Mkuu jisomee historia kidogo. Hitler alishambulia Urusi kwenye mwezi wa Juni 1941. Hali ya vita kati ya Ujerumani na MArekani ilianza Desemba 1941.Ugerumani ilishindwa na mrusi kabla ya nchi yoyote kumshinda urusi kasome historia ya vita hivyo marekani aliingia kipindi mjerumani kesha poteza nguvu...tena hadi Hitler mwenyewe alikili kuwa jeshi lake limepata pigo kubwa urussi
Lakini mara baada ya mashumbulio ya Ujerumani dhidi Urusi, Marekani ilikubali tayari kutuma misaada Urusi. Ona hapa tani zilizotumwa kutoka Marekani kwenye Urusi:
| Mwaka | Kiasi (tani) | Asilimia ya yote kwa mwaka % |
|---|---|---|
1941 | 360,778 | 2,1 |
1942 | 2,453,097 | 14 |
1943 | 4,794,545 | 27,4 |
1944 | 6,217,622 | 35,5 |
1945 | 3,673,819 | 21 |
Jumla | 17,499,861 | 100 |
Bila msaada huu Urusi ingeanguka.