Special Thread: Yanayojiri Mgogoro wa Ukraine na Urusi. Nini chanzo na hatma ya mzozo?

Special Thread: Yanayojiri Mgogoro wa Ukraine na Urusi. Nini chanzo na hatma ya mzozo?

Vikosi vya Ukraine vimeondoka kwenye kijiji Biholorivkha ili kukwepa kufungiwa njia ni vikosi vya Urusi.

Ni lasmi kwa sasa kijiji cha Bilohorivkha kipo kwenye mikono ya Warusi

[emoji635][emoji635][emoji635][emoji635][emoji635][emoji635][emoji635][emoji635][emoji635][emoji635][emoji635][emoji635][emoji635][emoji635][emoji635][emoji635][emoji635][emoji635][emoji635][emoji635][emoji635][emoji635][emoji635][emoji635][emoji635][emoji635][emoji635][emoji635][emoji635][emoji635]
IMG_20230127_134550_204.jpg
 
Halafu Hilo jedwali lako sijui umeli save ukitaka una edit tu[emoji12][emoji12][emoji12][emoji12][emoji12][emoji12]
Nitaendelea kuwapa updates mkuu..,nyie vumilieni tu.., Boris Johnson alimuonya sana Putin mwanzoni mwa uvamizi kwamba amechagua njia ya umwagaji damu na maangamizi.., hivyo usishangae kuona warusi wakichinjwa Kwa wingi namna hii maana ndio njia aliyoichagua Putin [emoji848]

Sent from my Infinix X660B using JamiiForums mobile app
 
Mkuu naomba tu nikujibu kistraabu. Sishabikii vita. Maoni yangu hii vita si vita kati ya ya Urusi na Ukraine. Kama mataifa menngine yanatuma silaha Ukraine au Urusi basi wao pia wako vitani japo hawapeleki askari binadamu.
Sio vita mkuu ni special operation military. Vita bado mkuu
 
Sijaelewa Nini lengo la uwongo huu kutoka BBC, na Aljazeera wa leopad na Abrams hasa juu ya range yao ya kushambulia.
Bila shaka km 1000 Ni long range ya missiles flaniflani hivi nzito Hapa hats Iskander haifiki.

Km 500 Ni middle range ya makombora Kama Iskander missile na tomahawk.

Ila kwa artilleries km 200-300 Ni long range. Hakuna kifaru wa Atgm yenye uwezo wa kufire range happy ya km 25.

Javelin range ya kupiga Ni km 20
 
Kwa hiyo tukusikilize wewe mmatumbi au tumsikilize Waziri wa Mambo ya Nje Ujerumani!!?? Ficha ujinga wako....
Pole sana mdogo, je unasikia maumvu makali hadi uanze kutukana?
Hata hivyo na wewe unaweza kujua matamshi yake si siasa rasmi ya serikali yake.

ona: France, Allies "Not At War With Russia": Foreign Minister
Halafu: Hilary Appel, government professor at Claremont McKenna College in Claremont, California, told Newsweek that Baerbock "misspoke" [when she said, "We are fighting a war against Russia]

Mikhail Troitskiy, professor of practice at the University of Wisconsin-Madison, said that Baerbock's use of the term "war" was likely more figurative than literal, shaped by the emotional atmosphere at the Council of Europe.

"It was not a declaration of war or a signal of a radical departure from a more bland position—expressed, for example, by NATO officials who would say that NATO supports Ukraine but stops short of fighting against Russia," Troitskiy told Newsweek.

"So, while manifesting a break with the earlier bland official rhetoric, the statement about a 'war with Russia' is not a very big deal. The decision to supply tanks and other powerful weapons to Ukraine potentially is."

(samahani kama nakupa zaidi ya mistari 3 ya ili usome, kama ni vigumu mno kwako, naweza kusaidia!)
 
Wakuu,

Naomba kueleweshwa.

Ni kwa sababu gani US na German wanaviziana kupeleka hizo Battle Tanks Ukraine?

Yaani wanakuwa kama wanasakiziana.. anza wewe... peleka zaka kwanza na mimi ndio nipeleka. Au mimi nikipeleka na wewe lazima upeleke zako.

Hivi sababu hasa ya huku kuviziana ni nini..?
Kwanza kabisa hata wao washajua na wanajua invisibility na ule usiri was kuficha destroyed tanks hautakuwepo Tena.

Iko hivi destroyed leopard na destroyed Abrams hakijawahi kuruhisiwa kupekuliwa na adui kwani baada ya kipigo wao ( NATO) huvilipua kwa ndege kupoteza kabisa recovery. Sasa humo Ukraine atafanya hivi Nani?
Maanake waukraine wakirudishwa nyuma silaha wanawez kuiacha ikaishia Russia.
Nb.
Kati ya vifaru hivi Hakuna invisible tanks Kama Aljazeera walivyotudanganya wiki Jana. Kule Syria leopard makumi zilibe destroyed. Vilevile kule Yemen , Syria, Iraq abra.s imefeli Mara kadhaa
 
Sijaelewa Nini lengo la uwongo huu kutoka BBC, na Aljazeera wa leopad na Abrams hasa juu ya range yao ya kushambulia.
Bila shaka km 1000 Ni long range ya missiles flaniflani hivi nzito Hapa hats Iskander haifiki.
Km 500 Ni middle range ya makombora Kama Iskander missile na tomahawk.
Ila kwa artilleries km 200-300 Ni long range
Hakuna kifaru wa Atgm yenye uwezo wa kufire range happy ya km 25.
Javelin range ya kupiga Ni km 20
Mkuu tafadhali soma vema yale unayoona na jaribu kuyaelewa kabla hujalalamika! Maelezo yale hayahusi mzinga wa kifaru bali upeo wa kifaru chenyewe, maana kwa kujaza mafuta mara moja inaweza kwenda kilomita 500.

Hii ni barabarani, ikipita kwenye matope bila njia, umbali unapungua, chini ya nusu.
 
Wameenda Soledar wakazuiwa kuingia kuchukua habari.mbona wandishi wengine wamechukua habari.wanataka kudhibitisha wakiwa majumbani kwao.

Video zipo sasa sijui wanataka kudhibitisha vipi.makao makuu ya mji, maeneo yote muhimu yapo chini ya Urusi.sasa hapo imebaki Soledar gani.au kuna soledar mbili[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Itakuwa Soledad ya Westlife ndio wanayotambia Ukraine
 
Wakuu,

Naomba kueleweshwa.

Ni kwa sababu gani US na German wanaviziana kupeleka hizo Battle Tanks Ukraine?

Yaani wanakuwa kama wanasakiziana.. anza wewe... peleka zaka kwanza na mimi ndio nipeleka. Au mimi nikipeleka na wewe lazima upeleke zako.

Hivi sababu hasa ya huku kuviziana ni nini..?
Mkuu sababu ni hii: Ukraine inaona Leopard itakuwa ni bora kwa madhumuni yake kuwapiga Warusi. lakini Ujerumani haitaki kuanza kuleta vifaru maana ni hatua mpya kusaidia ukraine, inaongeza ukali. Hapa chansela ya Ujerumani anataka kuchukua hatua hiyo kwa kushikamana na kaka mkubwa Marekani ambaye hatimaye ni mlinzi wa Ulaya dhidi ya tishio la silaha za nyuklia kutoka Urusi. Maana Ujerumani haina silaha hizo wala haitaki silaha hizo.

Kwa hiyo chansela wa Ujerumani aliweka sharti "Nitakubali vifaru vyetu kama hata Marekani wanaleta vifaru vyao". Marekani mwanzoni hawakutaka, maana wanaona vifaru vyao ni tata zaidi vinahitaji muda mrefu ya mafunzo hasa kwa matengenezo na mfumo wa vipuli na mafuta ya pekee... Lakini sasa wamekubali madai ya Ujerumani wametangaza wataleta.

Kwa hiyi Ujerumani inaondoa sasa vikwazo kwa nchi nyingine zilizonunua vifaru hivi kutoka kwao, wengine wawezae kusaidia Ukraine Leopard.
 
Ni kweli kabisa, na ndiyo maana balozi wa Urusi kule Marekani amelaani hatua ya Marekani kujiunga na Ujerumani kupeleka Leopards 2 Ukraine, kama US angegoma Mjerumani asingethubutu.

Mrusi anasema Marekani ndiyo anayeishikilia vita yake na Ukraine.

All in all, lazima Putin ashikishwe adabu na Urusi iwe nchi huru inayofuata misingi ya Kidemokrasia.
 
ni kweli kabisa, na ndiyo maana balozi wa Urusi kule Marekani amelaani hatua ya Marekani kujiunga na Ujerumani kupeleka Leopards 2 Ukraine, kama US angegoma Mjerumani asingethubutu.
Mrusi anasema Marekani ndiyo anayeishikilia vita yake na Ukraine.

All in all, lazima Putin ashikishwe adabu na Urusi iwe nchi huru inayofuata misingi ya Kidemokrasia.
Kifaru ndio kimemaliza Vita? Si mmeambiwa mpeleke? Tukaone hyo adabu vitashika vifaru au urusi?
 
Mohamedidrisa niambie kilicho wakuta leopard 2 na Abrams maana wamepoa baada ya kusikia hivyo vifaru vitapelekwa mwezi March na Hapo kategeshewa aanze ujerumani nadhani US atakuwa wa mwisho[emoji38][emoji38][emoji38][emoji38][emoji38]
Tatizo askari wa marekani wanaogopa sana kupigana vita na jeshi la urussi wanakumbuka kilicho mkuta mjerumani ...na hivyo vifaru lazima ukivipeleka upeleke na askari wako wa kuviendesha
 
Tatizo askari wa marekani wansogopa sana kupigana vita na jeshi la urussi wanakumbuka kilicho mkuta mjerumani ...na hivyo vifaru lazima ukivipeleka upeleke na askari wako wa kuviendesha
Hata Rudi hata mmoja tutakata kichwa kimoja baada ya kingine Tena Russia ndio inavitafuta Sana hivyo vichwa vya NATO.
 
Kifaru ndio kimemaliza Vita? Si mmeambiwa mpeleke? Tukaone hyo adabu vitashika vifaru au urusi?
Mlisema hela haipigani vita, tukakubali, mkasema pia misaada ya kivita haimalizi vita, tukakubali, sasa cha kusanganza kwa nini hadi leo ninyi na Putin wenu mhahangaika - mwaka sasa kitu kimenasa dadeq.

Mwanzoni mliita operation, sasa hivi mlivyopukutika kwa wingi mkawaita jamaa mtaani kuwasajili kama wanamgambo- wamekufa ka mabata, mna dhambi ninyiii.
 
ni kweli kabisa, na ndiyo maana balozi wa Urusi kule Marekani amelaani hatua ya Marekani kujiunga na Ujerumani kupeleka Leopards 2 Ukraine, kama US angegoma Mjerumani asingethubutu.
Mrusi anasema Marekani ndiyo anayeishikilia vita yake na Ukraine.

All in all, lazima Putin ashikishwe adabu na Urusi iwe nchi huru inayofuata misingi ya Kidemokrasia.
Ukizingumzia demokrasia una maanisha nini haswa? Je tokea 2014-2022 watu wa Donbass walikandamizwa mbona nyie mwenye democrazy hamkutoka na kulaani?
 
Back
Top Bottom