji anayefungwa kwa kamba asitoke katika eneo fulani, wakati mashambuliaji wake (Urusi) ana kila uhuru kwenda mbele na kukimbia nyuma...

Vita ingekuwa tofauti sana kama vikosi vya NATO vingeingia lakini pia hatari sana maana Urusi katika hali yake ingeweza kukimbilia matumizi ya silaha za nyuklia ambayo ingekuwa hatari kwa watu wote duniani.
Kwa hiyo tukusikilize wewe mmatumbi au tumsikilize Waziri wa Mambo ya Nje Ujerumani!!?? Ficha ujinga wako....
 
Hii vita ni ya Russia na Ukraine au ni Russia dhidi ya Ukraine na washirika wake? Maana kwa kweli Ukraine hayupo peke yake.

Jana Ujerumani imeidhinisha kutoa vifaru vyake aina ya Leopard kwenda Ukraine. Marekani wanafadhili mifumo ya ulinzi wa anga na silaha zingine.

Australia nao wapo upande wa Ukraine. Majuzi Putin akasema kupitia msemaji wake kwamba kama mataifa mengine yataendelea kuipa Ukraine silaha hili vita inaweza kugeuka kuwa vita ya tatu ya dunia. Where are we heading to?
Kila taifa lina haki ya kusaidiwa silaha au hata wanajeshi linapovamiwa na taifa chokozi ndani ya mipaka yake!; Putin yeye anatumia mbinu ya kubambikiza waafrika kesi na kuwafunga jela kisha kuwalazimisha kwenda kupigana vitani. Kila mtu na mbinu yake
 
Back
Top Bottom