Special Thread: Yanayojiri Mgogoro wa Ukraine na Urusi. Nini chanzo na hatma ya mzozo?

Special Thread: Yanayojiri Mgogoro wa Ukraine na Urusi. Nini chanzo na hatma ya mzozo?

Umelewa nilichokwambia hapo juu.Urusi alipokea vifaru 300 kutoka kwa muingereza mwaka 1942 kama urafiki wa kusaidiana kwenye majanga. Urusi yeye alikuwa na vifaru alivyotengeneza zaidi ya laki 1.Vifaru 300 kwenye uwanja wa vita utasema umesaidia Urusi kushinda ww2.
Huyo jamaa ni mweu ...pia kwenye vita kunakuteka silaha unaweza kuzitumia tu
 
Mkuu ushauri kwa jumla ni: ujielimishe kidogo kabla ya kusema . O si tacuisses fuisses philosophus (kama ungenyamaza ungeheshimiwa kama mwanafalsafa!).
Ona hapa kikosi cha kirusi 1945 huko Brno, Chekoslovakia. Vifaru vyote ni Sherman kutoka Marekani.
View attachment 2497310
Under Lend-Lease, 4,102 M4A2 medium tanks were sent to the Soviet Union. Of these, 2,007 were equipped with the original 75 mm main gun, with 2,095 mounting the more-capable 76 mm tank gun.
Kitu usicho jua ni kwamba warusi waliteka silaha nyingi za uingereza zilizo tekwa na ujerumani nchini ufaransa vifaa hivyo vilitumika kuivamia urusi majeshi ya mjerumani yalipo shindwa ndani ya urussi yalijisalimisha malaki na dhana za kijeshi za west zikatekwa na urusi mamia na maelfu ya vifaru
 
Niamini mimi baada ya miaka 100, historia itakuwa inasomeka hivi Russia na Germany walipigwa vita vya pili na Mmarekani with her allies.
Unaupeo mkubwa Sana, sio wote wanaojua kuwa hizi historia tunakaririshwa tu ila uhalisia sio..

Sawa na vile tulivyoaminishwa Mandela ndio shujaa wa Africa, lakini ukijiuliza Mandela kaifanyia nini Africa unaduwaa tu.
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] Kuna vitu vingine ni vichekesho kwa kweli.yani unaongelea msaada wa kirafiki wa vifaru vya sherman.

Vifaru vya kwanza vikifika mwishoni mwaka 1944 na vingine vikaenda mwaka 1945. Vita si ilikuwa ipo berlin.sasa hapo utasema wamemsaidia kumshinda mjerumani kweli.[emoji23][emoji23][emoji23] ebu kuweni serious[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Pia ajui kuwa urusi iliteka zaidi ya vifaru 400 ya west mikononi mwa wajerumani ambavyo vilichukuliwa na jeshi la ujerumani baada ya kuishinda ufaransa
 
Kitu usicho jua ni kwamba warusi waliteka silaha nyingi za uingereza zilizo tekwa na ujerumani nchini ufaransa vifaa hivyo vilitumika kuivamia urusi majeshi ya mjerumani yalipo shindwa ndani ya urussi yalijisalimisha malaki na dhana za kijeshi za west zikatekwa na urusi mamia na maelfu ya vifaru
Mkuu hii inajulikana ila haikuwa muhimu sana kwa mwendo wa vita. Kimsingi ni Wajerumani waliwfundisha Warusi kutengeneza vifaru maana kabla ya 1933 Ujerumani ilibanwa na mkataba wa Versailles kutokuwa na vifaru hivyo waliunda kwa siri na kuzipeleka Urusi ambako walifanya mazoezi ya siri.

Ila baadaye Warusi waliendelea peke yao na mfano T 34 ilikuwa kifaru kizuri bila athira ya nje.
 
Unaupeo mkubwa Sana, sio wote wanaojua kuwa hizi historia tunakaririshwa tu ila uhalisia sio..

Sawa na vile tulivyoaminishwa Mandela ndio shujaa wa Africa, lakini ukijiuliza Mandela kaifanyia nini Africa unaduwaa tu.
Wanabadilisha Historia ikae vile inawapendeza wao.
Ukijiuliza urafiki wa Poles na Nationalists wa Ukraine umetoka wapi ? ( Banderites walihusika na mauaji ya poles ).

Na regime iliyopo madarakani saiv Ukraine ni result ya Nationalism activities, yet Serikali na raia wa Poland wanaisupport.
Hapo ndio utachoka.
 
Wanabadilisha Historia ikae vile inawapendeza wao.
Ukijiuliza urafiki wa Poles na Nationalists wa Ukraine umetoka wapi ? ( Banderites walihusika na mauaji ya poles ).

Na regime iliyopo madarakani saiv Ukraine ni result ya Nationalism activities, yet Serikali na raia wa Poland wanaisupport.
Hapo ndio utachoka.
Wewe kama wewe unatakaje uhusiano wao uweje mzee mbona unajipa tena kazi ya kuwaamulia watu mahusiano yao ama hisia zao mzee?
 
Aliyepambana na Ujerumani huko mashariki ni Ussr ambayo ilikuwa imeundwa na nchi za Urusi ya Sasa, Baltic, Georgia na hata Ukraine.

Jeshi la Urusi ya Sasa limeshalemazwa na mwaka mmoja wa Vita, haliwezi kuitisha Marekani kabisa (labda watumie vitisho vya nyuklia).
Urussi ya sasa ni hatari zaidi kuliko kabla ya vita ...labda uwe ujui vita
 
Acheni ushabiki usio na maana. Russia ni kitu Gani mbele ya US? US ndio baba wa hii Dunia.

Sent from my TECNO KG5j using JamiiForums mobile app
Tuambie kwanini usa kapigwa Vietnam..pia tuambie ni kwanini usa anashawishi nato yote dhidi ya urussi kwanini kama anayo nguvu asiende kusaidia ukrain yeye peke yake
 
Unaongelea Russia ipi hiyo ambayo iliwashinda wajerumani? Warusi Zaidi ya milioni 20 waliuwawa na Hitler na ndio sbbu Germany wakitafakari walichofanya Kwa mrusi hawataki Tena kitokee.



Sent from my TECNO KG5j using JamiiForums mobile app
Hapo unachanganya madesa umeshindwa kujua tofauti ya idadi ya vifo na kushinda vita ...nimejua kuwa nabishana na mpumbavuu ..unajua jeshi kubwa kiasi gani la mjerumani lili jisalimisha urusi hakuna popote jeshi kubwa kiasi kile lili wai kujisalimisha tangu kuumbwa kwa dunia hadi leo hii ...vita kali kuliko zote vilipiganwa na urussi siyo marekani
 
Huenda hata Leo hii tunapoambiwa majeshi ya urusi kwenye vita ya pili ya dunia yalifika mpaka mjini Berlin ujerumani ni uzushi tu wa watu wachache!!

Sent from my Infinix X660B using JamiiForums mobile app
Huyu kipanya ni kilaza koko ajui kwanini ujerumani iligawanywa kuwa nchi mbili ..huyu kipanya hatakuwa ni mtoto wa majuzi
 
Urusi imefunga wavuti wa mashirika ya upelelezi ya Marekani ya CIA , FBI moja na ule wa Wizara ya mashauri ya kigeni ya Marekani. Hatua hiyo iliyotekelezwa Ijumaa imefuatia ombi la taasisi ya usimamizi wa mawasiliano ya kiteknolojia-Roskomnadzor.

Tovuti hizi hutumiwa na Marekani kutoa taarifa kuhusu vitisho dhidi ya usalama wa taifa hilo.

Zimefungwa tangu Januari 26, huduma ya mawasiliano ya Urusi Roskomnadzor imeiambia BBC kwamba "Tovuti hizi zina taarifa zisizo na maana kijami" zilipatikana katika vyanzo hivyo, pamoja na udhalilishaji wa jeshi la Urusi.

Kulingana na Roskomnadzor, tovuti hizo "ni za mfumo wa taifa unaosababisha uhasama kwa nchi" kwa kutoa taarifa zenye lengo la kuyumbisha hali ya kisiasa na na kijamii kwa lugha ya Kirusi.

Mwezi Mei mwaka jana, Mkuu wa tume ya usalama ya bunge la Urusi (Duma) alisema machapisho ya CIA nchini Urusi yanachochea uhaini.

Tarehe 2 Mei, CIA iliweka mtandaoni videokwa lugha ya kirusi katikachaneli yake ya YouTube , ambayo ilisshauri juu watu wanavyoweza kuwasiliana nao kwa usalama na kuwafikishia taarifa za ujasusi.

Katika kujibu hatua hiyo, Idara ya huduma za ujasusi wa kigeni ya Urusi ilifungua wavuti wa siri mwezi Aprili, ambapo huwataka watu kuishirikisha taarifa "vitisho kwa usalama wa Shirikisho la Urusi."

Mapema mwezi Januari, ofisi ya mwendesha mashita mkuu wa jeshi wa jimbo la Vladimir pia aliwasilisha ombi la kisheria la kuzuiwa kwa wavuti wa habari za Umoja wa Mataifa (UN news) nchini Urusi, lakini Ijumaa alikanusha mwenyewe madai hayo. Mahakama ilipuuzilia mbali kesi ya ombi hilo.

=====++++======

Mwamba aliyemuweka madarakani D. Trump anazidi kuonesha umahiri wake [emoji28][emoji28][emoji28][emoji28][emoji28] MK254 MTZ 255Dar
Mwamba ni ule Aliye Isambaratisha UNITED SOVIET SOCIALIST REPUBLIC!
or U.S.S.R Bila hata risasi moja kupigwa!
Huyu mandonga Ukreine imemshinda hata aibu hana kupiga raia na makombora ya cruise![emoji56][emoji31][emoji33][emoji33]
 
Aliyepambana na Ujerumani huko mashariki ni Ussr ambayo ilikuwa imeundwa na nchi za Urusi ya Sasa, Baltic, Georgia na hata Ukraine.

Jeshi la Urusi ya Sasa limeshalemazwa na mwaka mmoja wa Vita, haliwezi kuitisha Marekani kabisa (labda watumie vitisho vya nyuklia).
Direct confrontation btn NATO and Russia is World War III something that WE MUST STRIVE TO PREVENT
- Joe Biden
 
Wanajifanya hawamuelewi wakati anawatungua mtandaoni [emoji28][emoji28][emoji28] hadi wanapoteana
Leo umesikiliza BBC au DW kweli?? Msemaji wa Ikulu ya Kremlin kasema kwamba mwenye uwezo wakusitisha vita ya Ukraine na Russia ni Biden! Lakini Russia wanashangaa Biden kila siku anapeleka vifaa vya kijeshi!!
 
Back
Top Bottom