Mkuu tafadhali jaribu kuumia mantiki kidogo pamoja na elimu! Bila shaka kila mwanajeshi mwenye akili anaogopa kuingia vitani maana ni hali mbaya. Ila ukidokeza Vita Kuu - Marekani inajua vema urusi isingeshinda Ujerumani pekee yake bali kwa ushirikiano na Marekani na Uingereza. Urusi ilipokea wakati ule kutoka Marekani:
- 400,000 jeeps & trucks
- 14,000 airplanes
- 8,000 tractors
- 13,000 tanks
- 1.5 million blankets
- 15 million pairs of army boots
- 107,000 tons of cotton
- 2.7 million tons of petrol products
- 4.5 million tons of food
Mbali na kutisha mataifa madogo jeshi la Kirusi lilijaribu vita ya Afghanistan - ambako lilishindwa. Dhidi ya taifa ndogo ya Chechniya walipigwa mara ya mwaknza na mara ya pili walisaidia kwa msaada wa sehemu ya Wachechen wenyewe....
Na sasa Ukraine wanonyeshe uwezo mdogo.
Unaamini kweli jeshi la kisasa linatishiwa na hao Warusi??
(wote wanawaangalia kwa tahadhari kwa sababu bado wana silaha za nyuklia, si sababu nyingine. Urusi si China, mkuu)