Mkuu ukichungulia Leopard utaona mzinga wake unasemekana unaweza kupiga kifaru kingine (kwa uwezekano mkubwa wa kukimaliza) kwa umbali hadi mita 4,000 kwa grenedi zake za kawaida. Halafu kuna grenedi-kombora zinazorushwa pia kupitia kasiba yake, aina ya LAHAT (imebuniwa na Waisraeli) zinafikia hadi mita 8,000 (chanzo kingine kinasema "zaidi ya mita 6,000")Kijana we mbishi kwa vutu ambavyo vipo wazi unapoambiwa mita 2400 probably ni km 2.4
Hoja ya msingi ni kwamba je kuna kifaru kinawez tema kombora umbali wa km 5 labd au 10
Kiuhalisia jibu itakuwa ni hapana
Na sababu tu kama itaweshezwa kutupa umbali huo lets say 10km
Basi bomu husika madhara yake yatakuwa madogo sana kimlipuko