Special Thread: Yanayojiri Mgogoro wa Ukraine na Urusi. Nini chanzo na hatma ya mzozo?

Special Thread: Yanayojiri Mgogoro wa Ukraine na Urusi. Nini chanzo na hatma ya mzozo?

Mkuu jaribu kukusanya data kidogo. Jumla ya vifaru kutoka uingereza kwa umoja wa kisovyeti ni zaidi ya 5,000 si 300. Pamoja na zile 13,000 kutoka Marekani si idadi ndogo kabisa! Muhimu zilikuwa pia ndege 14,000. Halafu misaada kutoka Marekani zilikuwa muhimu kabisa hadi kurudishwa kwa uwezo wa tasnia ya kirusi baada ya uvamizi wa ujerumani. Maana mwanzoni mwaka 1941 Wajerumani walishika mara moja maeneo kama Ukraine na Belarus ambako sehemu kubwa ya viwanda vilikuwepo. Warusi walijitahidi kuhamisha viwanda na wafanya kazi kwa reli kuelekea mashariki, mbali na mapigano, na kuanzisha viwanda viypa. Hii ilichukua muda.

Halafu hujui Khrushchev allandika nini katika kitabu chake? Ukijua Kirusi, soma hapa (nakala ya Kiingereza sijui): ВОЕННАЯ ЛИТЕРАТУРА --[ Мемуары ]-- Хрущёв Н.С. Время. Люди. Власть. (Воспоминания). Книга I (Mwandishi alikuwa kiongozi chini ya Stalin akamfuata kama mkuu wa Umoja wa Kisovyeti)

Anakumbuka jinsi gani Stalin mwenyewe aliseme: "ikiwa Marekani isingetusaidia, tusingeshinda vita hii: ana kwa ana na Ujerumani ya Wanazi, tusingestahimili mashambulizi yake na tungeshindwa vita."
Kwa hiyo, tafadhali ujisomee halafu usipambane na mimi, pambana na Stalin na Khrushchev na wanahistoria waliochungulia mambo hayo.
Niamini mimi baada ya miaka 100, historia itakuwa inasomeka hivi "Russia na Germany walipigwa vita vya pili na Mmarekani with her allies."
 
Urusi imefunga wavuti wa mashirika ya upelelezi ya Marekani ya CIA , FBI moja na ule wa Wizara ya mashauri ya kigeni ya Marekani. Hatua hiyo iliyotekelezwa Ijumaa imefuatia ombi la taasisi ya usimamizi wa mawasiliano ya kiteknolojia-Roskomnadzor.

Tovuti hizi hutumiwa na Marekani kutoa taarifa kuhusu vitisho dhidi ya usalama wa taifa hilo.

Zimefungwa tangu Januari 26, huduma ya mawasiliano ya Urusi Roskomnadzor imeiambia BBC kwamba "Tovuti hizi zina taarifa zisizo na maana kijami" zilipatikana katika vyanzo hivyo, pamoja na udhalilishaji wa jeshi la Urusi.

Kulingana na Roskomnadzor, tovuti hizo "ni za mfumo wa taifa unaosababisha uhasama kwa nchi" kwa kutoa taarifa zenye lengo la kuyumbisha hali ya kisiasa na na kijamii kwa lugha ya Kirusi.

Mwezi Mei mwaka jana, Mkuu wa tume ya usalama ya bunge la Urusi (Duma) alisema machapisho ya CIA nchini Urusi yanachochea uhaini.

Tarehe 2 Mei, CIA iliweka mtandaoni videokwa lugha ya kirusi katikachaneli yake ya YouTube , ambayo ilisshauri juu watu wanavyoweza kuwasiliana nao kwa usalama na kuwafikishia taarifa za ujasusi.

Katika kujibu hatua hiyo, Idara ya huduma za ujasusi wa kigeni ya Urusi ilifungua wavuti wa siri mwezi Aprili, ambapo huwataka watu kuishirikisha taarifa "vitisho kwa usalama wa Shirikisho la Urusi."

Mapema mwezi Januari, ofisi ya mwendesha mashita mkuu wa jeshi wa jimbo la Vladimir pia aliwasilisha ombi la kisheria la kuzuiwa kwa wavuti wa habari za Umoja wa Mataifa (UN news) nchini Urusi, lakini Ijumaa alikanusha mwenyewe madai hayo. Mahakama ilipuuzilia mbali kesi ya ombi hilo.

=====++++======

Mwamba aliyemuweka madarakani D. Trump anazidi kuonesha umahiri wake 😅😅😅😅😅 MK254 MTZ 255Dar
Screenshot_20230127-191352_Facebook.jpg
Screenshot_20230127-192228_Chrome.jpg
 
Russian and Iranian state-linked hackers are increasingly targeting British politicians, journalists and researchers with sophisticated campaigns aimed at gaining access to a person’s email, Britain’s online security agency warned on Thursday.

The National Cyber Security Centre (NCSC) issued an alert about two groups from Russia and Iran, warning those in government, defence, thinktanks and the media against clicking on malicious links from people posing as conference hosts, journalists or even colleagues.

Both groups have been active for some years, but it is understood they have recently stepped up their activities in the UK as the war in Ukraine continues, as well as operating in the US and other Nato countries. They aim to steal secrets – or leak correspondence online to embarrass high-profile figures – but not to extort money.

Paul Chichester, NCSC’s operations director, said the “threat actors based in Russia and Iran” from the two separate groups “continue to ruthlessly pursue their targets in an attempt to steal online credentials and compromise potentially sensitive systems”.

The hackers typically seek to gain confidence of a target by impersonating somebody likely to make contact with them, such as by falsely impersonating a journalist, and ultimately luring them to click on a malicious link, sometimes over the course of several emails and other online interactions.

In one case, the Iranian group, dubbed Charming Kitten, held a fake zoom meeting with their target, and shared the malicious link “in the chat bar during the phone call”, the NCSC said. Sometimes two or more fake personas are used in a carefully crafted effort to convince a person their inquiries or business is legitimate.

Last year, the Russian Group known as Seaborgium or Cold River was accused by Google of hacking into and leaking correspondence involving the former director of MI6 Richard Dearlove and other hard Brexiters seeking to block Theresa May’s Chequers EU exit deal.

This year, the same group was accused of targeting three nuclear research laboratories in the US, creating fake login pages for each institution and emailing scientists who worked there to try to make them reveal their passwords. It is not clear if any of the efforts were successful.
 
Niamini mimi baada ya miaka 100, historia itakuwa inasomeka hivi Russia na Germany walipigwa vita vya pili na Mmarekani with her allies.
Huenda hata Leo hii tunapoambiwa majeshi ya urusi kwenye vita ya pili ya dunia yalifika mpaka mjini Berlin ujerumani ni uzushi tu wa watu wachache!!

Sent from my Infinix X660B using JamiiForums mobile app
 
[emoji921] [emoji1191][emoji383][emoji635][emoji777][emoji385] #dedollarization
"Pakistan will start purchasing crude oil from Russia in April after agreeing on all commercial terms of its import, including payment in the Pakistani national currency" — Pakistan Minister of State for Petroleum


Dedolarization

SMO inaendelea vyema

Sent using Jamii Forums mobile app
Aisee treni imeshashika Kasi .
Hairudi Tena hiyo,mwendo mdundo
 
Mkuu nikielewa vema MArekani inasaidia Ukaine kujitetea. Je unaona hii ni kosa?
Au nilisahau kama Ukraine ilishambiulia Urusi?
Unaonaje kama Urusi inasema Samahani, tulikosa kuanzisha vita, tunajiondoa na polepole tutalipa mchango kwa uharibifu tuliosababisha?
Huo upuuz urus hawez kufanya
Kabla hajasanza kushambulia alitoa mwanya wa ukr wajitafakari
 
Ona hapa

View attachment 2497299
Советские танкисты и «Тетрарх» Mk VII в Закавказье, 1942 год.
Usiposoma kirusi nitafsiri: Askari wa vifaru vya Kisovyeti pamoja "Tetrarch" Mk VII kwenye eneo upande wa kusini wa milima ya Kaukazi

Chanzo: Mk.VII Тетрарх (tovuti ya Kirusi)
Wakati wa vita kuna kuteka silaha hivyo watu tuelewe
 
Back
Top Bottom