Lwiva
JF-Expert Member
- Apr 17, 2015
- 22,772
- 32,649
Km3 had 4 tu ndiyo uwezo wake
Km3 had 4 tu ndiyo uwezo wake
Unajua kabisa funguo anao mwamba!; huku bila kibali cha cha mwamba, unavamia nyumba ya watu acha ukomeshwe??US has the ‘key’ to ending the war: Kremlin
US President Joe Biden has the key to ending the conflict in Ukraine by directing Kyiv, but Washington does not want to use it, says the Kremlin.
Superpower ni USA tu
ile version yenu ya buza siyo !!Km3 had 4 tu ndiyo uwezo wake
Mtapeleka kila Aina ya silaha zitachomwa tu na hivyo vifaru vimesha piga toka syria yaan dawa yake ipo tunasubiri kukiwasha tu.Ukizingumzia demokrasia una maanisha nini haswa? Je tokea 2014-2022 watu wa Donbass walikandamizwa mbona nyie mwenye democrazy hamkutoka na kulaani?
Mkuu nahisi 20,000 ni juu kidogo. Wengi walikadiria kwamba Warusi walikuwa na akiba ya vifaru 10,000 hivi ambayo ni dadi kubwa sana. Ila inaonekana vingi ni vya kale si vya kisasa.Lakini ndugu yangu unanijibu kwa mihemko uwezayoiyepuka Sasa kujichekesha huko ndio ni nini??
Mimi nimekuuliza kupitia maelezo yako.
Sasa ukisema vifaa vya ardhini ni vipi na vipi?
Jee nilikuuliza vifaa vya ardhini idadi anavyomiliki urusi?
Swali Jee urusi inavifaru zaidi ya 20000 kama unavyosema??
BBC sio ile unayoijua wewe.BBC imekuwa ya mchongo[emoji1787][emoji1787][emoji1787]. Kifaru kimekuwa Anti continenal missile launchSijaelewa Nini lengo la uwongo huu kutoka BBC, na Aljazeera wa leopad na Abrams hasa juu ya range yao ya kushambulia.
Bila shaka km 1000 Ni long range ya missiles flaniflani hivi nzito Hapa hats Iskander haifiki.
Km 500 Ni middle range ya makombora Kama Iskander missile na tomahawk.
Ila kwa artilleries km 200-300 Ni long range
Hakuna kifaru wa Atgm yenye uwezo wa kufire range happy ya km 25.
Javelin range ya kupiga Ni km 20
Nikweli meter 2000 to 3500 zaidi ya hapo ni fyongo[emoji1787]Abram can hit a target up to meter 2500 accurately
Nani sasa anakomeshwaUnajua kabisa funguo anao mwamba!; huku bila kibali cha cha mwamba, unavamia nyumba ya watu acha ukomeshwe??
Ni kweli.....US akitaka hivi Vita vimalizike hashindwi...hata Supa-pawa wa mchongo kakiri hili.US has the ‘key’ to ending the war: Kremlin
US President Joe Biden has the key to ending the conflict in Ukraine by directing Kyiv, but Washington does not want to use it, says the Kremlin.
Superpower ni USA tu
Kwanza itazidi kuamasisha askari wa urusi kwa kuwa askari wa urusi wanausongo na jeshi la marekani kuliko la ukrain ndiyo maana mwanzoni walikuwa wanapigana kizembe ....kama marekani ikipeleka hivyo vifaru sasa itakuwa rasmi kuwa majeshi ya usa yapo ulingoni hapo ndiyo dunia itamjua mrussi vizuriHata Rudi hata mmoja tutakata kichwa kimoja baada ya kingine Tena Russia ndio inavitafuta Sana hivyo vichwa vya NATO.
Unanuka mavi, fanya haraka kasafishe huo mtaroSiku nyingine uache kujipendekeza, maana hizo ni Tabia za kikahaba [emoji3525]
Sent from my Infinix X660B using JamiiForums mobile app
Hii maana yake hicho kifaru kinaweza kukiona kifaru kingine na kukimbulia kabla kifaru adui hakijakngia kwenye range ya kushambulia abram,Nikweli meter 2000 to 3500 zaidi ya hapo ni fyongo[emoji1787]
Kasome hiyo range hata kwenye vifaru vya mrussi ipo wakati havina huo uwezo wa kushambulia kwa umbali huoile version yenu ya buza siyo !!
Mkuu tafadhali jaribu kuumia mantiki kidogo pamoja na elimu! Bila shaka kila mwanajeshi mwenye akili anaogopa kuingia vitani maana ni hali mbaya. Ila ukidokeza Vita Kuu - Marekani inajua vema urusi isingeshinda Ujerumani pekee yake bali kwa ushirikiano na Marekani na Uingereza. Urusi ilipokea wakati ule kutoka Marekani:Tatizo askari wa marekani wansogopa sana kupigana vita na jeshi la urussi wanakumbuka kilicho mkuta mjerumani ...na hivyo vifaru lazima ukivipeleka upeleke na askari wako wa kuviendesha
Ndugu vita vimebadilika siku hizi vifaru vinapigwa na silaha tofauti na kifaru ....vifaru karibu vyote vya ukrain vimeunguzwa na silaha tofauti na kifaru hapo ndipo nato inapo bugiHii maana yake hicho kifaru kinaweza kukiona kifaru kingine na kukimbulia kabla kifaru adui hakijakngia kwenye range ya kushambulia abram,
Lakini hata hivyo bado vinachomekaga tu[emoji38]
Ujerumani ilishindwa na jeshi la mrusi kabla ya nchi yoyote kumshinda mjerumani, kasome historia ya vita hivyo marekani aliingia kipindi mjerumani kesha poteza nguvu...tena hadi Hitler mwenyewe alikili kuwa jeshi lake limepata pigo kubwa urussiMkuu tafadhali jaribu kuumia mantiki kidogo pamoja na elimu! Bila shaka kila mwanajeshi mwenye akili anaogopa kuingia vitani maana ni hali mbaya. Ila ukidokeza Vita Kuu - Marekani inajua vema urusi isingeshinda Ujerumani pekee yake bali kwa ushirikiano na Marekani na Uingereza. Urusi ilipokea wakati ule kutoka Marekani:
Mbali na kutisha mataifa madogo jeshi la Kirusi lilijaribu vita ya Afghanistan - ambako lilishindwa. Dhidi ya taifa ndogo ya Chechniya walipigwa mara ya mwaknza na mara ya pili walisaidia kwa msaada wa sehemu ya Wachechen wenyewe....
- 400,000 jeeps & trucks
- 14,000 airplanes
- 8,000 tractors
- 13,000 tanks
- 1.5 million blankets
- 15 million pairs of army boots
- 107,000 tons of cotton
- 2.7 million tons of petrol products
- 4.5 million tons of food
Na sasa Ukraine wanonyeshe uwezo mdogo.
Unaamini kweli jeshi la kisasa linatishiwa na hao Warusi??
(wote wanawaangalia kwa tahadghari kwa sababu bado wana silaha za nyuklia, si sababu nyingine. Urusi si China, mkuu)
Urusi ukichukua na vile vifaru za zamani kabisa kama vile T-50 au T-55 anaweza vikisha vifaru 40, 000Mkuu nahisi 20,000 ni juu kidogo. Wengi walikadiria kwamba Warusi walikuwa na akiba ya vifaru 10,000 hivi ambayo ni dadi kubwa sana. Ila inaonekana vingi ni vya kale si vya kisasa.
Taasisi ya Oryx na Uholanzi ilijaribu kuangalia vifaa vilivyoharibiwa pande zote mbili na kwa mwaka 2022 ilihesabu idadi za vifari vya Urusi vivlivyopotea hivi:
Tanks (1646, of which destroyed: 967, damaged: 75, abandoned: 59, captured: 545)
Hapa wanaorodhesha ni aina gani na utaona ajabu kidogo hadi T62!
Ona orodha yao kwenye link Attack On Europe: Documenting Russian Equipment Losses During The 2022 Russian Invasion Of Ukraine, wanahesabu tu wakipata picha (klick)
Trump si mmarekani yeye ameonaje? We Ni Nani?Ni kweli.....US akitaka hivi Vita vimalizike hashindwi...hata Supa-pawa wa mchongo kakiri hili.
Hapa tunaona tofauti kati ya 'Superpower' na 'Supa-pawa'....
Leta hata picha moja ya Warusi wakiwa na ivyo vitu vya msaada ulivyoviweka hapo au havikuwa na jinaMkuu tafadhali jaribu kuumia mantiki kidogo pamoja na elimu! Bila shaka kila mwanajeshi mwenye akili anaogopa kuingia vitani maana ni hali mbaya. Ila ukidokeza Vita Kuu - Marekani inajua vema urusi isingeshinda Ujerumani pekee yake bali kwa ushirikiano na Marekani na Uingereza. Urusi ilipokea wakati ule kutoka Marekani:
Mbali na kutisha mataifa madogo jeshi la Kirusi lilijaribu vita ya Afghanistan - ambako lilishindwa. Dhidi ya taifa ndogo ya Chechniya walipigwa mara ya mwaknza na mara ya pili walisaidia kwa msaada wa sehemu ya Wachechen wenyewe....
- 400,000 jeeps & trucks
- 14,000 airplanes
- 8,000 tractors
- 13,000 tanks
- 1.5 million blankets
- 15 million pairs of army boots
- 107,000 tons of cotton
- 2.7 million tons of petrol products
- 4.5 million tons of food
Na sasa Ukraine wanonyeshe uwezo mdogo.
Unaamini kweli jeshi la kisasa linatishiwa na hao Warusi??
(wote wanawaangalia kwa tahadhari kwa sababu bado wana silaha za nyuklia, si sababu nyingine. Urusi si China, mkuu)