HIMARS
JF-Expert Member
- Jan 23, 2012
- 73,321
- 103,590
BricsHuyo Marekani pekeake anaweza kupambana na Bricks?
Ni Urusi pekee, hao wengine ni wafanyabiashara wa Marekani
BricsHuyo Marekani pekeake anaweza kupambana na Bricks?
Hakunaga mambo ya kila zama na kitabu chale kwenye issue kama hizi!! Unajua mchango wa Urusi/USSR kwenye ukombozi wa africa? Yaani wakati hao mabeberu (unao wasifia humu) wakiwachapa fimbo babu zako unajua Urusi alikua na mchango upi katika kuwakomboa?Hayo ni kweli kweli tupu ilaha ukae ukijua kila zama ina kitabu chake!
Mkuu unafaamu chochote kuhusu Mkataba wa MINSK 1 and 2?Sisi tubaki na ushabiki lakini ukweli ni kuwa wenye hii vita Urusi anaumia lakini hawezi kuachia kuepuka aibu,Ukraine anaumia lakini Kila akikumbuka alipoteza Cremia 2014 anaona mdogo mdogo atamezwa na Urusi.Ugomvi wa Urusi na Ukraine ulianza Toka 2005 pale waukraine walipoanza kutaka kuwa karibu na ulaya magharibi na kuachana na sera za Urusi.
Kwe wenye kumbukumbu baada ya Victor Yanukovyic Ra. aliyeluwa Rais wa Ukraine kujiuzulu kwa maandamano na kukimbilia kwa mshirika wake Putin ,nafasi yake kuchuchuliwa na Petro Putin alianza kuona anasalitiwa na Ukraine na matokeo yake yakawa 2014 uvamivi wa Cremia.
Zelensiky anaingia anawakuta waukraine wanaotaka kujiunga na EU na NATO Hana option zaidi kuitisha referendum watu wa Ukraine wanaamua kujiunga na EU.Putin anakasirika matokeo ni 2022 Russo-Ukraina War.
Bora iwe pandikizi la USSR kuliko kuwa pandikizi wa watu kama hawa.Na kwenye mchoro akawekwa Rais asiye pandikizi, vinginevyo leo Ukraine ingekuwa USSR
Mkuu mbona wajibu kinyonge mnoo?!Kwani Urusi hapotezi askari wake ?
Vumilia mkuu, I'm here to stay.., inaonyesha unaumia sana na umeshindwa kuvumilia mpaka ukaamua kunikwot [emoji16]kp kipanya44 mbona unaonyesha ulivyo mtupu? Mambo mengine kama huna uelewa nayo jikalie kimya tu mdogo wangu. Linguine inaonyesha wewe ni mzaramo wa Msanga. Una ubishi mwingi wa kitoto. Hupendi kujifunza toka kwa wengine. Sio kila siku unashinda hapa na comment zako zisizo na maana. Nimekudharau sana.
Na wewe kaka yangu muhammad said, acts kubishana na huyu dogo. Atakuvunjia heshima yako, ambayo wengi tunayo kwako.
Let ushahidi urusi kufuta adhabu Kwa mashogaMkuu huyu maskini aliyewekwa jela kwa mashtaka ya madawa ya kulevya akikata tamaa na kujiunga na Wagner ili atoke - sasa amekuwa hesHima ya taifa lako???
Pole sana kama huna heshima nyingine . . . . (usisahau: Urusi walifuta adhabu kwa washoga!)
Huwa mnajua lugha kweli?Na mimi nimepata hii leo , Russia anaendelea kuwabana majesh ya ukrain na kuyafyekelea mbali , kama usipoamia hii source bas tena
Russia, Ukraine troops locked in fierce battle in Vuhledar
![]()
Russia, Ukraine troops locked in fierce battle in Vuhledar
All the updates from January 28, as they happened.www.aljazeera.com
Ungetaja na bank.Kwa sasa dola imepotea sana kwenye mabenki (sijui sababu ni nini), ukitaka kuagiza kitu kwa dola wanakuomba upeleke proforma invoice ya currency nyingine yoyote isipokua dola.
Sent from my SM-A135F using JamiiForums mobile app
US anazihitaji NATO countries ili asisumbuke kuomba vibali kwenye mission.Huko Vietnam US hakupigwa. Alishinda na aliangusha tawala ya huko na kuweka vibaraka wake huko.
US ndio mfadhili mkubwa wa NATO. US ndio anayoyalinda mataifa ya ulaya.
US bila msaada wa hayo mataifa ya ulaya anaweza kupigana na taifa lolote lile Tena zaidi ya taifa Moja. Ata mataifa matano Kwa wakati mmoja. Uwezo huo anao...
Tunapoongelea US tunaongelea Joka Kwa maana ya Shetani nguvu zake sio za kitoto.
Na km ingalikua ndio US anapigana na Ukraine yaani ni siku nyingi tu hako kazelenski kangekua ktk mahandaki
Sent from my TECNO KG5j using JamiiForums mobile app
Dunia imshukuru US WW2 vinginevyo leo tungekuwa twaongea deuchVovote vile lkn wajerumani waliwauwa Warusi Zaidi ya milioni 20. Na Russia Wala haikuishinda Germany ktk hiyo vita. Jidanganyeni huko
Sent from my TECNO KG5j using JamiiForums mobile app
View attachment 2498374
Kiongozi jisomee mwenyewe hapo juu.. kwamba hao West wenyewe wanatoa misaada ya silaha kwa Ukraine lakini wanaogopa WW III kwa technology za kisasa.. itakuwa ni hatari sana haswa kwa nchi za Ulaya..
Pande zote zinajipanga vyema maana Russia anaweza jaribisha uvamizi kwa mara ya 2Bila shaka, kwa mizinga anayopewa Ukraine,muda huo atakuwa ameshamfukuzia mbali dikiteta na fashsti wenzake,
Sent from my Infinix X660B using JamiiForums mobile app
Mkuu jambo hili limeshajadiliwa mara nyingi.Let ushahidi urusi kufuta adhabu Kwa mashoga
Supapawa na washirika wake,mwaka unaisha hawajakomboa hata mkoa mmoja kati ya minne.Supa-pawa kashindwa kabisa kuvimaliza Vita kwa ushindi ndani ya mwaka mmoja......... angekuwa anapigana na NATO huyu Supa-pawa wa mchongo tungeshamsahau kitambo kama aliwahi kuwepo.
[emoji3][emoji3][emoji3]hizo Akili si adi ziwepo ndo zitumike kama hamna je atatumia ninWw ndugu akil Zako unazijua ww mwenyewe. Kl siku Zaid ya wanajeshi Mia saba wawe wanakufa tu Tena wa Russia duuh kwa hyo ikipiga hesabu 700 *30 Zaid ya wanajeshi 21000 ndani ya mwaka mmoja si chin ya laki Tatu duuh ww vyanzo vyako cijui ni wapi? Ht ww mwenyewe hutumii akili kichwani mwako
Niliposoma tu paraghraph ya kwanza...nikaacha hapohapo...maana hujui vitu vingi.Yaani umeshindwa kujua matokeo ya vita vya Vietnam wakati maandiko yako mengi ndo uweze kuchambua kinachoendelea Ukraine??Huko Vietnam US hakupigwa. Alishinda na aliangusha tawala ya huko na kuweka vibaraka wake huko.
US ndio mfadhili mkubwa wa NATO. US ndio anayoyalinda mataifa ya ulaya.
US bila msaada wa hayo mataifa ya ulaya anaweza kupigana na taifa lolote lile Tena zaidi ya taifa Moja. Ata mataifa matano Kwa wakati mmoja. Uwezo huo anao...
Tunapoongelea US tunaongelea Joka Kwa maana ya Shetani nguvu zake sio za kitoto.
Na km ingalikua ndio US anapigana na Ukraine yaani ni siku nyingi tu hako kazelenski kangekua ktk mahandaki
Sent from my TECNO KG5j using JamiiForums mobile app