kp kipanya44
JF-Expert Member
- Jun 23, 2022
- 13,151
- 15,384
Unaweza kupata uhakika pale wanapokupatia idadi halisi ya wale hambao wamechinjwa ndani ya saa 24.., kuweka hesabu ya askari waliouwawa ndani ya saa 24 Kuna maana yake mkuu,Hiyo ni Urusi kwa jicho la Zelensiky! Ha ha haaaa!
Sent from my Infinix X660B using JamiiForums mobile app