Special Thread: Yanayojiri Mgogoro wa Ukraine na Urusi. Nini chanzo na hatma ya mzozo?

Special Thread: Yanayojiri Mgogoro wa Ukraine na Urusi. Nini chanzo na hatma ya mzozo?

Huko Vietnam US hakupigwa. Alishinda na aliangusha tawala ya huko na kuweka vibaraka wake huko.

US ndio mfadhili mkubwa wa NATO. US ndio anayoyalinda mataifa ya ulaya.

US bila msaada wa hayo mataifa ya ulaya anaweza kupigana na taifa lolote lile Tena zaidi ya taifa Moja. Ata mataifa matano Kwa wakati mmoja. Uwezo huo anao...

Tunapoongelea US tunaongelea Joka Kwa maana ya Shetani nguvu zake sio za kitoto.

Na km ingalikua ndio US anapigana na Ukraine yaani ni siku nyingi tu hako kazelenski kangekua ktk mahandaki

Sent from my TECNO KG5j using JamiiForums mobile app
Ww jamaa unakijua unacho kiongea au unaropoka? Utawala gani ulio angushwa na marekani nchini Vietnam?
 
Siwezi kubisha mkuu, huenda ikawa ni kweli warusi 1500 walichinjwa Jana maana Kuna bahadhi ya taharifa hazilipotiwi kwenye vyombo vikubwa vya habari..,kwa mfano..siku ya tarehe 24 mwezi huu Kuna warusi zaidi ya 200 walichinjwa katika mji wa maliupol na hii idadi haikujumuhishwa kwenye takwimu inayotolewa kila siku kuhusu warusi wanaochinjwa

Sent from my Infinix X660B using JamiiForums mobile app
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]we bata mzinga upo
 
Hiki kichekesho kinapatikana wapi [emoji1787][emoji1787][emoji1787]hivi unamjua nyerere na siasa zake zilikuwa zina shikamana na nchi gani?
Nimeami msemo wa Ashki majunun [emoji30][emoji12]
 
Target Destroyed! Watch Su-35S Fighter Jet in Action During Special Operation

The Russian Defence Ministry has confirmed that air patrol strikes and tasks continue to target military facilities and the equipment of Ukraine's forces.

During a recent sortie, an aircraft of the Ukrainian Armed Forces was detected and taken out.

Follow @RT_India_official
 
Kama haya unayoongea ni kweli ni kwanini nchi yetu ilikataa kulaani uvamizi wa Ukraine? Au unataka kutuambia wewe unajua historia kuliko rais na serikali yake?
Hayo ni kweli kweli tupu ilaha ukae ukijua kila zama ina kitabu chake!
 
Sisi tubaki na ushabiki lakini ukweli ni kuwa wenye hii vita Urusi anaumia lakini hawezi kuachia kuepuka aibu,Ukraine anaumia lakini Kila akikumbuka alipoteza Cremia 2014 anaona mdogo mdogo atamezwa na Urusi.Ugomvi wa Urusi na Ukraine ulianza Toka 2005 pale waukraine walipoanza kutaka kuwa karibu na ulaya magharibi na kuachana na sera za Urusi.

Kwa wenye kumbukumbu baada ya Victor Yanukovyic aliyeluwa Rais wa Ukraine kujiuzulu kwa maandamano na kukimbilia kwa mshirika wake Putin ,nafasi yake kuchukuliwa na Petro Putin alianza kuona anasalitiwa na Ukraine, matokeo yake yakawa 2014 uvamizi wa Cremia.

Zelensiky anaingia anawakuta waukraine wanaotaka kujiunga EU na NATO Hana option zaidi kuitisha referendum watu wa Ukraine wanaamua kujiunga na EU.Putin anakasirika matokeo ni 2022 Russo-Ukraina War.
 
Mtanzania mwenzetu (team Russia) katuheshimisha sana kupigana dhidi ya ushoga na mashoga...

View attachment 2498539
Mkuu huyu maskini aliyewekwa jela kwa mashtaka ya madawa ya kulevya akikata tamaa na kujiunga na Wagner ili atoke - sasa amekuwa hesHima ya taifa lako???
Pole sana kama huna heshima nyingine . . . . (usisahau: Urusi walifuta adhabu kwa washoga!)
 
Huko Vietnam US hakupigwa. Alishinda na aliangusha tawala ya huko na kuweka vibaraka wake huko.

US ndio mfadhili mkubwa wa NATO. US ndio anayoyalinda mataifa ya ulaya.

US bila msaada wa hayo mataifa ya ulaya anaweza kupigana na taifa lolote lile Tena zaidi ya taifa Moja. Ata mataifa matano Kwa wakati mmoja. Uwezo huo anao...

Tunapoongelea US tunaongelea Joka Kwa maana ya Shetani nguvu zake sio za kitoto.

Na km ingalikua ndio US anapigana na Ukraine yaani ni siku nyingi tu hako kazelenski kangekua ktk mahandaki

Sent from my TECNO KG5j using JamiiForums mobile app
VIP kuhusu somalia?
 
Ukraine imevamiwa hivyo inapewa silaha ili iweze kujilinda na kulinda raia wake......hakuna uchochezi hapo
Imevamiwa na Nani?! Ukraine ilikubali kuwa kichaka Cha mbele kuficha uovu wa NATO na West dhidi ya Russia ...Sasa Russia iliwawahi....sasa Ukraine wanasubiliwa kwa ujinga na unoko wao...Ukraine will never be the same again...Russia will never be defeated....Sasa hivi Hali ni mbaya mno kwa Ukraine...ndiyo maana West wanahangaika huku kupeleka sijui Leopard Mara Abraham..Mara Nini..
 
Hakuna vita ya 3, na hii ndo maana NATO ilisema haitajiingiza kwa asilimia kubwa ktk huu mzozo. Mkuu hii ngoma Russia alishapigiwa mahesabu muda mrefu, watu walikaa chini na wakachora ramani nzima ya nini kitaendelea endapo Russia ataingia Ukraine.

Haya tunayoyaona leo tayari yalishapangwa before.
Na kwenye mchoro akawekwa Rais asiye pandikizi, vinginevyo leo Ukraine ingekuwa USSR
 
URUSI inashabikiwa na wanaichukia USA haswa haswa WAARABU na Wachina na KOREA huku Africa wanaisha ikiwa na Waislam njaa wenye chuki na USA
Ila likiwapata la kuwapata wanakimbilia Ulaya.

Hakuna wakimbizi wanaokumbilia nchi za Waarabu ie Saudi, Qatar, UAE, Kuwait, China
 
Ukraine inazo silaha za nuclear. Ilikuwa nazo tangu enzi za Soviet Union, na Soviet Union iliposambaratika ilibaki nazo. Check your facts.
1991 moja la sharti la Uhuru wa Ukraine ni kumpa Urusi silaha zite za nuke
 
Back
Top Bottom