Special Thread: Yanayojiri Mgogoro wa Ukraine na Urusi. Nini chanzo na hatma ya mzozo?

Special Thread: Yanayojiri Mgogoro wa Ukraine na Urusi. Nini chanzo na hatma ya mzozo?

Basi NATO ivunjwe maana Urusi hamna kitu sasa hivi.
Kama NATO itaendelea kuwepo basi hoja yako ni dhaifu na ya kijinga.
NATO ipo ili kushugulika na wakorofi kama Putin (mabaki ya Vita baridi).
 
Usitumie choo hicho Cha usingizini.... Endeleeni kudanganywa na mamovie ... We were Soldiers... WarBus... Commando John, deadly prey ... Angalieni kujifurahisha msidamganywe ndio NGUVU za Marekani... Waleteni field hao Navy seals tuwashone... Tuwakaange....
Mkuu kwa bahati mbaya sijui hata moja kati ya filamu hizo. Sina kazi sana na nguvu ya Marekani inayozidi kupungua (hata kama inazidi kabisa nguvu ya Urusi). Ila tu naona udhaifu wa Urusi na hasa maazimio ya ujinga yaliyochukuliwa na uongozi wake, pamoja na kwaya isiyo na dalili za hekima kwenye media yake.....

Hivyo sina tamaa kuiona lakini naona pia uwezekano wa Urusi kutokuwepo tena jinsi ilivyo sasa , baada ya karne 4 kufaulu kujenga ukoloni wake juu ya Asia ya Kati na ya Kaskazini . . . (Maana tofauti na Uingereza, Urusi bado inashika sehemu kubwa ya maeneo iliyotwaa katika upanuzi wa kikoloni; )
 
Mkuu kwa hapa nawatetea Ukrain, hawana Aerial satellites za intelligence, na walizokuwa wanategemea kutoka USA na Britain ambazo zinakuwa Jammed pale Urusi anapokaribia eneo uhusika, hvyo urusi anasoma movements zote kutokea kwenye real time images na kufanya mawasiliano na wanajeshi wa Ardhini kuwa ni points zipi za kuwazunguka na barabara zipi za kufunga na vitu vingine kukamilisha encirclement kutokea. So ili lipo kiteknolojia zaidi.
Pia Russia wanatumia mbinu moja inaitwa Kivundevic hii ile ile hali ya kuamisha wanajeshi kwa kasi ya ajabu yaani kipindi Ukraine wanadhani majeshi ya urusi yapo geita yanakuja mwanza muda huo Russia force inakuwa sengerema na magu
 
Mkuu kwa bahati mbaya sijui hata moja kati ya filamu hizo. Sina kazi sana na nguvu ya Marekani inayozidi kupungua (hata kama inazidi kabisa nguvu ya Urusi). Ila tu naona udhaifu wa Urusi na hasa maazimio ya ujinga yaliyochukuliwa na uongozi wake, pamoja na kwaya isiyo na dalili za hekima kwenye media yake..... Hivyo sina tamaa kuiona lakini naona pia uwezekano wa Urusi kutokuwepo tena jinsi ilivyo sasa , baada ya karne 4 kufaulu kujenga ukoloni wake juu ya Asia ya Kati na ya Kaskazini . . . (Maana tofauti na Uingereza, Urusi bado inashika sehemu kubwa ya maeneo iliyotwaa katika upanuzi wa kikoloni; )
Tuone kama hii Vita itakuwa mwanzo wa anguko la Putin kisiasa na kudidimia zaidi kwa Urusi Au itaibuka katikati ya Vita na kuwa Supa-pawa mpya.....
 
MAURIOPOL eneo la kiviwanda sana sana vya VYUMA
SOLEDAR eneo la uchimabji chumvi
UGLEDAR eneo la machimbo sana sana makaa ya mawe
BAKHMUT sijajua

Ila RUSSIA anapigana kimkakati sana kadri UKRAINE anavyokaza shingo ndio anapotea DUNIANI

Sent using Jamii Forums mobile app
Umesahau kuorodhesha
Kheson [emoji56][emoji56]

Kyiv [emoji56][emoji56][emoji56]


Khakivu [emoji56][emoji56][emoji56]


Snake island [emoji56][emoji56][emoji56]


Kupyansk [emoji56][emoji56][emoji56]


Izium [emoji56][emoji56][emoji56][emoji56]


Lyman [emoji56][emoji56][emoji56]


Mycolaiv [emoji56][emoji56]

Luhansik Sasa imemegwa pia, kumbuka kipindi Cha kura ya referendum urusi alikuwa anadhibiti luhansik kikamilifu [emoji28]

Sent from my Infinix X660B using JamiiForums mobile app
 
Mimi naona ni kukomaa tu kwa Ukraine na inabidi wakomae maana kitu pekee kinachowafanya waendelee kwenda wakipigana kwa juhudi ni morali inayochagizwa na propaganda sometimes.

Ikiwa wanakaribia kuzungukwa hawakubali kirahisi kuabandon position na kurudi nyuma maana wakifanya hivyo mara mbili mara tatu kwenye sehemu tofauti itaweza kuvunja hamasa bandia ya ushindi ambayo wanayo hivi sasa na kupelekea kushindwa kbs kirahisi.

Fikiria habari km 'Ukraine wameretreat Bakhmut' alafu kdg usikie 'wamekimbia Zaporozhie' kidogo tena usikie 'Ukraine ameondoa vikosi vyake Seversk' kisha wapi na wapi tena. Habari kama hizi zikija kwa mfululizo moja baada ya nyingine ni ujumbe wa kushindwa ambao utaharibu sana morali ya wanaopigana na wanaounga mkono upande wa ukraine huku zikiendelea kuwatia nguvu warusi na wanaowaunga mkono.

Sababu hii ndio ilifanya hata ukraine watie ngumu kwenye kukubali kupoteza mji wa soledar wakati ulishachukuliwa muda. Wanahofia demoralization, hata hapa jf baada ya kutwaliwa soledar walikimbia.

So ukraine wanayakomalia maeneo hata km wanakaribia kuzungukwa kuhofia hilo. Ni heri wapigane mpk mwisho kuliko kukimbia. Na wanajeshi waliofield eneo fulani ni ngumu kujua wanazungukwa, walio nje kwenye command posts ndio wanajua maana wao ndio wanaona jinsi defense line zinavyokuwa breached kwa satellite na namna nyinginezo. Kama hawatoi amri kwa wanajeshi wao waabandon eneo linalotaka kuzungukwa basi wanajeshi wataendelea kupigana bila ya kujua wamezungukwa na mwishowe watamalizwa.

Kwa mm nafikiri sababu ni hii kwa maoni yangu
Hii sababu kwa kifupi tunasema ni KIBURI
 
🔴 Israel admits to secret aid to Ukraine

Israel provides Ukraine with more assistance than it seems at first glance. This was stated by the country's ambassador to Germany, Ron Prozor.

📝 “We help, even if behind the scenes, and much more than is known,” Prozor said in an interview with the German Funke Mediengruppe.

The ambassador clarifies that Israel also prefers to remain in the background due to the Russian presence in Syria.

✅ Israel has previously stated that it is afraid to supply Ukraine with the Iron Dome anti-missile defense system because of Russia, since the Russian Federation could intercept these technologies.
 
Back
Top Bottom