Special Thread: Yanayojiri Mgogoro wa Ukraine na Urusi. Nini chanzo na hatma ya mzozo?

kwa hiyo ya Moscow ndiyo inafika Washington? furahi bac vita umeimaliza.
Br.
Sipo Hapa kupaisha silaha za Moscow hasa tanks Kwamba range ya kupiga Ni mamia ya km lakini najaribu tu kuonesha Kwamba Hakuna kifaru chochote duniani chenye uwezo wa kupiga kwa km 500-1000 Bali max range Ni uwezo wa tank kutembea baada ya kujazwa full tank.

Uwezo wa juu kabisa wa kifaru kupiga lengo sahihi precisely Ni mita 2500 hivi kiasi Cha urefu was viwanja vinne hivi vya mpira wa miguu.

Sent from my TECNO RA7 using JamiiForums mobile app
 
Br.
Sipo Hapa kupaisha silaha za Moscow hasa tanks Kwamba range ya kupiga Ni mamia ya km lakini najaribu tu kuonesha Kwamba Hakuna kifaru chochote duniani chenye uwezo wa kupiga kwa km 500-1000 Bali max range Ni uwezo wa tank kutembea baada ya kujazwa full tank .

Mkuu umejitahidi kuelewa habari za vifaru ila hisabati na mpira wa miguu bado !!
Urefu wa kiwanja cha soka ni hadi mita 125, kimataifa kawaida 105. Viwanja vinne hivyo ni 105 * 4 = mita 420. Si mita 2500. Mita 2500 ni viwanja vya soka 2500 : 105 = takriban 24.

(Ila Leopard inapiga vizuri kwa umbali wa mita 4,000; ikitumia grenedi-kombora ni mita 8,000)
 
Urefu wa kiwanja cha soka ni mita 125. Viwanja vinne hivyo ni 125 * 4 = mita 500. Si mita 2500. Mita 2500 ni viwanja vya soka 2500 : 125 = 20.
(Ila Leopard inapiga vizuri kwa umbali wa mita 4,000; ikitumia grenedi-kombora ni mita 8,000)
Kilometa 2.5 nadhani
 
Hivi Putin bado hajamalizana tu na jirani yake ambaye alionekana ni dhaifu? maana tangu niwaone raia wa Ukraine wakijiandaa na vita nikaweka picha ya huyo bibi aliyenivutia profile kufikia sasa ilitakiwa awe keshachukua mji mkuu.
 
Mkuu umejitahidi kuelewa habari za vifaru ila hisabati na mpira wa miguu bado !!
Urefu wa kiwanja cha soka ni hadi mita 125, kimataifa kawaida 105. Viwanja vinne hivyo ni 105 * 4 = mita 420. Si mita 2500. Mita 2500 ni viwanja vya soka 2500 : 105 = takriban 24.
(Ila Leopard inapiga vizuri kwa umbali wa mita 4,000; ikitumia grenedi-kombora ni mita 8,000)
Kijana we mbishi kwa vutu ambavyo vipo wazi unapoambiwa mita 2400 probably ni km 2.4

Hoja ya msingi ni kwamba je kuna kifaru kinawez tema kombora umbali wa km 5 labd au 10

Kiuhalisia jibu itakuwa ni hapana

Na sababu tu kama itaweshezwa kutupa umbali huo lets say 10km

Basi bomu husika madhara yake yatakuwa madogo sana kimlipuko
 
Usitusemee sisi ...Kama unapenda dollar wewe na mabeberu usidhani wote wanapenda hivyo...

Nyie watu wa ajabu Sana...hakuna taifa ovu duniani Kama USA...dollar inatumika kuikandamuza na kuinyonya dunia...Saddam Hussein na Ghadafi waliuawa siyo kwasababu ya kinachoitwa udikteta Bali kwa kuwa viongozi Hao walikuwa wanataka dhahabu itumike baadala ya dollar..
Yaani Marekani?!?! Hovyo kabisa...Hakuna taifa ambalo limeua mamilioni ya watu duniani kwa nyakati hizi Kama Marekani...USA imeua maelfu kwa maelfu ya watu huko Irak, Vietnam, Libya, Grenada, Panama, Serbia/Yugoslavia, Afghanistan na kadhalika...
Marekani ni taifa la wauaji...wanatumia kile kinachoitwa demokrasia lakini huko USA Hakuna demokrasia yoyote ile..demokrasia ni zaidi ya uchaguzi...weusi huko Marekani bado wanabaguliwa...
USA ndiyo iliyofanya genocide ya jutisha kwa kuwaua wahindi wekundu kwa mamilioni ambao ndio watu wa asili wa Marekani..stupid America..

IMG_8662.png
 
Hivi Putin bado hajamalizana tu na jirani yake ambaye alionekana ni dhaifu? maana tangu niwaone raia wa Ukraine wakijiandaa na vita nikaweka picha ya huyo bibi aliyenivutia profile kufikia sasa ilitakiwa awe keshachukua mji mkuu.
Rafiki,Mambo Ni mazuri sana,hao matajiri wanachangishana vifaru.[emoji1787][emoji1787][emoji1787]

Hatuangalii muda wa vita,,,tunashuhulika na Mambo mengine,,,tunaachana na petroldolla.
 
Br.
Sipo Hapa kupaisha silaha za Moscow hasa tanks Kwamba range ya kupiga Ni mamia ya km lakini najaribu tu kuonesha Kwamba Hakuna kifaru chochote duniani chenye uwezo wa kupiga kwa km 500-1000 Bali max range Ni uwezo wa tank kutembea baada ya kujazwa full tank .
Uwezo wa juu kabisa wa kifaru kupiga lengo sahihi precisely Ni mita 2500 hivi kiasi Cha urefu was viwanja vinne hivi vya mpira wa miguu.

Sent from my TECNO RA7 using JamiiForums mobile app
Bado uko nyuma sana mzee wangu fanha utafit alafu urudi apa
 
Tulia, acha kulia lia uliyataka mwenyewe !! mikwara bubu tushakuzoea Putin... huna lolote.

Russia says the delivery of NATO battle tanks to Ukraine is evidence of “direct and growing” US and European involvement in the war, with one analyst suggesting supplying nations could become potential targets.
 
Sasa anasubiri nini kuyalenga hayo mataifa wakati Kila mmoja ameshatangaza idadi itakayotumwa huko Ukraine.., kweli jamaa ameshalewa mikwara [emoji28]

Sent from my Infinix X660B using JamiiForums mobile app
 
Back
Top Bottom